Kikwete ana siri ya makontena

Wizi wa kodi or makontena ubachukuliwa kama ni watu fulani tu wametenda, ukweli ni kwamba huu ni uwozo na uwongozi wa ccm ulio fail kuongoza nchi, zaidi wao ni ufisadi.

Duuuuh bado unaota tu? Amka ujenge uchumi wako na wa nchi
 
Utawala uliopita ulikuwa uozo sana na iliharibu sana nchi yetu! uraisi haukuwa taasisi bali wa KIFAMILIA kwani wote walikuwa na madaraka ya kuamua kama RAISI.
 
Hapo ndio unafiki wa Mwakyembe unapojidhihirisha kama aliyajua hayo inakuwaje hakuyasema na akakazania issue ya RICHMOND huku akificha uchafu huo na ule wa madawa ya kulevya ya akina Masogane? kwa hiyo kwa maana halisi Mwakyembe hafai kuwa kiongozi sehemu yeyote.
Kibogo tunatakiwa kutafakari kwa kina kabla ya kuhukumu watu. Mimi nadhani ni vizuri tuwe na maswali ya kujiuliza. Hivi Waziri ameandika report na kuipeleka ngazi husika halafu kabla ya kujua nini hatima ya report yake raisi anamhamishia wizara nyingine je, hapo alitakiwa kujiuzulu kwa kuhamishwa wizara au kwa report yake? je unapokuwa waziri ukatoa report unatoa deadline kwa rais atoe majibu? Aliyemrithi Mwakyembe alitakiwa kujiuzulu na sio yeye ambaye hakuwa na mandate tena na ile wizara. Ingekuwa aliona uozo huo halafu akaufumbia macho mm nisingetoa haya maneno, lakini alipoona matatizo alitoa taarifa ya kina ( accoding to mtoa taarifa) na kumpatia mkuu wake wa kazi ili ashughulikie na wala hakuna sehemu ilipogundulika kuwa yeye ni mhusika katika sakata hilo, infact he is clean. Baadaye akapewa kazi nyingine EAC, hivi kwa kujiuzulu baada ya kuhamishiwa huko asingeonekana mwehu? hivi watanzania wangemuuliza angejibu anajiuzulu kwasababu zipi wakati kwenye wizara aliyopo hakuna tatizo? Je tusingeona kwamba yeye alikuwa na ulaji amekatiwa kule wizara ya uchukuzi? Hiyo ni tafakuri yangu ambayo watanzania wenzangu ningeomba nao wajaribu kuiangalia kwa pande zote. Tusifanye visa bali tujadiri kwa mapenzi ya nchi yetu. Itakuwa ni vibaya sana tukajadiri mada hii tukiwa na makovu ya Richmond kwenye bongo zetu.

Mungu ibariki Tanzania
 
of course. Hakuna sheria inayomkataza mtu kuwa na nyumba hata 200. Nyumba ni biashara kwa hiyo ndio biashara yake. Halafu ukikuta ana kakampuni basi, keshashinda kesi. Tuhuma za rushwa ni ngumu kuthibisha, maana lazima kuwe na clear evidence. Na kama akiwa na kimemo cha Rais ndio kabisaaa .No case

rais hajifungi kirahisi hivyo eti kwa kuandika vimemo,
mwenye kimemo hata kimoja cha jk aweke picha hapa,nitampa milioni 5 ya sikukuu
 
Siku kikwete akijikoroga kuachia uenyekiti basi na kikwete tutamshuhudia segereaa!!!

Mzee mwinyi alimuachia Mkapa kiti mapemaaa hata kabla ya muda wake!!! Mzee mkapa nae akaendeleza utamaduni huo huo!!! Ila jk duuuhh.. A nasubir had 2017!!!!
 
Wausika wote wametajwa na kiasi walichokwepa za ridhiwani in ngapi mtaishia kuzulia watu.wizi.hujuma.maradhi na hata vifo ccm mbele kwambele
 
Kibogo tunatakiwa kutafakari kwa kina kabla ya kuhukumu watu. Mimi nadhani ni vizuri tuwe na maswali ya kujiuliza. Hivi Waziri ameandika report na kuipeleka ngazi husika halafu kabla ya kujua nini hatima ya report yake raisi anamhamishia wizara nyingine je, hapo alitakiwa kujiuzulu kwa kuhamishwa wizara au kwa report yake? je unapokuwa waziri ukatoa report unatoa deadline kwa rais atoe majibu? Aliyemrithi Mwakyembe alitakiwa kujiuzulu na sio yeye ambaye hakuwa na mandate tena na ile wizara. Ingekuwa aliona uozo huo halafu akaufumbia macho mm nisingetoa haya maneno, lakini alipoona matatizo alitoa taarifa ya kina ( accoding to mtoa taarifa) na kumpatia mkuu wake wa kazi ili ashughulikie na wala hakuna sehemu ilipogundulika kuwa yeye ni mhusika katika sakata hilo, infact he is clean. Baadaye akapewa kazi nyingine EAC, hivi kwa kujiuzulu baada ya kuhamishiwa huko asingeonekana mwehu? hivi watanzania wangemuuliza angejibu anajiuzulu kwasababu zipi wakati kwenye wizara aliyopo hakuna tatizo? Je tusingeona kwamba yeye alikuwa na ulaji amekatiwa kule wizara ya uchukuzi? Hiyo ni tafakuri yangu ambayo watanzania wenzangu ningeomba nao wajaribu kuiangalia kwa pande zote. Tusifanye visa bali tujadiri kwa mapenzi ya nchi yetu. Itakuwa ni vibaya sana tukajadiri mada hii tukiwa na makovu ya Richmond kwenye bongo zetu.

Mungu ibariki Tanzania
Suala sio kujiuzuru ninachotaka uelewe ni kwa nini huyu Mwakyembe alikaa na amekaa kimya hadi sasa juu ya kashfa hii ya makontena huku yamepotea yeye akiwa Waziri? Na tumemshuhudia akitokwa na povu juu ya RICHMOND na kujidai yeye aogopi chochote kwani kama kufa aliisha kufa.
 
hivi nyie chadema mnadhani chuki dhidi ya Jk inalipa? U are wasting alot of yout time,jitahidini kucontrol frustration mbona hii sio mara yenu ya kwanza kushindwa uchaguzi? Inawauma sana jk kumzuia lowassa kuingia ikulu! Jueni tu huyo jamaa yenu ana gundu maana ameihangaikia mno ikulu na bado hajafanikiwa
Why Lowassa amehangaikia Ikulu kwa muda mrefu?why Jk amuzuie,why JK adhurumu haki ya wadanganyika kuchagua mtu wamtakaye?Inawezekana ndani ya Lowassa kuna kitu wanaccm wanakiogopa?
 
Kwa hili Wazili mkuu kumhoji huyo kijana nadhani wengi tutakuwa kina tomaso tutaamini tukiona.
 
Why Lowassa amehangaikia Ikulu kwa muda mrefu?why Jk amuzuie,why JK adhurumu haki ya wadanganyika kuchagua mtu wamtakaye?Inawezekana ndani ya Lowassa kuna kitu wanaccm wanakiogopa?

Ukweli Ndo huo na Ndo maana hawana uwezo wa kumkamata na hawatapata hadi kiyama, na kama Kuna mwana ccm anayeishi kwenye nyuma yenye ngome na awe wa kwanza kumtupia mawe baba yetu Lowassa. Shujaa wa UKAWA.
 
Kuna mantiki,maana kuna majipu mengine yatatumbuliwa kwa ganzi na mengine hayatatumbuliwa.

Kama ni hivyo basi hatuna haja ya kukesha tukimuombea kama alivyoomba. Hayo majipu yanayohitaji ganzi na yale yatakayoachwa yaive na kujiponea yenyewe ndiyo majipu muhimu kwa Taifa.
 
hivi nyie chadema mnadhani chuki dhidi ya Jk inalipa? U are wasting alot of yout time,jitahidini kucontrol frustration mbona hii sio mara yenu ya kwanza kushindwa uchaguzi? Inawauma sana jk kumzuia lowassa kuingia ikulu! Jueni tu huyo jamaa yenu ana gundu maana ameihangaikia mno ikulu na bado hajafanikiwa

Hivi gazeti la Jamhuri ni CDM!?

By the way kusema JK ndiye aliyemzuia Lowasa kuingia Ikulu ina maana kuwa JPM hakuwa mshindi halali. Angalia kauli zako.
 
Duuuuh bado unaota tu? Amka ujenge uchumi wako na wa nchi

Amka wewe ambae umelala toka uzaliwe, uchumi unavyo jua wewe ni kodi tu? Uchumi pia upo katika mtu mmoja mmoja, Tanzania watu ni mafukara sana ni zaidi ya umasikini.
 
Back
Top Bottom