Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
mapumziko ya Rais yanahojiwa kisa eti siasa za chadema na CCM.....pambafu
jk ni rais wetu naye ni binadamu..kisheria watu hawatakiwi kujenga mabondeni
Jasusi, kutokuwa na uwezo wa kukabiliana na kazi; Kwa nature ya kazi ya urais ilivyo, basi obvious the problem is its magnitude...Nadhani tatizo si magnitude ya kazi bali uwezo wake kukabiliana na hiyo kazi.
Huyu Jamaa kila sehemu ni kupunga mikono, hata kwenye misiba anapunga mkono. Vasco Da Gama amezoea safari yeye hajui wapi pakupunga mkono au kwenye majanga, akili yake mawazo yake, yeye anawaza safari tu. sehemu yoyote yeye akienda basi mtaagwa hata kwenye matatizo atatoa mkono wa kukuageni :lol: Oooh Vasco is Comedian wa Watanzania. Niaibu kuwa na Kiongozi kama Kikwete. Just waste of time in our country 5yrs without President in Tanzania 2010-15 longway to go
Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi waliokuwa upande wa pili wa mto Msimbazi katika eneo la Jangwani, Dar es Salaam wakati alipofanya ziara ya kukagua athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha kwa siku mbili mfululizo jijini humo. (Picha na Ikulu)
pambafu mwenyewe!mapumziko ya Rais yanahojiwa kisa eti siasa za chadema na CCM.....pambafu
Ni jambo la ajabu na la kusikitika rais wetu kuacha wananchi wakihaha na maafa ya mafuriko na kwenda kupumzika serengeti,si pinda wala kikwete waliojitokeza mapema kuwapa watz wenzetu moyo,badala yake leo ndo wanatangaza kuwa rais kakatiza mapumziko au alikimbia mafuriko? Barabara za dar,madaraja infrastructure za umeme zimeharibika,wananchi hawana makazi kwa sababu ya athari za mafuriko,hatuna viongozi wanaojali wananchi,na kuwa nao wakati wa matatizo makubwa kama kipindi hiki,mkuu wa mkoa,wakuu wa wilaya ndo wanahangaika huku huku!
Ah
Jamaa anainjoi eeh?
Pole na kazi nzito wastahili mapumziko!