Siku kikwete akijikoroga kuachia uenyekiti basi na kikwete tutamshuhudia segereaa!!!
Una maanisha atamfuata babu seya???
Siku kikwete akijikoroga kuachia uenyekiti basi na kikwete tutamshuhudia segereaa!!!
Hivi gazeti la Jamhuri ni CDM!?
By the way kusema JK ndiye aliyemzuia Lowasa kuingia Ikulu ina maana kuwa JPM hakuwa mshindi halali. Angalia kauli zako.
Siku kikwete akijikoroga kuachia uenyekiti basi na kikwete tutamshuhudia segereaa!!!
Waziri mkuu kumwita na kumhoji Riz1 hii sijaipenda. Hatuna vyombo vya kuchukua hatua au ni 'kupanga dili'?
Suala sio kujiuzuru ninachotaka uelewe ni kwa nini huyu Mwakyembe alikaa na amekaa kimya hadi sasa juu ya kashfa hii ya makontena huku yamepotea yeye akiwa Waziri? Na tumemshuhudia akitokwa na povu juu ya RICHMOND na kujidai yeye aogopi chochote kwani kama kufa aliisha kufa.
Hapa ukileta hoja ya kuondoa kinga ya raisi hata wachangiaji hupati ila kwenye kulalama tu hatujambo.
Waheshimiwa nyie ibeni tu nchi ya wajinga hii.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete imeelezwa kuwa anafahamu kilichokuwa kinaendelea katika suala la makontena bandarini na taarifa za kiuchunguzi zinaonyesha alipewa taarifa na akazikalia kimya.
Imejulikana kwamba aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe alibaini upotevu wa makontena hayo, akaandika taarifa ya kina kwenda Ikulu lakini kilichomkuta hatakisahau maishani..!!.
Ripoti hiyo ilimkaanga mwenyewe Mwakyembe kwani baada tu ya JK kuipitia, akamwondoa Wizara ya Uchukuzi na kumpeleka Wizara ya Afrika Mashariki.
Taarifa za kina zinasema kuwa Rais Magufuli kabla ya kumteua Mwakyembe kwenye Wizara ya Sheria na Katiba aliyo sasa, alimwita na kumhoji kuhusu upotevu wa makontena hayo na hiyo ndio ikawa nafasi ya Mwakyembe kutoa fundo alilokuwa nalo moyoni.
Pia Mwakyembe alikutana na Waziri Mkuu Majaliwa kuhusiana na upotevu huo.
Pia Ridhiwani Kikwete anatajwa katika sakata hili na inasemekana ameshaitwa kuhojiwa na Waziri Mkuu.
Source:Gazeti la Jamhuri la leo 22/12/2015, Toleo no 221.
Lete tu hiyo hoja hapa uone kama utapata wachangaji wa kuboresha wazo lako au wa kuukuunga mkono.Kweli mkuu kama mtindo wa kupitisha hoja bungeni utakuwa ni ule ule wa "wanaoafiki waseme ndiyo....ndiyoooooo!!!! na wasioafiki waseme siyooooo" hakuna kitu hapo.
Kuna haja ya kuondoa kinga ya rais baada ya muda wake kwisha!!!!!
Ina maana masamaki na wenzie tutawaona wakipeta uraiani kama kawa
Kibogo tunatakiwa kutafakari kwa kina kabla ya kuhukumu watu. Mimi nadhani ni vizuri tuwe na maswali ya kujiuliza. Hivi Waziri ameandika report na kuipeleka ngazi husika halafu kabla ya kujua nini hatima ya report yake raisi anamhamishia wizara nyingine je, hapo alitakiwa kujiuzulu kwa kuhamishwa wizara au kwa report yake? je unapokuwa waziri ukatoa report unatoa deadline kwa rais atoe majibu? Aliyemrithi Mwakyembe alitakiwa kujiuzulu na sio yeye ambaye hakuwa na mandate tena na ile wizara. Ingekuwa aliona uozo huo halafu akaufumbia macho mm nisingetoa haya maneno, lakini alipoona matatizo alitoa taarifa ya kina ( accoding to mtoa taarifa) na kumpatia mkuu wake wa kazi ili ashughulikie na wala hakuna sehemu ilipogundulika kuwa yeye ni mhusika katika sakata hilo, infact he is clean. Baadaye akapewa kazi nyingine EAC, hivi kwa kujiuzulu baada ya kuhamishiwa huko asingeonekana mwehu? hivi watanzania wangemuuliza angejibu anajiuzulu kwasababu zipi wakati kwenye wizara aliyopo hakuna tatizo? Je tusingeona kwamba yeye alikuwa na ulaji amekatiwa kule wizara ya uchukuzi? Hiyo ni tafakuri yangu ambayo watanzania wenzangu ningeomba nao wajaribu kuiangalia kwa pande zote. Tusifanye visa bali tujadiri kwa mapenzi ya nchi yetu. Itakuwa ni vibaya sana tukajadiri mada hii tukiwa na makovu ya Richmond kwenye bongo zetu.
Mungu ibariki Tanzania
Hupitwi hahahaHata zile kesi za wahusika bandarini kuna mahali zitakosa nguvu kwani itakuja kugundulika kuwa ilikuwa ni AMRI (vimemo) kutoka mamlaka ya juu ambayo hayashikiki.. Huwezi kumwadhibu MTU aliyetekeleza amri ya rais hata kama ya kuua
Utawala uliopita ulikuwa uozo sana na iliharibu sana nchi yetu! uraisi haukuwa taasisi bali wa KIFAMILIA kwani wote walikuwa na madaraka ya kuamua kama RAISI.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete imeelezwa kuwa anafahamu kilichokuwa kinaendelea katika suala la makontena bandarini na taarifa za kiuchunguzi zinaonyesha alipewa taarifa na akazikalia kimya.
Imejulikana kwamba aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe alibaini upotevu wa makontena hayo, akaandika taarifa ya kina kwenda Ikulu lakini kilichomkuta hatakisahau maishani..!!.
Ripoti hiyo ilimkaanga mwenyewe Mwakyembe kwani baada tu ya JK kuipitia, akamwondoa Wizara ya Uchukuzi na kumpeleka Wizara ya Afrika Mashariki.
Taarifa za kina zinasema kuwa Rais Magufuli kabla ya kumteua Mwakyembe kwenye Wizara ya Sheria na Katiba aliyo sasa, alimwita na kumhoji kuhusu upotevu wa makontena hayo na hiyo ndio ikawa nafasi ya Mwakyembe kutoa fundo alilokuwa nalo moyoni.
Pia Mwakyembe alikutana na Waziri Mkuu Majaliwa kuhusiana na upotevu huo.
Pia Ridhiwani Kikwete anatajwa katika sakata hili na inasemekana ameshaitwa kuhojiwa na Waziri Mkuu.
Source: Gazeti la Jamhuri la leo 22/12/2015, Toleo no 221.
hivi hujui kuwa Josephat Isango ni CHADEMA kindakindaki, jidanganyeni ni habari zenu zenu za kizushi, kila siku kuzusha tu bila ushahidi, but jueni kuwa hamna uwezo wa kumfanya chochote JK, mtabaki kufoka tu kwenye mitandao! huo uchungu wenu wa kushindwa uchaguzi utawakondesha tu, narudia tena u are wasting your time, fanyeni kazi kwa bidii, muda wa majungu kama huu hamtapata!Hivi gazeti la Jamhuri ni CDM!?
By the way kusema JK ndiye aliyemzuia Lowasa kuingia Ikulu ina maana kuwa JPM hakuwa mshindi halali. Angalia kauli zako.
Wewe ndio uelewa wako mdogo labda nikupe nafasi uniambie kama huyu Mwakyembe aliishalimaliza suala LA RICHMOND pale Bungeni je kulikuwa na haja gani kulizungumzia wakati wa kampeni? Kiuhalisia suala muhimu alilotakuwa kulizungumzia ni hili la bandari na lile la madawa ya kulevya ambayo yalikuwa hayajatatuliwa lakini alikaa kimya na pia hakuwahi kuzungumza chochote kuhusu ESCROW. Kwa hiyo ndugu kama Wewe ni mchepuko wa huyo Waziri basi hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa.Tatizo uelewa wako ni mdogo sana nahisi hata darasani mwalimu wako alikua na kazi sana,tatizo lako unaacha hoja ya msingi unakimbilia richmond,umeshaambiwa mwakyembe alishatoa taarifa kuhusu upotevu huu wa makontena na taarifa akampelekea bosi wake ambae ni raisi,sasa baada ya hapo ulitakaje ?ulitaka mwakyembe amshinikize raisi kuchukua hatua,na isitoshe baada ya taarifa yake alimishwa wizara sasa ulitaka mwakyembe aitishe waandishi wa habari aseme yale aliyo mwandikia raisi.kama hamjui namn serikali inavyo fanya kazi bora mkae kimya sio lazima kuchangia,uwezo wako mdogo wa kufikiri lakini kimbelembele kingi
Anasemwa Nyerere marehemu sembuse Kikwete anayesikia na kujibu.hivi hujui kuwa Josephat Isango ni CHADEMA kindakindaki, jidanganyeni ni habari zenu zenu za kizushi, kila siku kuzusha tu bila ushahidi, but jueni kuwa hamna uwezo wa kumfanya chochote JK, mtabaki kufoka tu kwenye mitandao! huo uchungu wenu wa kushindwa uchaguzi utawakondesha tu, narudia tena u are wasting your time, fanyeni kazi kwa bidii, muda wa majungu kama huu hamtapata!
Aiseeee.....:thumbup:
Kumekucha sasa na ndio kwanza asubuhi.... kwa hili sakata la upotevu wa makontena pamoja mapato ya serikali
Mpo sawa hazitafika popote, mchezo umeisha . Tatizo matokeo sasa sijui bila bila !au wao moja JPM bila?
Ridhiwani yumo kwenye hilo sakata, HSC, ubalozi wa heshima huko Guangzou Uchina, pia FaizaFoxy yumo humo.
Ridhiwani itakuwa ngumu sana kumpiga pini maana alitumia vema kinga ya babake kuchezea taratibu na sheria za nchi ili kupata utajiri. Ndiyo maana akina JPM na Majaliwa wataishia kumhoji tu.
Ngoja nikae hapa nisikilize siri ya makontena na wakwepa kodi
Hata zile kesi za wahusika bandarini kuna mahali zitakosa nguvu kwani itakuja kugundulika kuwa ilikuwa ni AMRI (vimemo) kutoka mamlaka ya juu ambayo hayashikiki.. Huwezi kumwadhibu MTU aliyetekeleza amri ya rais hata kama ya kuua
Waziri mkuu kumwita na kumhoji Riz1 hii sijaipenda. Hatuna vyombo vya kuchukua hatua au ni 'kupanga dili'?
Siku kikwete akijikoroga kuachia uenyekiti basi na kikwete tutamshuhudia segereaa!!!
Akamatwe aisaidie polisi
Hapo nimeamini kwa asilimia mia moja mkuu!