Kikwete Anafanya Kweli

kikwete HANA LOLOTE AS FAR AS I KNOW HE CAN SACRIFICE ANYTHING WHEN HE SEE HIS POPULARITY SLIPPING DOWN....HE DEFINATELY KNOW LOWASSA BEING FIXED AND KNEW WHEN HE L FALL...FROM THE EXTRACT ..tusichanganye biashara..na siasa..being taken from MWAKYEMBE REPORT ..AMBAYO DEFINATELLY ATAKUWA ALIIONA KABLA AS PRESIDENT...

ISSUE ya kubeneya is another point which make me feel levels where not same btn lowassa na bosi wake...hisia za kubeneya kupigwa kutokana na kutangaza exit ya LOWASSA na kuingia kwa TYSON...si ya kudharauliwa...yet kwenye issue ya kamati ya MWAKYEMBE ..KUBENEYA AME FEUTURE TENA AS IF THERES RELATION BTN KUBENEYA /RICHMOND /MAFISADI NA KUPIGWA....ukiangalia katika hali ambayo haikutegemewa ..kikwete was the first kwenda kumuona kubeneya[ambaye jana alihudhuria kama mgeni bungeni]...na akasema waandishi wajihadhari.....JE KIKWETE ALIMTUMIA KUBENEYA KUWEKA LITMUS PAPER YA KUTEST EXIT YA LOWASSA INGEKUWAJE...its normal style in leadership to use journalist to test the fealings of certain intended breaking news..to test public reaction...its tested positive!!....

kikwete ni mnafiki kwa sababu pamoja na hayo yote jana imeripotiwa aliongoza kikao cha wazee kilichoshinda mchana kutwa KUMBEMBELEZA LOWASSA abadili uamuzi...hadi saa 3 usiku akawa ameshikilia msimamo wake WAKAAMUA KUTANGAZA RASMI KUKUBALI BARUA....that was hypocritical whilst knowing that hamuhitaji tena.....

TO THAT I SAY JK IS READY TO DO ANYTHING TO FIX POPULARITY..NA SASA TUTEGEMEE UMAARUFU WAKE UTAKUWA JUU....FOR AN EXTRA MILE....MAY BE IKIFIKIA KARIBU NA UCHAGUZI WA NEXT TERM...ILI KUPATA UMAARUFU ...ATATUKAMATIA MKAPA NA MAFISADI WALIOBAKIA...NA HAPO ATAPITA KWA KISHINDO MWAKA 2010!!! WHY NOT IF WE HAVE A PROFESSOR OF POLITICS AS OUR PRESIDENT!!!!

KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!!! KIGUMUU!!!!
 
eh!? :confused: hata akiwa na baraza la mawaziri 200 si hoja!!!? Duh! hajafanya lolote la kupewa hongera. Kulikuwa na ushahidi wa kutosha tangu mwanzoni mwa mwaka jana kuhusiana na ufisadi wa baadhi ya mawaziri wake lakini hakufanya lolote. Sasa tumpe pongezi ya nini? hata kuwafukuza kazi ameshindwa! kwa kuogopa hisani waliomfanyia ili aingie Ikulu.

Yes si hoja, kwani unaweza kuwa na mawaziri kidogo lakini maafisa walio chini ya mawaziri wakawa wengi na isishushe gharama, kuwa na mawaziri wengi au kidogo si hoja, hoja ni jee, mawaziri au wizara zilizopo wanafanya/zinafanya kazi inayowalazim na jee wanaifanya/zinafanya kazi kwa maslahi ya wananchi, waliowachaguwa? au kwa maslahi yao.

kuhusu ufisadi, hoja ni kuwa ufisadi haukuanza wakati wa kikwete, ufisadi upo toka wakati wa nyerere (nae ndio alikuwa fisadi mkubwa kuliko wote) lakini, leo wakati wa kikwete tunaona measures anzochukuwa na tunashuhudia nini anachokifanya. Tume ya rushwa iliundwa wakati wa Mkapa, alifanya nini? si kaikalia kwa miaka mpaka kaondoka madarakani?

unasema "hakufanya lolote", yaani hili linaloendelea na suala la BoT na la Buzwagi yote yameundiwa tume na kikwete na bado huoni anafanya nini? ama kweli kuna watu humu wana chuki za kibinafsi. Kwa mtazamo wangu, Kikwete anafanya kweli na kwa ushahidi ya haya yanayotokea, mengi ya ufisadi yamefanyika awamu ya kwanza mpaka ya tatu, hatujaona hatuwa zozote za maana zikichukuliwa na kuna awamu (hasa ya nyerere) ukisema tuu. kosa, unapotezwa au unaswekwa ndani, kwanza nani alikuwa anathubutu hata kusema?

Huyu JK anafanya na anastahiki pongezi.
 
Je unaweza kunifafanulia mchanganuo wa kumaintain waziri mmoja?

Je VX moja ni kiasi gani?

Je anapata watumishi wangapi?

Je anapata kiasi gani?

Mlinzi analipwaje?

Analipiwa nyumba kiasi gani na kodi za wananchi?

Analipwa basic salary kiasi gani?

Posho zake kiasi gani?

TOTAL NI KIASI GANI KWA WAZIRI MMOJA

x 60 ni kiasi gani?

by the way hapo hatujaongelea makatibu wakuu

Bado tuu huoni umuhimu wa kupunguza baraza la mawaziri? Ama kweli kazi tunayo yaani humu humu JF bado tuna watu kama wewe ambao mnaona sawa kuwa na baraza la mawaziri 60!

whats wrong with you people? yaani hamuwezi kutofautisha mchele na pumba?

hiyo ni hoja ya "uvivu" wa kufikiri. Hata usiwe na mawaziri wote hao na iswe na magari na magharama yote hayo, kama huna waziri anaejali maslahi ya wananchi na uwe na mawaziri wanaojali maslahi yao, basi haitakusaidia kitu. kama ilivyoonekana kwa hawa mawaziri watatu, waliweka maslahi binafsi mbele na wamebainika. jee awamu ya mkapa hakuna mawaziri waliotajwa kwenye tume ya warioba? mbona hakuna aliyeshughulikiwa? tatizo hapa naona ni chuki za kibinafsi na si utendaji wa kikwete. Kikwete anastahili kila sifa kwa utendaji wake.
 
Bobby, Nakubaliana na wewe kwa kokoti mmoja ya taarifa hizi
"Rais Jakaya Kikwete amekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia Desemba 2005. Kabla ya kuwa Rais, Mheshimiwa Kikwete alikuwa Waziri wa Mambo Nje na Uhusiano wa Kimataifa kuanzia 1995 hadi 2005, Waziri wa Fedha 1994 hadi 1995 na Waziri wa Maji, Nishati na Madini kuanzia mwaka 1990 hadi 1994. Kama Waziri wa Maji, Nishati na Madini, Mheshimiwa Kikwete alishiriki moja kwa moja katika kusaini mikataba mibovu ya madini na makampuni ya madini ya kimataifa ambayo kwayo taifa limeendelea kupoteza utajiri mkubwa na kuinyima Serikali uwezo wa kifedha wa kuhudumia wananchi. Kwa mfano, mnamo tarehe 10 Aprili 1990, Major Jakaya Mrisho Kikwete aliingia mkataba wa madini ya kampuni ya SAMAX Limited ambapo kampuni hiyo ilipewa leseni ya kuchimba dhahabu katika eneo la Lusu, Wilayani Nzega Mkoa wa Tabora. Matokeo ya mkataba huo, maelfu wa wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu waliokuwa eneo hilo waliondolewa kwa nguvu na vikosi vya FFU na bila ya kulipwa fidia yoyote. Hadi leo wananchi hao hawajalipwa fidia yoyote licha ya miaka zaidi ya kumi ya kufuatilia haki zao. Baada ya kutwaa utajiri wa dhahabu wa eneo hilo, SAMAX Limited iliuza eneo hilo kwa kampuni ya Ashanti Goldfields ya Ghana kwa dola za Marekani milioni 253. Ashanti Goldfields nao wakauza eneo kwa kampuni ya Resolute Limited ya Australia kwa kiasi kisichojulikana cha fedha za kigeni. Resolute Limited ndio waliojenga na wanamiliki Mgodi wa Dhahabu wa Golden Pride ulioko eneo la Lusu, Nzega hadi sasa na ambao ulifunguliwa mwezi Novemba 1998.

Mnamo tarehe 5 Agosti 1994 Luteni Kanali Jakaya Mrisho Kikwete aliingia tena mkataba na kampuni ya madini Kahama Mining Corporation Ltd., kampuni tanzu ya kampuni ya Sutton Resources ya Canada. Ijapokuwa mkataba huu unaonyesha wazi kwamba ulikuwa unahusu eneo la Butobela Wilaya ya Geita Mkoani Mwanza, mwezi Agosti mwaka 1996 Kahama Mining Corporation wakisaidiwa na vikosi vya FFU walivamia eneo la Bulyanhulu, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga na kuwaondosha kwa nguvu watu takriban laki nne waliokuwa wakiishi na kuchimba dhahabu katika eneo hilo. Baada ya kutwaa eneo hilo kwa nguvu za kijeshi, Sutton Resources iliiuza Kahama Mining Corporation na Bulyanhulu kwa Kampuni ya Dhahabu ya Barrick Gold Corporation ya Toronto, Canada kwa dola za Marekani milioni 280. Leo hii Bulyanhulu ni moja ya migodi tajiri kwa dhahabu katika Bara la Afrika." Source, http://www.chadema.net/habari/2007/orodha1/ukurasa10.php ,Kama hii ni kweli kuna haja gani ya kuwa na imani na Mhe. JK ikiwa hata yeye pia ni Fisadi.

TUNAMSHUKURU JK KWA KUMTOA SADAKA BILALI NA LOWASSA...TUNAJUA BADO KUNA SADAKA NYIGI ZINATAKIWA NA HILI "JINI WANANCHI"..SADAKA HII YA KUUTOA MTANDAO SADAKA TUNAMSHUKURU..NAJUA TURUFU SADAKA YA MWISHO ATAKUWA KUMTOA MKAPA...

LAKINI AJUE PALE SADAKA ZITAKAPOMUISHIA TUTAKUA TUMEBAKIWA NA WAADILIFU KWENYE UTUMISHI WA UMMA ...NA HAPO TUTATAKA SADAKA AWE YEYE MWENYEWE..OFFCOURSE NI FISADI PIA[ IPTL PIA SI ANAHUSIKA..HE WAS MINISTER LIKE KARAMAGI BY THEN..NA HADI LEO TUNALIPA ..KULIKO HATA HII RICHA MOND]..AKISHATOLEWA SADAKA NAFIKIRI RAIS ATAKAYEKUJA ATAJUA WATANZANIA WAMEAMKA NA WATUMISHI WATAKUWA SAFIIII....

JK NOW THE WAR AGAINST TERROR ..OH SORRY UFISADI ..IS HEADING TOWARD YOUR DOOR STEP....HAPA JF HATUANGALII USONI...WALA WE ARE NOT TAKEN BY WIND OF CHEAP POPULARITY...HAPA KAZII TU!!!!!
 
Kikwete was cornered and didn't know what to do! Kujiuzulu kwa Lowassa kulikuwa hakuna ubishi, na kama asingejiuzulu, wabunge walikuwa wameshajiandaa kupitisha vote of no confidence na ingepita! Ndiyo maana ameshindwa JK hata kutafuta PM wakumreplace EL.
Hawezi kupata pongezi yoyote ile JK, it is too late and too little. Na tunamtadharisha kama wananchi kwamba asituletee baraza lingine la mawaziri waliyokuwa hovyo! Because we will not swallow it easily this time. Na kwa vile the parlament has smellt blood, JK ana wakati mgumu sana. It's better he woke up and smelled the coffee!
 
Bobby, Nakubaliana na wewe kwa kokoti mmoja ya taarifa hizi
"Rais Jakaya Kikwete amekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia Desemba 2005. Kabla ya kuwa Rais, Mheshimiwa Kikwete alikuwa Waziri wa Mambo Nje na Uhusiano wa Kimataifa kuanzia 1995 hadi 2005, Waziri wa Fedha 1994 hadi 1995 na Waziri wa Maji, Nishati na Madini kuanzia mwaka 1990 hadi 1994. Kama Waziri wa Maji, Nishati na Madini, Mheshimiwa Kikwete alishiriki moja kwa moja katika kusaini mikataba mibovu ya madini na makampuni ya madini ya kimataifa ambayo kwayo taifa limeendelea kupoteza utajiri mkubwa na kuinyima Serikali uwezo wa kifedha wa kuhudumia wananchi. Kwa mfano, mnamo tarehe 10 Aprili 1990, Major Jakaya Mrisho Kikwete aliingia mkataba wa madini ya kampuni ya SAMAX Limited ambapo kampuni hiyo ilipewa leseni ya kuchimba dhahabu katika eneo la Lusu, Wilayani Nzega Mkoa wa Tabora. Matokeo ya mkataba huo, maelfu wa wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu waliokuwa eneo hilo waliondolewa kwa nguvu na vikosi vya FFU na bila ya kulipwa fidia yoyote. Hadi leo wananchi hao hawajalipwa fidia yoyote licha ya miaka zaidi ya kumi ya kufuatilia haki zao. Baada ya kutwaa utajiri wa dhahabu wa eneo hilo, SAMAX Limited iliuza eneo hilo kwa kampuni ya Ashanti Goldfields ya Ghana kwa dola za Marekani milioni 253. Ashanti Goldfields nao wakauza eneo kwa kampuni ya Resolute Limited ya Australia kwa kiasi kisichojulikana cha fedha za kigeni. Resolute Limited ndio waliojenga na wanamiliki Mgodi wa Dhahabu wa Golden Pride ulioko eneo la Lusu, Nzega hadi sasa na ambao ulifunguliwa mwezi Novemba 1998.

Mnamo tarehe 5 Agosti 1994 Luteni Kanali Jakaya Mrisho Kikwete aliingia tena mkataba na kampuni ya madini Kahama Mining Corporation Ltd., kampuni tanzu ya kampuni ya Sutton Resources ya Canada. Ijapokuwa mkataba huu unaonyesha wazi kwamba ulikuwa unahusu eneo la Butobela Wilaya ya Geita Mkoani Mwanza, mwezi Agosti mwaka 1996 Kahama Mining Corporation wakisaidiwa na vikosi vya FFU walivamia eneo la Bulyanhulu, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga na kuwaondosha kwa nguvu watu takriban laki nne waliokuwa wakiishi na kuchimba dhahabu katika eneo hilo. Baada ya kutwaa eneo hilo kwa nguvu za kijeshi, Sutton Resources iliiuza Kahama Mining Corporation na Bulyanhulu kwa Kampuni ya Dhahabu ya Barrick Gold Corporation ya Toronto, Canada kwa dola za Marekani milioni 280. Leo hii Bulyanhulu ni moja ya migodi tajiri kwa dhahabu katika Bara la Afrika." Source, http://www.chadema.net/habari/2007/orodha1/ukurasa10.php ,Kama hii ni kweli kuna haja gani ya kuwa na imani na Mhe. JK ikiwa hata yeye pia ni Fisadi.

TUNAMSHUKURU JK KWA KUMTOA SADAKA BILALI NA LOWASSA...TUNAJUA BADO KUNA SADAKA NYIGI ZINATAKIWA NA HILI "JINI WANANCHI"..SADAKA HII YA KUUTOA MTANDAO SADAKA TUNAMSHUKURU..NAJUA TURUFU SADAKA YA MWISHO ATAKUWA KUMTOA MKAPA...

LAKINI AJUE PALE SADAKA ZITAKAPOMUISHIA TUTAKUA TUMEBAKIWA NA WAADILIFU KWENYE UTUMISHI WA UMMA ...NA HAPO TUTATAKA SADAKA AWE YEYE MWENYEWE..OFFCOURSE NI FISADI PIA[ IPTL PIA SI ANAHUSIKA..HE WAS MINISTER LIKE KARAMAGI BY THEN..NA HADI LEO TUNALIPA ..KULIKO HATA HII RICHA MOND]..AKISHATOLEWA SADAKA NAFIKIRI RAIS ATAKAYEKUJA ATAJUA WATANZANIA WAMEAMKA NA WATUMISHI WATAKUWA SAFIIII....

JK NOW THE WAR AGAINST TERROR ..OH SORRY UFISADI ..IS HEADING TOWARD YOUR DOOR STEP....HAPA JF HATUANGALII USONI...WALA WE ARE NOT TAKEN BY WIND OF CHEAP POPULARITY...HAPA KAZII TU!!!!!
 
Baada ya kumshangilia JK wakati anaingia madarakani na baada ya hapo madudu yaliyofanyika mara tu baada ya kusainiwa Richmonduli ambayo amestuka leo wakati sisi tumeisha umia na kuibiwa na MAFISADI kila siku.

Kinachotakiwa JK aliomba kazi kwa wananchi, tunahitaji maendeleo tu siyo kumsifia(SIFA).

Kinachohitajika ni kumpa ushirikiano pale anapohitaji tu.

Pia Kipindi cha mwalimu watu wasingelikuwa na makampuni ya Mfukoni wakajulikana na wakaendelea kuweka Mirija. Sasa tumeisha jua kuwa Tanzania kuna Makampuni ya kumkamua Mwananchi(Inawezekana yapo mengi ambayo hatuyajui), Nategemea wale Usalama wa Taifa na siyo kulala na kula pesa za bure kama TAKUKURU.

Jamani, Eti Mkurugenzi wa TAKUKURU ana PhD(sijui ni ya UFISADI?)
 
Bobby, Nakubaliana na wewe kwa kokoti mmoja ya taarifa hizi
"Rais Jakaya Kikwete amekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia Desemba 2005. Kabla ya kuwa Rais, Mheshimiwa Kikwete alikuwa Waziri wa Mambo Nje na Uhusiano wa Kimataifa kuanzia 1995 hadi 2005, Waziri wa Fedha 1994 hadi 1995 na Waziri wa Maji, Nishati na Madini kuanzia mwaka 1990 hadi 1994. Kama Waziri wa Maji, Nishati na Madini, Mheshimiwa Kikwete alishiriki moja kwa moja katika kusaini mikataba mibovu ya madini na makampuni ya madini ya kimataifa ambayo kwayo taifa limeendelea kupoteza utajiri mkubwa na kuinyima Serikali uwezo wa kifedha wa kuhudumia wananchi. Kwa mfano, mnamo tarehe 10 Aprili 1990, Major Jakaya Mrisho Kikwete aliingia mkataba wa madini ya kampuni ya SAMAX Limited ambapo kampuni hiyo ilipewa leseni ya kuchimba dhahabu katika eneo la Lusu, Wilayani Nzega Mkoa wa Tabora. Matokeo ya mkataba huo, maelfu wa wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu waliokuwa eneo hilo waliondolewa kwa nguvu na vikosi vya FFU na bila ya kulipwa fidia yoyote. Hadi leo wananchi hao hawajalipwa fidia yoyote licha ya miaka zaidi ya kumi ya kufuatilia haki zao. Baada ya kutwaa utajiri wa dhahabu wa eneo hilo, SAMAX Limited iliuza eneo hilo kwa kampuni ya Ashanti Goldfields ya Ghana kwa dola za Marekani milioni 253. Ashanti Goldfields nao wakauza eneo kwa kampuni ya Resolute Limited ya Australia kwa kiasi kisichojulikana cha fedha za kigeni. Resolute Limited ndio waliojenga na wanamiliki Mgodi wa Dhahabu wa Golden Pride ulioko eneo la Lusu, Nzega hadi sasa na ambao ulifunguliwa mwezi Novemba 1998.

Mnamo tarehe 5 Agosti 1994 Luteni Kanali Jakaya Mrisho Kikwete aliingia tena mkataba na kampuni ya madini Kahama Mining Corporation Ltd., kampuni tanzu ya kampuni ya Sutton Resources ya Canada. Ijapokuwa mkataba huu unaonyesha wazi kwamba ulikuwa unahusu eneo la Butobela Wilaya ya Geita Mkoani Mwanza, mwezi Agosti mwaka 1996 Kahama Mining Corporation wakisaidiwa na vikosi vya FFU walivamia eneo la Bulyanhulu, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga na kuwaondosha kwa nguvu watu takriban laki nne waliokuwa wakiishi na kuchimba dhahabu katika eneo hilo. Baada ya kutwaa eneo hilo kwa nguvu za kijeshi, Sutton Resources iliiuza Kahama Mining Corporation na Bulyanhulu kwa Kampuni ya Dhahabu ya Barrick Gold Corporation ya Toronto, Canada kwa dola za Marekani milioni 280. Leo hii Bulyanhulu ni moja ya migodi tajiri kwa dhahabu katika Bara la Afrika." Source, http://www.chadema.net/habari/2007/orodha1/ukurasa10.php ,Kama hii ni kweli kuna haja gani ya kuwa na imani na Mhe. JK ikiwa hata yeye pia ni Fisadi.

Nicazius:
Ahsante kwa kutuwekea historia hiyo mhimu hapa. Wengi hatukuwa nayo hiyo. Huu ndio uzuri wa JF. Mduara huu unaendelea katika kukamilika kwake.
 
Wajameni tusiwe na uwoga wa kutoa credits pale ambapo kazi imefanyika vema put aside partisan...JK ni mwenyekiti wa CCM kwa hiyo ilibidi acheze game...aliwaamini watu hawa and they let him down.

Amejitahidi sana wengine mnasema Nyerere was better...mmesahau wakati mtu akiboronga RTC anpelekwa NBC...Kwawawa mara leo ni waziri mkuu akiboronga anapelekwa waziri kilimo....come on ppl give JK credit he deserve it.

Mimi binafsi JK alipochukua urais nilifurahi lakini baadae nikaanza ku lose confidence lakin sasa naona anaanza kunirejesha let us see cabinet yake.
 
JK hajafanya lolote, sanasana EL ndio apongezwe kwa kujiuzulu ili kumlinda JK. Wote wamekula kwanzia BOT, Richmond, Mining contracts na mengine mengi tu.

Yote haya yametokea kwasababu ya opposition bungeni, kikundi ndani ya CCM kinachopinga serekali ya JK na pia wabunge wengi sikuhizi ni waelewa mambo. Wale wenye degree feki wamepungua sikuhizi
 
Jamani kumpongeza JK sasa hivi ni kama kumdhihaki tu. Kwani kafanya nini basi? Tusubiri tu hilo baraza atakalokuja nalo na hao wezi wapya sasa tuone ni namna gani wanavyoiba. Mh Tz kazi ipo mbona?
 
eh!? :confused: hata akiwa na baraza la mawaziri 200 si hoja!!!? Duh! hajafanya lolote la kupewa hongera. Kulikuwa na ushahidi wa kutosha tangu mwanzoni mwa mwaka jana kuhusiana na ufisadi wa baadhi ya mawaziri wake lakini hakufanya lolote. Sasa tumpe pongezi ya nini? hata kuwafukuza kazi ameshindwa! kwa kuogopa hisani waliomfanyia ili aingie Ikulu.

JK HONGERA SANA.BADO MRAMBA, KITILYA WA TRA, MAGUFURI,MGONJA NA DIALLO.
 
Hakuna binadamu ambaye ni 100% perfect kila binadamu ana mazuri yake na mapungufu yake...umuhimu mtu akipewa cheo ni kuwa honest na kutekeleza kazi yake aipasavyo...kula kupo hata wewe ukipewa nafasi utakula....as we all know ministrerial job is a very short career.

Hawo watu uliowataja nakubaliana nawe lakini sijui ufisadi wa Magufuli nadhani jamaa ni hard working sana....may be u know him better...
 
Sasa hapa ndipo kweli ninathubutu kufikiria maybe mzungu ana ukweli anaposema kuwa watu weusi wana ubongo kama wa mtoto mdogo. JK apongezwe nini?
yeye kafanya nini haswa EL kajiuzulu tu. What's the big deal?
JK anamtayarishia George Bush watz wenye nyuso za furaha tu kwani Bush anakuja kuinunua Tz, anajijengea kambi yake kubwa sana ya jeshi, ndio sababu tu ya kujifanya kuja Tz. Watz jamani tuna kazi kwa kweli, haya basi na huyo Bush aje alete na majeshi yake watuulie mbali sio ndio THUGS wanavyo-operate bwana!
Mnyonge hana haki.
 
Tunafahamu kuwa hakuna mtu mkamilifu kwa 100%. Lakini JK si wa kusifiwa kwa sababu madudu yaliyofanywa na EL et al bado yanaendelea kuwa mzigo kwa Watz. MAFISADI wafilisiwe, mikataba hiyo mibovu(kama uwezekano wa Kisheria upo) ifutwe na kamati ziundwe kuchunguza Mikataba yote ya IPTL, NETGroup Soln, NBC, SIGARA n.k. ambayo imewafanya baadhi ya wawekezaji kuiona Tanzania kama nchi isyo na mwenyewe.
 
Mimi nasimama katikati na nitakuja kutoa msimamo wangu siku za usoni .Kwa sasa tuendelee
 
Hivi huyu JK aliwapa nini wadanganyika:??????? Mtajasababisha tutukane sasa, maana anashabikiwa shabikiwa tuuuuu hata kwa mambo ambayo yameleata na yataendelea kuleta matatizo. Hivi si niyeye aliwacreate akina Lowasa na Karamagi???????

Usije kushangaa naye akidai anotolewa kafara tu!!!!!!
 
Nyambala,
Hivi si niyeye aliwacreate akina Lowasa na Karamagi???????
Nilikuwa muda wote nimekaa nje nikipata somo la wachangiaji nipate kutoa maoni yangu lakini ktk kupima kwangu sikutazama kabisa somo lako!...Somo zito na limenipa mwanga mkubwaa!
Ikiwa sifa hizi za Jk zitatokana na zengwe hili la Tanesco nadhani mkuu una point kubwa sana....
JK atupa pole baada ya kutuumiza kisha upewe sifa kwa kusema poleni....wagonjwa tupo hospitali ambayo haina dawa.... hata hivyo sii haba kwa Muungwana.
 
Back
Top Bottom