Kikwete ana siri ya makontena

Kikwete ana siri ya makontena

...dawa ya watawala wa namna hii ni kuondoa kinga ya urais....hii itawafanya waje kuadhibiwa hata wakiwa vikongwe....kun siku TZ tutapata rais atakayekuja kuondoa hii kinga....na ndio itakua mwisho wa magumashi taifa hili....nadhani upinzani wakishinda siku moja hii kinga itaondoka...na ndio maana nawaona ccm wanakomaa kubaki madarakani....
 
Back
Top Bottom