Kikwete ateta na Mshauri wa Trump

Kikwete ateta na Mshauri wa Trump

Hizi ndizo takataka zinazolizonga taifa hili kwa wakati huu.
Nchi hii kamwe haiwezi kwenda mbele bila ya kuzisafisha taka zote hizi.

Huyu yupo juu kabisa ya orodha ya waovu tulionao sasa hivi ndani ya taifa hili.
Bila kuwadhibiti hawa, hatuendi popote.

Hapo ni wazi kapelekwa huko kufanya kazi maalum ya kutetea uovu uliopo sasa madarakani.
Hakuwa hapo kwa bahati mbaya. Imepangwa.
MKUU TUKUPE VITENDEA KAZI, UTUSAIDIE KUFANYA USAFI ?
 
japo maoni yako ni huru, lakini si sawa kupotosha wengine na kujipotosha mwenyewe na kujifariji kwa upotoshaji huo :NoGodNo:
Ikumbukwe pia hata wewe bwana gentleman,.

Maoni yako ni huru, lakini si sawa kupotosha wengine na kujipotosha mwenyewe na kujifariji kwa upotoshaji huo. :ABDULpls:

Pokea buku 7 piga kimya.
 
Ikumbukwe pia hata wewe bwana gentleman,.

Maoni yako ni huru, lakini si sawa kupotosha wengine na kujipotosha mwenyewe na kujifariji kwa upotoshaji huo. :ABDULpls:

Pokea buku 7 piga kimya.
umefikia ukomo wako wa mwisho wa upotoshaji right, gentleman? :NoGodNo:
 
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald Trump anayeshughulikia masuala ya Nchi za Afrika, Uarabu na Mashariki ya Kati.

Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa Mkutano wa Oslo Forum 2026 unaoendelea jijini Oslo, Norway, kuanzia leo Juni 10 hadi 12, 2026.

Mkutano huo umewakutanisha Viongozi, Wanadiplomasia Waandamizi na Wataalamu wa masuala ya amani na usuluhishi kutoka Nchi mbalimbali duniani kwa lengo la kujadili changamoto za usalama, diplomasia na juhudi za kuimarisha amani katika maeneo mbalimbali ya dunia.

well done Jakaya Mrisho Kikwete, retired President of United Republic of Tanzania,

unafanya kazi nzuri na kubwa sana baba kwa maslahi mapana ya Taifa hata baada ya kustaafu :KasugaYeah:
Hivi huyo Jk aliwahi kusikika akikosoa au kupinga ufisadi, utekaji, ufiraji, mauaji ya Watanzania yanayoendelea kutekelezwa na Wahuni??
 
Hivi huyo Jk aliwahi kusikika akikosoa au kupinga ufisadi, utekaji, ufiraji, mauaji ya Watanzania yanayoendelea kutekelezwa na Wahuni??
ukistaafu unakua mtu wa heshima,
sio kuongea ongea na kuropokaropoka kama wengine na taamaa zao za kutafuta kiki,

ikiwa JK ana ushauri, maoni au mapendekezo, anatumia nafasi aliyonayo kutafuta nafasi ya kuonana na wahusika na kuwapa ushauri au uzoefu wake.

mtaafu hana sababu hata moja ya kua mropokaji gentleman :NoGodNo:
 
Wacha uongo,
Hapingi kwa kuwa anaunga mkono hayo maovu.

Na je, yeye mstaafu kwanini ameenda huko kuwakolisha nchi??
 
Wacha uongo,
Hapingi kwa kuwa anaunga mkono hayo maovu.

Na je, yeye mstaafu kwanini ameenda huko kuwakolisha nchi??
kwani ni kosa na yeye kwenda kwenye jukwaani na kongamano kubwa kama lile gentleman?

au ni chuki binafsi na wivu wa kindezi tu unakusumbua moyoni 🐒
 
Back
Top Bottom