chizi1
Member
- Dec 16, 2011
- 77
- 23
14. Kukagua zile nyama pori zilizoondoka na ndege kisiri.
12. Kuteua viongozi kila kukicha
13. Kusafiri safiri
15. Kukagua kiwanja chake na hotel.
16. Kupumzisha chat za saa saba usiku.
Pumzika baba, pumzika
14. Kukagua zile nyama pori zilizoondoka na ndege kisiri.
12. Kuteua viongozi kila kukicha
13. Kusafiri safiri
Kipindi kile huenda hakuwa na chenji sana,Mwizi tu huyu hana lolote Kazi kuiba Kodi zetu. Msishangae kusikia hata Shati atakuwa amehongwa na mwenye Hotel, mwarabu wa suti
......
14. Amethubutu
15. Ameweza
16. Anasonga mbele.
Jamaa ana-injoi eeeh?
Pole na kazi nzito mwaka mzima wastahili mapumziko!
Jamaa anainjoi eeh?
Pole na kazi nzito wastahili mapumziko!
Amepumzika au amepumzishwa na Mwarabu aliyemuhonga Suti, Mimi siami kuwa ameenda kupumzika huko. Ameenda kusaini mkataba mwengine wa kipumbavu. Ipo siku mtasikia kuwa yule Mwarabu wa Suti amemuhonga tena Kikwete Chumba huko Serengeti
Dah kazi tunayo....yan kajamaa ni kasharobaro aisee wala hakana habari kuwa kuna wa tz wanaishi kwa shida sana humu nchini.
Jamaa ana-injoi eeeh?
Pole na kazi nzito mwaka mzima wastahili mapumziko!
atacheka na nani huko?Haendi kuzika korea?
kwa nini mapumziko ya viongozi yasitangazwe kila mtz akajua kuwa rais yupo likizo au wazir4i yupo leave? kuna umuhimu gani kuweka siri?inatosha sasa haya mambo yawe stipulated otherwise tutalalama sana bila mafanikio
Non-profit organization dah!Kama mfanyakazi yeyote bila kujali utendaji wake ana haki ya kupumzika.
Mbona hii siielewi, aliye quote, na aliyetuma original ametangulia aliyequote! Why?
|
dah kazi tunayo....yan kajamaa ni kasharobaro aisee wala hakana habari kuwa kuna wa tz wanaishi kwa shida sana humu nchini.
Full good time