Kikwete ana siri ya makontena

Kikwete ana siri ya makontena

Kama hilo gazeti linasema Ukweli basi Kuna haja ya Wabunge wa Upinzani kupeleka hoja binafsi ya kumvua JK kinga ya kutoshtakiwa, ashitakiwe kwa hasara hii ya makontena yaliyopitishwa bandarini.

Ifahamike Raisi ana Kinga kwa yale aliyoyatenda yaliyomo ndani ya mamlaka ya Raisi, Hana Kinga kwa makosa ya Jinai
 
hivi nyie chadema mnadhani chuki dhidi ya Jk inalipa? U are wasting alot of yout time,jitahidini kucontrol frustration mbona hii sio mara yenu ya kwanza kushindwa uchaguzi? Inawauma sana jk kumzuia lowassa kuingia ikulu! Jueni tu huyo jamaa yenu ana gundu maana ameihangaikia mno ikulu na bado hajafanikiwa

Hii ni mbinu ya kizee kuwatoa watu kwenye mada husika. Ni hivi Ritz1 na babayake wako nyuma ya upotevu wa kodi ya serekali. Na si hilo tu walishiriki mengi sana ya kulihujumu taifa hili bila aibu. Kwahiyo kuwachomekea cdm hapa ni upuuzi wa hali ya juu. Mpuuzi mkubwa ww kwa kujipendekeza kwa wahujumu wa taifa.
 
Wizi wa kodi or makontena ubachukuliwa kama ni watu fulani tu wametenda, ukweli ni kwamba huu ni uwozo na uwongozi wa ccm ulio fail kuongoza nchi, zaidi wao ni ufisadi.

Mkuu umenena! Huu ndiyo msingi na chanzo cha fedheha ya makontena na uozo mwingine wote!yours is a brilliant summary!
 
hivi nyie chadema mnadhani chuki dhidi ya Jk inalipa? U are wasting alot of yout time,jitahidini kucontrol frustration mbona hii sio mara yenu ya kwanza kushindwa uchaguzi? Inawauma sana jk kumzuia lowassa kuingia ikulu! Jueni tu huyo jamaa yenu ana gundu maana ameihangaikia mno ikulu na bado hajafanikiwa
Mpuuzi wa Mwisho Weweee...
Hapa tunajadili maslahi ya nchi..CDM wanahusika vipi??
Toa hoja za maana hapa.
 
Mbwembwe. Riz1 kuitwa kuhojiwa na PM haijatulia hii. Au hao wawili wana undugu? Itakuwa ajabu sana kama hatuna vyombo vinavyopaswa kufanya kazi hiyo. Na kama vipo ila 'vinafungiwa nje' siyo sawa. Ifike mahali tukomeshe kabisa huu mtazamo kuwa mtu akiwa kiongozi anajua kila kitu! Yeye huyo 'anavumbua/gundua' uozo, anahoji, anaamua, anatambua mwenye hatia nk... Kiongozi wa hivyo akiondoka anaondoka na huo uwezo wake wa miujiza!
 
Eti majaliwa amuhoji riz,yani mjomba mtu amuhoji mpwa wake uliona wapi?
 
Hii ni mbinu ya kizee kuwatoa watu kwenye mada husika. Ni hivi Ritz1 na babayake wako nyuma ya upotevu wa kodi ya serekali. Na si hilo tu walishiriki mengi sana ya kulihujumu taifa hili bila aibu. Kwahiyo kuwachomekea cdm hapa ni upuuzi wa hali ya juu. Mpuuzi mkubwa ww kwa kujipendekeza kwa wahujumu wa taifa.
Tena mpumbavu kabisa si aende kuwafunga gidamu za viatu ajaona mwezake
 
Hapo ndio unafiki wa Mwakyembe unapojidhihirisha kama aliyajua hayo inakuwaje hakuyasema na akakazania issue ya RICHMOND huku akificha uchafu huo na ule wa madawa ya kulevya ya akina Masogane? kwa hiyo kwa maana halisi Mwakyembe hafai kuwa kiongozi sehemu yeyote.
 
hivi nyie chadema mnadhani chuki dhidi ya Jk inalipa? U are wasting alot of yout time,jitahidini kucontrol frustration mbona hii sio mara yenu ya kwanza kushindwa uchaguzi? Inawauma sana jk kumzuia lowassa kuingia ikulu! Jueni tu huyo jamaa yenu ana gundu maana ameihangaikia mno ikulu na bado hajafanikiwa

Mada umeielewa?
 
Ina maana masamaki na wenzie tutawaona wakipeta uraiani kama kawa

of course. Hakuna sheria inayomkataza mtu kuwa na nyumba hata 200. Nyumba ni biashara kwa hiyo ndio biashara yake. Halafu ukikuta ana kakampuni basi, keshashinda kesi. Tuhuma za rushwa ni ngumu kuthibisha, maana lazima kuwe na clear evidence. Na kama akiwa na kimemo cha Rais ndio kabisaaa .No case
 
hivi nyie chadema mnadhani chuki dhidi ya Jk inalipa? U are wasting alot of yout time,jitahidini kucontrol frustration mbona hii sio mara yenu ya kwanza kushindwa uchaguzi? Inawauma sana jk kumzuia lowassa kuingia ikulu! Jueni tu huyo jamaa yenu ana gundu maana ameihangaikia mno ikulu na bado hajafanikiwa

Out of point "OP"
 
of course. Hakuna sheria inayomkataza mtu kuwa na nyumba hata 200. Nyumba ni biashara kwa hiyo ndio biashara yake. Halafu ukikuta ana kakampuni basi, keshashinda kesi. Tuhuma za rushwa ni ngumu kuthibisha, maana lazima kuwe na clear evidence. Na kama akiwa na kimemo cha Rais ndio kabisaaa .No case

Duuu!! Kwa namna hii rais si atakuwa anaamua kufanya anavyotaka kila kipindi.

Sheria zibadilishwe la sivyo tutavuna mabua
 
Siku za jk uraiani zinahesabika sasa. Magufuli akishindwa kutumia hii opotune moment atakuwa amejimaliza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom