GE2010 Kikwete apewa report ya kura za Slaa

Status
Not open for further replies.
Habari zilizopatikana ndani ya kikao cha siri kati ya vigogo waandamizi wa usalama wa taifa,Kikwete na Kinana wiki iliyopita zimedokeza kwamba JK amepokea report inayoonyesha kura za Dk Slaa atakazopata october 31 2010.

Mpashaji wa habari amebainisha ya kwamba baada ya JK kupewa tathimini hiyo hakuamini alichoambiwa, zaidi aliongea kwa kiingereza maneno mawili '' Is it?''.

Hii ni taarifa fupi iliyotolewa wiki tatu zilizopita ikulu jijini dar es salaam ikiwa ni mpango wa usalama wa taifa kukamilisha awamu ya kwanza ya utafiti wao kwa baadhi ya mikoa ya kanda ya ziwa, kati, pwani na kaskazini. Machache yameibwa kwenye taarifa hiyo:

Mara: Dr Slaa 59.7%
Mwanza😀r Slaa 58.3%
Kigoma😀r Slaa 52.7%
Singida: Dr slaa 34.7%
Shinyanga: Dr Slaa 43.2%
Kilimanjaro: Dr Slaa 51.7%
Arusha: Dr Slaa 47.1%
Manyara: Dr Slaa 53.8%
Tanga😀r Slaa 46.2%
Dar es Salaam: Dr Slaa 66.4%
Geita: Dr Slaa: 62.7%
Kagera: Dr Slaa 48.2%
Dodoma: Dr slaa 42.4%
Tabora: Dr Slaa 57.6%

Hizi ni mbinu na mikakati ya CHADEMA ya kutaka kuwahadaa wananchi ili waje kuamini kwamba CHADEMA wameibiwa kura na CCM,mara matokeo yatakapotangazwa kuwa CCM imepata ushindi wa kishindo.Ukweli unabaki palepale kwamba CHADEMA inakubalika katika baadhi tu ya maeneo ambayo ni machache tofauti na CCM ambayo inakubalika sehemu nyingi za nchi
 
Alafu kkuna source wa Synovate anasema Iringa ndio noma for Slaa maana 2005 ndio alipopata kura nyingi JK.

Iringa ni CCM wao wenyewe waliolikoroga, uhuni wa kukata majina ya washindi wa kura za maoni bila sababu za kueleweka kutawagharimu sana CCM sehemu nyingi.

Kwanini Synovate hawataki kuonyesha polls na wanaishia kutupatia tafiti za kijinga ambazo hazina kichwa wala miguu. Kuona kwamba nani anapendelewa na vyombo vya habari sidhani kama inahitaji tafiti za Synovate.
 
Hizi ni mbinu na mikakati ya CHADEMA ya kutaka kuwahadaa wananchi ili waje kuamini kwamba CHADEMA wameibiwa kura na CCM,mara matokeo yatakapotangazwa kuwa CCM imepata ushindi wa kishindo.Ukweli unabaki palepale kwamba CHADEMA inakubalika katika baadhi tu ya maeneo ambayo ni machache tofauti na CCM ambayo inakubalika sehemu nyingi za nchi

Mkuu tangu orodha ya mafisadi itolewe hadharani na Dr. Slaa na wananchi wameona bla bla za Kikwete katika kuwashughulikia hawa wahujumu uchumi, wananchi sasa wamefumbuka macho si kama zamani. Angalia Kikwete anavyowasafisha akina Mramba na Lowasa na wewe bado unampa kura yako? Lazima utakuwa mnufaika wa huu wizi wa mali za nchi yetu.
 
Freeman Mbowe 2005 mikutano yake ilikuwa inajaza watu kama hii ya Wilberd Slaana matumizi ya HELKOPTA na la kushangaza Mbowe alikubali kushindwa kwa kishindo tena alihunduria kuapishwa kwa JK wakati CUF na TLP walikataa kukubali matokeo! jee DR. Slaa atakuwa tayari kufuata nyayo za Mwenyekiti wake Mbowe kukubali matokeo ya ushindi wa CCM wa TSUNAMI

CHADEMA munaota ndoto za mchana! hata mwaka 2005 mulikuwa na ndoto hizi hizi za kudai ushindi hewa! sasa ngojeeni 31 october mtakavyo garagazwa! ila tunamuomba Slaa akubali matokeo kama alivyofanya Mbowe 2005!

CHADEMA wacheni FITINA na UMBEA wa kuwasingizia viongozi wa CCM kuwa wananjama za kuwauwa viongozi wenu! huu ni uongo wa wazi kabisa na kama munaushahidi toka kwa USALAMA wenu wa TAIFA si mupeleke tuhuma zenu POLISI? munangoja nini? WACHENI KUWADANGANYA WANANCHI KUWA SLAA ATASHINDA! HUKO VIJIJINI NA MIKOA YA PWANI, KUSINI NA KUSINI MAGHARIBI, MIKOA YA KATI NA ZANZIBAR HAKUNA ANAEMJUWA SLAA ILA HUKO MBULU, UCHAGANI NA BAADHI YA MIKOA YA MAGHARIBI LABDA NDIPO ANAPOWEZA KUAMBULIA KURA CHACHE! TAKWIMU NILIZIWEKA HAPA LAKINI ZIMEFUTWA NA LA KUSHANGAZA NI KUWA FORUM HII INATAKA MAWAZO YA KUMSIFIA SLAA NA CHADEMA NA HUU NI UWOGA! KWANI WANAOAMUA NANI ATAKUWA RAIS SIO JAMII FORUM BALI NI WA TZ! NA WA TZ WENGI WANATEGEMEWA KUMPA KURA ZAO KIKWETE!

SASA KAMA NYINYI HAMTAKI KIKWETE AU LIPUMBA AWE RAIS HAKUNA ANAEWALAZIMISHA LAKINI SIO MULAZIMISHE WATU WOTE WAMPENDE DR.SLAA NA CHADEMA!

MUNASIKIAEEE!!
 
HUTAKI UNAACHA, ebu tupe data zaid, maana kuna watu wao kuamini ni mpaka yesu ashuke ? au mpaka Dr slaa siku apishwe.
 
Unacholialia kitu gani kama JF ni Chadema si unajiondokea na ukitaka tutakusindikiza kwa MICHUZI.
 
Na wewe pia KADOGOO, unapenda forum inayomsifia KIKWETE tu, Kaka mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko, si kama 2005, SLAA anakubalika kote ndo maana jk ameshindwa hata kupumzika.
 
Freeman Mbowe 2005 mikutano yake ilikuwa inajaza watu kama hii ya Wilberd Slaana matumizi ya HELKOPTA na la kushangaza Mbowe alikubali kushindwa kwa kishindo tena alihunduria kuapishwa kwa JK wakati CUF na TLP walikataa kukubali matokeo! jee DR. Slaa atakuwa tayari kufuata nyayo za Mwenyekiti wake Mbowe kukubali matokeo ya ushindi wa CCM wa TSUNAMI

CHADEMA munaota ndoto za mchana! hata mwaka 2005 mulikuwa na ndoto hizi hizi za kudai ushindi hewa! sasa ngojeeni 31 october mtakavyo garagazwa! ila tunamuomba Slaa akubali matokeo kama alivyofanya Mbowe 2005!

CHADEMA wacheni FITINA na UMBEA wa kuwasingizia viongozi wa CCM kuwa wananjama za kuwauwa viongozi wenu! huu ni uongo wa wazi kabisa na kama munaushahidi toka kwa USALAMA wenu wa TAIFA si mupeleke tuhuma zenu POLISI? munangoja nini? WACHENI KUWADANGANYA WANANCHI KUWA SLAA ATASHINDA! HUKO VIJIJINI NA MIKOA YA PWANI, KUSINI NA KUSINI MAGHARIBI, MIKOA YA KATI NA ZANZIBAR HAKUNA ANAEMJUWA SLAA ILA HUKO MBULU, UCHAGANI NA BAADHI YA MIKOA YA MAGHARIBI LABDA NDIPO ANAPOWEZA KUAMBULIA KURA CHACHE! TAKWIMU NILIZIWEKA HAPA LAKINI ZIMEFUTWA NA LA KUSHANGAZA NI KUWA FORUM HII INATAKA MAWAZO YA KUMSIFIA SLAA NA CHADEMA NA HUU NI UWOGA! KWANI WANAOAMUA NANI ATAKUWA RAIS SIO JAMII FORUM BALI NI WA TZ! NA WA TZ WENGI WANATEGEMEWA KUMPA KURA ZAO KIKWETE!

SASA KAMA NYINYI HAMTAKI KIKWETE AU LIPUMBA AWE RAIS HAKUNA ANAEWALAZIMISHA LAKINI SIO MULAZIMISHE WATU WOTE WAMPENDE DR.SLAA NA CHADEMA!

MUNASIKIAEEE!!

Tatizo lako unafikiri binadamu ni kama mawe hayabadiliki. Watu ni dynamic mkuu na unatakiwa ulijue hilo, huu si mwaka 2005. Watanzania wameshuhudia ukilaza wa Kikwete wamegundua walimpa majukumu makubwa zaidi ya uwezo wake na kwa kumsaidia wameamua kumpunguzia.
 
Nafikiri cha msingi sana ni kucampaign like never before, inahitajika nguvu ya ziada kumtoa huyu bwana kwenye hicho kiti vinginevyo Tanzania itatumbukia shimoni. We can't afford to have him for another 5 years!!

Jamani wale wote wenye mapenzi na CCM and yet mnaipenda nchi yenu tafadhalini angalieni maslahi ya nchi yenu, watoto wenu na vizazi vya baadae, hawa wanahitaji nchi ambayo ni prosperous na sio ufukara tunaopewa na serikali ya Kikwete. Amkeni leo tuweke uongozi mpya wenye maono ya neema chini ya mwanamapinduzi ya kweli Dr. W. Slaa.

Mtanzania geuka leo tufanye mabadiliko ya kweli, kumbuka waweza kuibadilisha Tanzania kwa kura yako na kuweka historia ya uhuru no.2.

Mkuu baadhi ta wana CCM wana matatizo ya kufikiri. Akili inatamani ukombozi lakini mwili hautaki. Ni kazi kweli kuendekeza tumbo.

Freeman Mbowe 2005 mikutano yake ilikuwa inajaza watu kama hii ya Wilberd Slaana matumizi ya HELKOPTA na la kushangaza Mbowe alikubali kushindwa kwa kishindo tena alihunduria kuapishwa kwa JK wakati CUF na TLP walikataa kukubali matokeo! jee DR. Slaa atakuwa tayari kufuata nyayo za Mwenyekiti wake Mbowe kukubali matokeo ya ushindi wa CCM wa TSUNAMI

CHADEMA munaota ndoto za mchana! hata mwaka 2005 mulikuwa na ndoto hizi hizi za kudai ushindi hewa! sasa ngojeeni 31 october mtakavyo garagazwa! ila tunamuomba Slaa akubali matokeo kama alivyofanya Mbowe 2005!

CHADEMA wacheni FITINA na UMBEA wa kuwasingizia viongozi wa CCM kuwa wananjama za kuwauwa viongozi wenu! huu ni uongo wa wazi kabisa na kama munaushahidi toka kwa USALAMA wenu wa TAIFA si mupeleke tuhuma zenu POLISI? munangoja nini? WACHENI KUWADANGANYA WANANCHI KUWA SLAA ATASHINDA! HUKO VIJIJINI NA MIKOA YA PWANI, KUSINI NA KUSINI MAGHARIBI, MIKOA YA KATI NA ZANZIBAR HAKUNA ANAEMJUWA SLAA ILA HUKO MBULU, UCHAGANI NA BAADHI YA MIKOA YA MAGHARIBI LABDA NDIPO ANAPOWEZA KUAMBULIA KURA CHACHE! TAKWIMU NILIZIWEKA HAPA LAKINI ZIMEFUTWA NA LA KUSHANGAZA NI KUWA FORUM HII INATAKA MAWAZO YA KUMSIFIA SLAA NA CHADEMA NA HUU NI UWOGA! KWANI WANAOAMUA NANI ATAKUWA RAIS SIO JAMII FORUM BALI NI WA TZ! NA WA TZ WENGI WANATEGEMEWA KUMPA KURA ZAO KIKWETE!

SASA KAMA NYINYI HAMTAKI KIKWETE AU LIPUMBA AWE RAIS HAKUNA ANAEWALAZIMISHA LAKINI SIO MULAZIMISHE WATU WOTE WAMPENDE DR.SLAA NA CHADEMA!

MUNASIKIAEEE!!

Ni heri kuwa kichaa ukaishi majalalani kuliko kuwa puppet wa mafisadi. Yaani mtu anakuwa tayari kunywa damu ya ndugu zake ili mabwana zake (mafisadi) waendelee kutunajisi. Siku si nyingi watu wa dizaini hii watatafuta shimo la kujificha wasilipate.
 
habari za siku wana jamvi?

napenda kuwambia kuwa mimi ni mmoja wa watu wanaompenda dk slaa awe Rais wa nchi hii.

naomba mniruhusu niwaletee taarifa za siri na za ndani kabisa juu mipango inayopangwa na kina kinana na kundi lake + TISS dhid ya dr slaa.

taarifa nikayayoleta itahusu:
  1. mikoa ipi dk slaa ashindwe kwa ujumla
  2. lini masanduku ya kura hewa yatasafirishwa kwenda mikoa husika
  3. asilimia ngapi ktk matokeo ya jumla kitaifa apewe DR.slaa
  4. watu gani na wametoka wapi na wapi wanapata mafunzo ya hali ya juu ili kufanikisha ccm ishinde(wazee wa kazi ktk kuiba kura)
  5. mipango ya kupoteza maisha ya baadhi ya wana chadema Baada uchaguzi
kwakifupi taarifa hizi ni za siri sana ila nitazitoa hadharani maana nampenda Dr slaa awe Rais, lakini kubwa zaidi ni kwamba nimechukia saan maana rafiki yangu wamemuua na kumzika kusikojulikana baada ya kuwa muwazi kwakutofurahishwa na yale wanayotendewa watanzania.

NB: nawaomba watanzania mumchague DR slaa.
Bado tunasubiri umetuahidi kuwa utatuletea taarifa.
 
Kwanini Synovate hawataki kuonyesha polls na wanaishia kutupatia tafiti za kijinga ambazo hazina kichwa wala miguu. Kuona kwamba nani anapendelewa na vyombo vya habari sidhani kama inahitaji tafiti za Synovate.

Hivi Redet ya Mukandala wapo? Au bado wanasubiri maagizo ya CCM ya namna ya kupika data ?
 
Mwenye kuamini hizo statistics kwa kweli hana tofauti na aliyeamini kwamba CCJ ni chama tishio... Hivi Watanzania tutaacha lini kuamini mazingaombwe?
 
Sijaridhika na tathmini inahitajika juhudi ya ziada ili tathmini igonge juu zaidi.
Kwa kuwa CCM inatumia fedha nyingi (kwa fujo) KTK kampeni zake, sisi tunapaswa kwenda kwa akili na hekima zaidi huku tukitumia kila tone la jasho kuhakikisha hakuna kulala nje safari hii.
Kwa kuwa JK ameamua kuitumia familia yake kufanya kampeni kama alivyosema kupitia makamba kwamba URAIS ni suala la KIFAMILIA, sisi Watanzania tuungane kama familia moja dhidi ya familia ya KIKWETE ambayo imejipambanua bayana kuwa wanahitaji usultani wa nchi hii. Tuwe familia ya wapenda mabadiliko chanya siyo kubadili serikali tu bali kuiletea heshima serikali, heshima inayochezewa na wasiojua thamani ya SERIKALI MAKINI ya watu.

Natamani kura zingepigwa kesho.

Ila kero yangu moja ni angalizo kwa timu ya slaa. wafahamu kwamba hata jamaa wa UwT ambao wanamaslahi na situation ya serikali legelege wanapaswa kuwa makini endapo CCM itaamua kuwatumia kama jeshi la akiba. CCM haioni hatari yeyote kutoa roho ya mtu ambaye ni kikwazo kwao ktk kuelekea kushika hatamu za nchi hii. SIOGOPI ila NAHOFIA usalama wa mgombea wetu. Ulinzi uimarishwe.
 
habari za siku wana jamvi?

napenda kuwambia kuwa mimi ni mmoja wa watu wanaompenda dk slaa awe Rais wa nchi hii.

naomba mniruhusu niwaletee taarifa za siri na za ndani kabisa juu mipango inayopangwa na kina kinana na kundi lake + TISS dhid ya dr slaa.

taarifa nikayayoleta itahusu:
  1. mikoa ipi dk slaa ashindwe kwa ujumla
  2. lini masanduku ya kura hewa yatasafirishwa kwenda mikoa husika
  3. asilimia ngapi ktk matokeo ya jumla kitaifa apewe DR.slaa
  4. watu gani na wametoka wapi na wapi wanapata mafunzo ya hali ya juu ili kufanikisha ccm ishinde(wazee wa kazi ktk kuiba kura)
  5. mipango ya kupoteza maisha ya baadhi ya wana chadema Baada uchaguzi
kwakifupi taarifa hizi ni za siri sana ila nitazitoa hadharani maana nampenda Dr slaa awe Rais, lakini kubwa zaidi ni kwamba nimechukia saan maana rafiki yangu wamemuua na kumzika kusikojulikana baada ya kuwa muwazi kwakutofurahishwa na yale wanayotendewa watanzania.

NB: nawaomba watanzania mumchague DR slaa.
Mkuu post yako hakika inachoma mioyo yetu. Naamini behind this wapo UwT manunuzi ambao kwao kuzima maisha ya mtu ni sawa na kuzima mshumaa. hawajui kwamba unapomuua mtanzania mmoja ni sawa unamuua mwanao mchanga kwa kosa la kunyea mkono.
Hapo kwenye bold unaweza kutupatia data japo clue on why and how does that happen? Na kama imetokea Tanzania hii why not to approach The Hague for cleansing this sin?

Kura yangu na familia yangu na wafanyakazi wenzangu tumeshaamua kumnyima mzee wetu mpendwa kikwete, tutampa mtu anayeonesha kutujali zaidi yaani Dr. Slaa.
 
Mwenye kuamini hizo statistics kwa kweli hana tofauti na aliyeamini kwamba CCJ ni chama tishio... Hivi Watanzania tutaacha lini kuamini mazingaombwe?

Ni kweli kabisa nakubaliana na wewe. Lakini naomba nikuulize swali dogo, REDET na Synovate kwanini hawajatoa matokeo ya tafiti zao? Hivi kweli unaweza kuamini kwamba Synovate walifanya utafiti unaogusa coverage ya kampeni za wagombea kwenye vyombo vya habari tu? I think hako kakipengele kalitakiwa kuwa sehemu ya major report kuhusu perception ya watu kuhusu wagombea na pia iwapo uchaguzi ungefanyika wangempa nani kura na kwanini. Kitendo cha Synovate kutuletea utumbo wa utafiti ule unaashiria something is wrong some where na ndio maana hujasikia REDET wala Synovate.

Mwaka 2005, mpaka mwezi mmoja kabla ya uchaguzi walishatoa set mbili za polls na zote CCM ilikuwa inaongoza. Utafiti wao ulianza hata kabla ya nominations, na kama unakumbuka Prof. Mwandosya ali-discredit hizo polls za REDET. Mzee Kingunge baada ya Kikwete kuwa nominated na Mkutano Mkuu wa CCM, akasema kwamba wasomi wa REDET walishatoa matokeo hata kabla ya nominations na ndio uzuri wa kuwa na tafiti ambazo ni credible.

Sasa mwaka huu kigugumizi kinatoka wapi? Hao Synovate wanakuja na report ya kitoto mpaka unaanza kujiuliza hivi hawa walichokuwa wanafanya ina maana watanzania hatujui? Au hatusomi magazeti, au hatuangalii TV au hatusikilizi radio? Maana huo utafiti hauhitaji hata kupoteza resources au kuita waandishi wa habari eti unaenda kuwapa report kuhusu utafiti ambao uko wazi mbele ya kila mtu. Tuambie kilicho jificha ndani ya wapiga kura ili tuone ni kitu gani ambacho wapiga kura wanaangalia, wangapi wameishafanya maamuzi ya kura zao na wangapi ambao hawajafanya maamuzi.
 
I can't wait for this observation to be true

Hizi observations zinaweza kuwa kweli kwani kama hali ingekuwa swali kwenye kambi ya ccm kusingekuwa na sababu ya kumuongezea ratiba ya kampeni mgombea ambae wanajua afya yake inamgogoro! Mara baada ya Idd Jakaya amepangiwa full ratiba ya kampeni hivyo inaashiria kuwa Dr. Slaa watu wameanza kumkubali hivyo ccm wamepata mchecheto!!
 
Ni wazi kwamba this time paka kavishwa kengele
 
Ni kweli kabisa nakubaliana na wewe. Lakini naomba nikuulize swali dogo, REDET na Synovate kwanini hawajatoa matokeo ya tafiti zao? Hivi kweli unaweza kuamini kwamba Synovate walifanya utafiti unaogusa coverage ya kampeni za wagombea kwenye vyombo vya habari tu? I think hako kakipengele kalitakiwa kuwa sehemu ya major report kuhusu perception ya watu kuhusu wagombea na pia iwapo uchaguzi ungefanyika wangempa nani kura na kwanini. Kitendo cha Synovate kutuletea utumbo wa utafiti ule unaashiria something is wrong some where na ndio maana hujasikia REDET wala Synovate.

Mwaka 2005, mpaka mwezi mmoja kabla ya uchaguzi walishatoa set mbili za polls na zote CCM ilikuwa inaongoza. Utafiti wao ulianza hata kabla ya nominations, na kama unakumbuka Prof. Mwandosya ali-discredit hizo polls za REDET. Mzee Kingunge baada ya Kikwete kuwa nominated na Mkutano Mkuu wa CCM, akasema kwamba wasomi wa REDET walishatoa matokeo hata kabla ya nominations na ndio uzuri wa kuwa na tafiti ambazo ni credible.

Sasa mwaka huu kigugumizi kinatoka wapi? Hao Synovate wanakuja na report ya kitoto mpaka unaanza kujiuliza hivi hawa walichokuwa wanafanya ina maana watanzania hatujui? Au hatusomi magazeti, au hatuangalii TV au hatusikilizi radio? Maana huo utafiti hauhitaji hata kupoteza resources au kuita waandishi wa habari eti unaenda kuwapa report kuhusu utafiti ambao uko wazi mbele ya kila mtu. Tuambie kilicho jificha ndani ya wapiga kura ili tuone ni kitu gani ambacho wapiga kura wanaangalia, wangapi wameishafanya maamuzi ya kura zao na wangapi ambao hawajafanya maamuzi.

Issue ya REDET na Synovate waulize wenyewe... lakini ukitumia medula oblangata uliojaliwa na Mungu, ulizia uchaguzi wa serikali za mitaa CCM iliibuka na kura kiasi gani? Alafu jiulize ni kitu gani cha ajabu kimetongea tangu wakati huo mpaka sasa? Jiulize kipi CHADEMA imekuja nacho cha ajabu ambacho kitaweza kubadili matokeo kiasi hicho? Jiulize CCM inaowabunge wangapi? Niulize CCM inatarajia kupata wabunge wangapi? Jiulize wabunge na madiwani wa CCM ambao wametapakaa nchi nzima hawana mchango kwa kura za Rais wao.

Sisi waTanzania watu wa ajabu sana tunaamini mazingaombwe mno....
 
Ha ha haaaa! Kwenu vikaragosi wa CCM na mafisadi, habari ndio hiyo. Hutaki unaacha. Mtaharisha mpaka utumbo mwaka huu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom