Elections 2010 Kikwete apewa report ya kura za Slaa

Status
Not open for further replies.
Hutaki Unaacha
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-online.png
ONLINE

Junior Member



MKUU ULISEMA UTARUDI NA HABARI

AU KAMA HUTAKI UNAACHA HAHAHAHAHAHAa:llama::llama:
 
Kama haya ni kweli Mungu tunaemuomba kila siku ameonyesha njia ushindi ni LAZIMA, nimepata kama 51.7% ya kura zote kwa mikoa 14, hii inatia moyo sana naamini tutashinda iwe isiwe CHADEMA{CHAMA CHA WATU WAPENDAO DEMOCRAS YA KWELI.NA MAENDELEO YA WATU WOTE WA TZ BILA KUJALI WANATOKA UPANDE UPI} Asant Mungu kwa msaada wako sasa tumeshinda.
 
Leo hii n ilikuwa Kata ya Dosidosi, songambele na Matui katika wilaya ya Kiteto na huko Bendera za CHADEMA ndo zinazoonekana. Nimeingia hotelini Kiteto jioni hii na kulikuwa na kipindi maalumu CCM, saa moja usiku. Kijana wa reception akaamua kuhakikisha hatukioni kipindi hich akatubadilishia channel. nilipomuuliza akasema Sisi hapa kiteto tumechoka na kwamwe hatudanganyiki tena. 2000 tuliambiwa tutaletewa maji, 2005 ahadi hiyo ikarudiwa. 2010 imerudiwa tena. Sasa CCM haiaminiki.

Hizo polls ni za kweli tupu. Sisi tuliopo vijijini tunajua tunachokiona. Walichobakiza CCM ni kuiba tu na hilo nalo hatutakubali.
 
Mnaopinga si mlete za kwenu basi ama ya REDET na SYNOVATE ndo sawa? subirini muone kichapo cha mafisadi wa ccm
 
Hi All,

Ukweli ni kwamba JK hakubaliki,hivyo basi hawa wanajiandaa kuiba kura jamani tujitokeze tupige kura na tuzilinde,ila kitendo cha kutangaza kinyume na ukweli ndo hapo balaa litakapo anzia.Huyu jamaa anaweza akaweka historia kwa kile kitakacho mkuta ndani ya uongozi wake wa kupewa,nawaomba sana hata wanasisiem wakubali ukweli,they're not glued to take a lead better keep a distance:llama::blah:
 
acha kutudanganya, unatuambia usalama wa taifa ili tuamini. Tupe ushahidi bwana hatutaki kuongelea vitu hewa.

unataka ushahidi gani tena jamani ?habari ndo hiyo hutaki saga chupa unywe.ama sivyo anza kuandaa bilioni tatu za kuwapa maaskari ili waibe kura na hilo liko wazi kwa mafisadi ila mtashindwa kwa jila layesu mtakamtatwa mchana kweupe kama hawa walokuwa wamekula advance usd $20000 kumpambikizia madawa ya kulevya mtoto wa mjasiria mali anayemtegemea mungu wakidhani kila kitu kina wezekana kwa hela wengine tuna mtegemea mungu na kila tunachofanya hata kama tuna hela tunamweka mungu mbele kwani ndo alotupatia na kutupa akili ya kutafuta si hela ya urithi ambayo mtu anaitumia hajui chanzo chake. Habari ndo hiyo final say is 31 oct 2010
 
Hizi ni mbinu na mikakati ya CHADEMA ya kutaka kuwahadaa wananchi ili waje kuamini kwamba CHADEMA wameibiwa kura na CCM,mara matokeo yatakapotangazwa kuwa CCM imepata ushindi wa kishindo.Ukweli unabaki palepale kwamba CHADEMA inakubalika katika baadhi tu ya maeneo ambayo ni machache tofauti na CCM ambayo inakubalika sehemu nyingi za nchi[/QUOTE]


Una maana sehemu nyingi ya nchi (Watanzania wa sehemu hizo) hawaoni KERO zilizoletwa na CCM katika nchi yetu ya Tanzania???? Au hao WATANZANIA bado akili zao zimefungwa na hawaelewi maana ya MAENDELEO ya Tanzania????

UKWELI NI KUWA IKITANGAZWA KUWA CCM IMESHINDA - BASI USHINDI HUO NI WA KUCHAKACHUA KURA - KWANI WATANZANIA TULIO WENGI TUMECHOSHWA NA UMASKINI ULIOSABABISHWA NA CCM! TUMESHOSHWA NA WIZI WA WAZI WAZI WA RASILIMALI YA NCHI YETU; TUMECHOSHWA NA MBWEMBWE ZA WATANZANIA WACHACHE WANAOPATA WANACHOTAKA KWA KUTUMIA JASHO LA WATANZANIA - TUMESHOSHWA !!!!!!!!!!!!!!! NA KAMWE HATUIPI CCM KURA ZETUUUUUUUUUUUUU
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom