habari za siku wana jamvi?
napenda kuwambia kuwa mimi ni mmoja wa watu wanaompenda dk slaa awe Rais wa nchi hii.
naomba mniruhusu niwaletee taarifa za siri na za ndani kabisa juu mipango inayopangwa na kina kinana na kundi lake + TISS dhid ya dr slaa.
taarifa nikayayoleta itahusu:
- mikoa ipi dk slaa ashindwe kwa ujumla
- lini masanduku ya kura hewa yatasafirishwa kwenda mikoa husika
- asilimia ngapi ktk matokeo ya jumla kitaifa apewe DR.slaa
- watu gani na wametoka wapi na wapi wanapata mafunzo ya hali ya juu ili kufanikisha ccm ishinde(wazee wa kazi ktk kuiba kura)
- mipango ya kupoteza maisha ya baadhi ya wana chadema Baada uchaguzi
kwakifupi taarifa hizi ni za siri sana ila nitazitoa hadharani maana nampenda Dr slaa awe Rais, lakini kubwa zaidi ni kwamba nimechukia saan maana
rafiki yangu wamemuua na kumzika kusikojulikana baada ya kuwa muwazi kwakutofurahishwa na yale wanayotendewa watanzania.
NB: nawaomba watanzania mumchague DR slaa.