Kikwete ateta na Mshauri wa Trump

Kikwete ateta na Mshauri wa Trump

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald Trump anayeshughulikia masuala ya Nchi za Afrika, Uarabu na Mashariki ya Kati.

Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa Mkutano wa Oslo Forum 2026 unaoendelea jijini Oslo, Norway, kuanzia leo Juni 10 hadi 12, 2026.

Mkutano huo umewakutanisha Viongozi, Wanadiplomasia Waandamizi na Wataalamu wa masuala ya amani na usuluhishi kutoka Nchi mbalimbali duniani kwa lengo la kujadili changamoto za usalama, diplomasia na juhudi za kuimarisha amani katika maeneo mbalimbali ya dunia.

JK ni rais mjinga pia, Tanzania hakukuwa na rais tangu nchi hii imezaliwa. Hapa wanajaribu ku-lobby ili wasimfunge hilo limama liuaji. Huu ni ujinga tu mnaoleta. Watu wameuawa na huyo Kikwete na wenzake.
 
Yes gentleman,
it's true,
ni mbaya sana kua mfuata mkumbo lofa aise :NoGodNo:

Dunia imeanza kujua nani ni nani. Albert Einsten aliwahi kusema nobody can solve a problem, at the same level, which the problem was created.
Nani ni nani katika haya matatizo tuliyonayo?
 
Gentleman,
kuna mambo hayataki mihemko wala kubabaika na maneno ya wafuata mkumbo wakosaji,
ni kusonga mbele kwa mbele kwa mbele kimkakati zaidi bila kujali ramli au makasiriko nonsense ya mercenaries, kwasababu maisha hayana extra time :NoGodNo:
Nyie wote mnaowaunga mkono wauaji nanyi mnashiriki katika dhambi za uuaji nanyi ni wauaji na lazima malipizi ya dhambi yawe juu yenu.
 
Huyu alivyo ndumi la kwili hakawii kumkangaa shosti wake, kwamba hashahurika hata ilye ya oct 29 ni ulevi wake wa madaraka, na ya urusi ni yeye mwenyewe. maza awe makini
 
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald Trump anayeshughulikia masuala ya Nchi za Afrika, Uarabu na Mashariki ya Kati.

Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa Mkutano wa Oslo Forum 2026 unaoendelea jijini Oslo, Norway, kuanzia leo Juni 10 hadi 12, 2026.

Mkutano huo umewakutanisha Viongozi, Wanadiplomasia Waandamizi na Wataalamu wa masuala ya amani na usuluhishi kutoka Nchi mbalimbali duniani kwa lengo la kujadili changamoto za usalama, diplomasia na juhudi za kuimarisha amani katika maeneo mbalimbali ya dunia.

HIVI KIKWETE BADO
NI WESTERN WORLD FAVOURITE ?
 
Haitasaidia kitu
 
Back
Top Bottom