MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
Baada ya kupewa taarifa hizi, aliitisha kikao cha familia, na kuwapa taarifa hizi mbaya kwake, na kikao cha familia kiliamua yafuatayo:
1) Ridhiwani aende mikoa ya kusini kupiga debe la nguvu
2) Salma aende mikoa ya ziwa kupiga debe la nguvu
3) Kikwete alibadilisha ratiba yake ya kampeni na siku alizopangiwa kupumzika zikaondolewa.
Wakuu wa mikoa na wilaya ambazo familia yake watatembelea, walitakiwa kutoa ushirikiano wa hali na mali, ndiyo maana watendaji wa serikali wanadaiwa taarifa za kiserikali na familia kwenye mikoa na wilaya wanapotembelea, wakitumia magari ya serikali yaliyobadilishwa namba.