Elections 2010 Kikwete apewa report ya kura za Slaa

Status
Not open for further replies.
Sep 19, 2010
9
478
Habari zilizopatikana ndani ya kikao cha siri kati ya vigogo waandamizi wa usalama wa taifa,Kikwete na Kinana wiki iliyopita zimedokeza kwamba JK amepokea report inayoonyesha kura za Dk Slaa atakazopata october 31 2010.

Mpashaji wa habari amebainisha ya kwamba baada ya JK kupewa tathimini hiyo hakuamini alichoambiwa, zaidi aliongea kwa kiingereza maneno mawili '' Is it?''.

Hii ni taarifa fupi iliyotolewa wiki tatu zilizopita ikulu jijini dar es salaam ikiwa ni mpango wa usalama wa taifa kukamilisha awamu ya kwanza ya utafiti wao kwa baadhi ya mikoa ya kanda ya ziwa, kati, pwani na kaskazini. Machache yameibwa kwenye taarifa hiyo:

Mara: Dr Slaa 59.7%
Mwanza:Dr Slaa 58.3%
Kigoma:Dr Slaa 52.7%
Singida: Dr slaa 34.7%
Shinyanga: Dr Slaa 43.2%
Kilimanjaro: Dr Slaa 51.7%
Arusha: Dr Slaa 47.1%
Manyara: Dr Slaa 53.8%
Tanga:Dr Slaa 46.2%
Dar es Salaam: Dr Slaa 66.4%
Geita: Dr Slaa: 62.7%
Kagera: Dr Slaa 48.2%
Dodoma: Dr slaa 42.4%
Tabora: Dr Slaa 57.6%
 
Kama ni ya kweli, basi inatia moyo. Ina maana kwamba zinazobaki anagawana na wengine wote? Any way hata kama unadanganya, sometimes maneno huumba. Let's believe it will happen.
 
Taarifa hizi nilizisikia, sikujua zishaanza kusambaa... Inabidi kuanza kutafuta ukweli wake. Inasemekana Slaa ameanza kukubalika vijijini sana, nini kinasababisha?
 
Habari zilizopatikana ndani ya kikao cha siri kati ya vigogo waandamizi wa usalama wa taifa,Kikwete na Kinana wiki iliyopita zimedokeza kwamba JK amepokea report inayoonyesha kura za Dk Slaa atakazopata october 31 2010.

Mpashaji wa habari amebainisha ya kwamba baada ya JK kupewa tathimini hiyo hakuamini alichoambiwa, zaidi aliongea kwa kiingereza maneno mawili '' Is it?''.

Hii ni taarifa fupi iliyotolewa wiki tatu zilizopita ikulu jijini dar es salaam ikiwa ni mpango wa usalama wa taifa kukamilisha awamu ya kwanza ya utafiti wao kwa baadhi ya mikoa ya kanda ya ziwa, kati, pwani na kaskazini. Machache yameibwa kwenye taarifa hiyo:

Mara: Dr Slaa 59.7%
Mwanza:Dr Slaa 58.3%
Kigoma:Dr Slaa 52.7%
Singida: Dr slaa 34.7%
Shinyanga: Dr Slaa 43.2%
Kilimanjaro: Dr Slaa 51.7%
Arusha: Dr Slaa 47.1%
Manyara: Dr Slaa 53.8%
Tanga:Dr Slaa 46.2%
Dar es Salaam: Dr Slaa 66.4%
Geita: Dr Slaa: 62.7%
Kagera: Dr Slaa 48.2%
Dodoma: Dr slaa 42.4%
Tabora: Dr Slaa 57.6%

Endelea kuota!
 
Good news indeed,
Dar imenishangaza, kumbe sasa inaelekea wanaelewa vizuri tu kwamba huu ni muda wa mabadiliko!
 
pwani dk slaa 99%
zanzibar 100%
Ni vema ukapuuza kuliko kuongeza haya. Najua ni taarifa toka kwa member mpya (tena 1st post) na watu mnaweza kuidharau. Taarifa nyingine hupuuzwa lakini sometimes jaribuni kuzitafiti. Unajua sababu ya JK kuondolewa likizo katika kampeni hizi?
 
Taarifa hizi nilizisikia, sikujua zishaanza kusambaa... Inabidi kuanza kutafuta ukweli wake. Inasemekana Slaa ameanza kukubalika vijijini sana, nini kinasababisha?
Mimi nadhani wananchi sasa wameanza kufumbuka macho! Wameanza kujua hali halisi ya masiha ya mtanzania kuanzia tupate uhuru mpaka leo hii hapa tulipo! Tunataka mabadiliko kwakweli!
 
pwani dk slaa 99%
zanzibar 100%
Si kila wakati ni wa matani kama thread zako nyingi zilivyo jifunze sometimes kuchangia ukiwa objective, hata kama unapinga au una support jambo do it seriously and not like you always do.
 
Ni vema ukapuuza kuliko kuongeza haya. Najua ni taarifa toka kwa member mpya (tena 1st post) na watu mnaweza kuidharau. Taarifa nyingine hupuuzwa lakini sometimes jaribuni kuzitafiti. Unajua sababu ya JK kuondolewa likizo katika kampeni hizi?
Hutaki Unaacha

Junior Member Join DateSun Sep 2010Posts1Thanks0Thanked 5 Times in 1 Post Rep Power0
Dah, huyu jamaa amekuja kutupa hii 'habari tu'...hapa kuna kitu ngoja tukisikilizie kwanza! Siyo bure....mwenye data zaidi please...mboga ipo mezani....mwageni ugali sasa! Kazi kwenu!
 
Si kila wakati ni wa matani kama thread zako nyingi zilivyo jifunze sometimes kuchangia ukiwa objective, hata kama unapinga au una support jambo do it seriously and not like you always do.
Asante kamanda kwa kuvunja ukimya!
 
Mara: Dr Slaa 59.7%
Mwanza:Dr Slaa 58.3%
Kigoma:Dr Slaa 52.7%
Singida: Dr slaa 34.7%
Shinyanga: Dr Slaa 43.2%
Kilimanjaro: Dr Slaa 51.7%
Arusha: Dr Slaa 47.1%
Manyara: Dr Slaa 53.8%
Tanga:Dr Slaa 46.2%
Dar es Salaam: Dr Slaa 66.4%
Geita: Dr Slaa: 62.7%
Kagera: Dr Slaa 48.2%
Dodoma: Dr slaa 42.4%
Tabora: Dr Slaa 57.6%
And the average is 51.76429 '' Is it?''.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom