Kikwete amtembelea Kardinali Pengo Dubai

KARUDI BABA MMOJA ...TOKA SAFARI YA MBALI
WATOTO WAKE WAKAJA ...ILI KUMTAKA HALI
KUMTAKA NA KAULI...WAIPATE MALI


nimesahau kidogo......... was a good song.
Karudi Baba mmoja toka safari ya mbali
Kavimbayote mpaja na kutetemeka mwili
Watoto wake wakaja ili kumtaka hali
Wakata na kauli iwafae maishani .......

Nakumbuka mpaka hapo .....!!

Unanikumbusha na mambo ya "SIKIRI MI MASIKINI, ...."
 
Jamani jamani naombeni ule mgawo wangu sasa elekezeni huko kwenye mrabaha, maana Ngosha anamaindi kinoma...nawaza tu kwa sauti
 
Anakwenda Canada kuweka mambo sawa
Huyo ndiye mwenye migodi aliyeiuzia Barrick. Magu angenegotiate naye arudishe angalau mapato fulani bongo yalinufaishe taifa.

Ni hatari utajiri kuhodhiwa na mjinga na mpumbavu huku taifa zima macho kodo.
 
Kikwete ana mambo mengi na washkaji wengi huko nje sasa akienda kuwatembelea kuna shida gani? Mstaafu akikaa ntumbani atazeeka sana na kufa mapema. Mwacheni atembee jamani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom