mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,448
- 992
Aksante kwa kuweka ukweli huu bayana.Magufuli anabana matumizi???hebu niambie wapi kabana matumizi kuliko JK ???kitu pekee anachofanya ni kujifungia ndani kingereza tabu View attachment 376472
Aksante kwa kuweka ukweli huu bayana.Magufuli anabana matumizi???hebu niambie wapi kabana matumizi kuliko JK ???kitu pekee anachofanya ni kujifungia ndani kingereza tabu View attachment 376472
Uko obsessed na Mkwere!
Yeye sio mwanzilishi wa CCM, yet wote mnaimba na kuabudu jina la mwanzilishi wa CCM!
Yeye si aliyeanzisha azimio la Zanzibar lililofuta ujamaa!
Pia ufisadi ulianza labda hata kabla ya mkwere kumaliza shule, rejea issues za uhujumu uchumi enzi hizo za Mwalimu na hadithi za fagio la chuma za Mwinyi!
Serikali ya mkapa pia had a lot of scandals and possibly most of hizi cases zilikuwa ni muendelezo wa mambo yaliyotangulia!
Essence ya uandishi wangu sio kumsifu mkwere kuwa ndio raisi bora, na kubeza Magu na team yake! Ila ni ukweli kuwa uwezo wa kufikiri na kuplan kwa sasa haupo!
Tulipokuwa hatukusanyi kodi na kulinda rasilimali mali za nchi ndio mambo yalipaswa kuwa mabaya! Leo tumeongeza uwezo wa ndani, tu!epunguza wafanyakazi hewa na wanafunzi hewa, lkn hizo huduma za jamii kama afya, elimu ndio zimedorora maradufu!
States walizofikia che nkapa na mkwere hadi leo tumesharudi more than 5 steps back! Hii case chanjo inayozuka kama rumours kwa sasa ikiwa ni kweli utakuja kuwa balaa kubwa! Hizi cases za kipindupindu cha mwaka mmoja hakijawahi kutokea, outbreak ya nchi nzima kwa zaidi ya miezi 6!
Anyway nyie ndio mnaofanya watu wa awamu hii wasiwajibike!
Tuna tatizo leo, mnaamsha blames kwa tawala zilizopita!
Si tulishasema tunataka mabadiliko ya kweli?
Si tulijua kikwete katuangusha na sasa ndio wakati wa kampeni wote tuliamua kuhubiri mabadiliko!
So we knew exactly wapi kuna tatizo!
We had plans ambazo zilikuwa better than hizo za waliotangulia!
Now, huu ni wakati wa kuonesha ufundi na kuleta tija kwa mtanzania sio tena turudi kule kuliko tufelisha!
Mimi bado nina tofauti na mlio wengi, bado naamini mkwere alikuwa na vitu vya msingi sana katika kufanya mambo yaende! We need him, tukubali tukatae, time will tell!
Wote tulilaumu ufisadi
Kodi zilikuwa hazilipwi?
Rais aliitwa dhaifu kwa kutokuwa mkali!
Wana ccm wakabadili gia Dodoma na kuhama!
Rais alikuwa anasafiri karibu kila mwezi
Lakini barabara zilijengwa, Vyuo vikuu na shule nchi nzima.
Majengo ya kisasa na upanuzi mkubwa wa miji wenye majengo ya kisasa kabisa!
Watumishi wa umma na wafanyabiashara walineemeka!
Na Rais wetu alikuwa full kutabasamu, urais kwake ilikuwa kitu kidogo kama ukiranja wa zamu tu!
Leo sasa!
Kila kitu kimerekebishwa, na rais hacheki cheki!
Lakini Mambo yamezidi kuwa magumu, na hata mwenyewe amesikika akisema anajutia uamuzi wake wa kukitaka kikombe hiki!
Je, ni wakati wa kurejea kupata semina elekezi toka kwa "mkwere"?
Au Mkuu apitie tu kisirisiri hadidu za rejea za serikali ya "mkwere" ili mambo yasiende mrama!
Huwa najiuliza sana tulikosea na tunaendelea kukosea wapi? Maana sioni kama hii mikopo inalipika kirahisi! Na mwisho nini hatma yetu kama watanzania? Very confused!Bajeti ya Mwaka huu serikali inakopa trilioni saba...bado kwenye ujenzi wa reli....wachina wakitukopesha trilioni 16,kwa mwaka mmoja serikali inakuwa imekopa trilioni 23.....hebu rudia ...umesema kipindi cha jk deni lilipanda toka ngapi kwenda ngapi?
Akawauliza "kwani nimechomeka nini?"si mlisema jk achomoi?
Unajua limeongezeka kiasi gani tangu achukue ngosha wako?Deni la taifa nalo?
Mkuu lini mnaajiri madogo-graduates, intakes 2 zipo tu! Ingekuwa kipindi cha jk wote washaajiriwa hawaalitumia uchawi gani kusafiri? hiyo rahisi. si anakatiwa tiketi airport tu. au anatumia ndege yake (ya Rais)
unajua kuwa deni la taifa linaongezeka kwa trilion 23 very soon?ni kweli ufisadi haukuanza kipindi cha mkwere. lasivyo tusingekuwa bado tunahangaika na loliondogate na madudu mengine.
lakini cha uhakika ni kuwa kipindi cha mkwere tulikuwa tunashuhudia gharama nyingi za serikali ambazo moja kwa moja zilikuwa zinafuja hela zetu. kwamfano safari nyingi za rais nje na safari nyingi za watumishi wa serikali nje - ambazo nyingi zilikuwa hazina manufaa yoyote kwa nchi. hii ni mbali na wafanyakazi hewa.
kipindi cha mwisho cha mkwere tulikuwa tunasikia serikali ikawa inakopa kwenye mabenki ya biashara ili kulipa wafanyakazi kwani yenyewe ilikuwa haina hela. benki za biashara zikawa zinafaidi mariba manono.
na deni la nje tukawa tunasikia linapaa
hii ina maana magufuli alichukua nchi ikiwa haina hela. tumewahi sikia kuwa mkwere alichukua nchi toka kwa mkapa ikiwa na mafweza ya kutosha. unaona tofauti hapo?
mimi nakushangaa unaposema huduma za jamii kama afya, elimu ndio zimedorora maradufu. kivipi? mbona unaongea kijuu juu tu? uhakiki wa wanafunzi ndio huo unafanyika na wengi wanafunzi hewa kwa mfano wamepatikana na kinachofuata ni serikali kulipia wanafunzi stahili. hili nalo hulioni? ulikuwa unapenda serikali kulipia wafanyakazi na wanafunzi hewa? akili ya wapi hii?
njoo nikwambie siri moja, serikali yetu inapodhibiti matumizi ya hovyo ndio inashusha mfumuko wa bei (naamini hili ni kweli japo mimi si mchumi) na kuwa na fedha za kutosha kufanya mambo ya maendeleo
Wote tulilaumu ufisadi
Kodi zilikuwa hazilipwi?
Rais aliitwa dhaifu kwa kutokuwa mkali!
Wana ccm wakabadili gia Dodoma na kuhama!
Rais alikuwa anasafiri karibu kila mwezi
Lakini barabara zilijengwa, Vyuo vikuu na shule nchi nzima.
Majengo ya kisasa na upanuzi mkubwa wa miji wenye majengo ya kisasa kabisa!
Watumishi wa umma na wafanyabiashara walineemeka!
Na Rais wetu alikuwa full kutabasamu, urais kwake ilikuwa kitu kidogo kama ukiranja wa zamu tu!
Leo sasa!
Kila kitu kimerekebishwa, na rais hacheki cheki!
Lakini Mambo yamezidi kuwa magumu, na hata mwenyewe amesikika akisema anajutia uamuzi wake wa kukitaka kikombe hiki!
Je, ni wakati wa kurejea kupata semina elekezi toka kwa "mkwere"?
Au Mkuu apitie tu kisirisiri hadidu za rejea za serikali ya "mkwere" ili mambo yasiende mrama!
Chini ya Kikwete deni la taifa lilifika trl 40. Mambo uliyotaja yalifanywa kwa mikopo badala ya mapato ya ndani na kwa kua uthibiti ulikua mdaifu mikopo mingine iliishia mifukoni mwa watu. Ndio maana Tanzania inaitwa shamba la bibi kwa kuwa wajanja wachache walitafuna fedha ya ndani kwa kutolipa kodi.
Hili la kwamba serikali ya Mkwere haikuacha hela to the point eti walikuwa wanakopa benki kulipa mishahara ni mambo yanayokuzwa tu na kama ni kweli basi yataendelea kutokea hata sasa!!ni kweli ufisadi haukuanza kipindi cha mkwere. lasivyo tusingekuwa bado tunahangaika na loliondogate na madudu mengine.
lakini cha uhakika ni kuwa kipindi cha mkwere tulikuwa tunashuhudia gharama nyingi za serikali ambazo moja kwa moja zilikuwa zinafuja hela zetu. kwamfano safari nyingi za rais nje na safari nyingi za watumishi wa serikali nje - ambazo nyingi zilikuwa hazina manufaa yoyote kwa nchi. hii ni mbali na wafanyakazi hewa.
kipindi cha mwisho cha mkwere tulikuwa tunasikia serikali ikawa inakopa kwenye mabenki ya biashara ili kulipa wafanyakazi kwani yenyewe ilikuwa haina hela. benki za biashara zikawa zinafaidi mariba manono.
na deni la nje tukawa tunasikia linapaa
hii ina maana magufuli alichukua nchi ikiwa haina hela. tumewahi sikia kuwa mkwere alichukua nchi toka kwa mkapa ikiwa na mafweza ya kutosha. unaona tofauti hapo?
mimi nakushangaa unaposema huduma za jamii kama afya, elimu ndio zimedorora maradufu. kivipi? mbona unaongea kijuu juu tu? uhakiki wa wanafunzi ndio huo unafanyika na wengi wanafunzi hewa kwa mfano wamepatikana na kinachofuata ni serikali kulipia wanafunzi stahili. hili nalo hulioni? ulikuwa unapenda serikali kulipia wafanyakazi na wanafunzi hewa? akili ya wapi hii?
njoo nikwambie siri moja, serikali yetu inapodhibiti matumizi ya hovyo ndio inashusha mfumuko wa bei (naamini hili ni kweli japo mimi si mchumi) na kuwa na fedha za kutosha kufanya mambo ya maendeleo
Ni vizuri kama ungekuja na data sahihi la deni la taifa wakati wa JK na sasa hivi.Uliza deni la taifa lilifikia sh. ngapi?
Uliza mikataba iliyo sainiwa (juu ya malia asili) leo bado inakunufaisha?
ILIKUWA FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE. JE TUENDELEE NA STYLE KAMA HIYO?
Unajua limeongezeka kiasi gani tangu achukue ngosha wako?
Tunakopa trilion 16, kwa ajili ya reli, watakuwa wanatupa kwa installment kwa miaka minne, but mwaka huu tu fedha 2016/17 tunakopa trilion 7 kujazia kwenye budget!! Kumbuka jk hajawahi kukopa zaid ya trilion 3 kwa mwaka-msimuoneeSijui kaka, Kama limeongezeka then what is the point? Haya makusanyo yote ya kipindi hiki Kwa nini liongezeke jaman I?
aiseee!!Bajeti ya Mwaka huu serikali inakopa trilioni saba...bado kwenye ujenzi wa reli....wachina wakitukopesha trilioni 16,kwa mwaka mmoja serikali inakuwa imekopa trilioni 23.....hebu rudia ...umesema kipindi cha jk deni lilipanda toka ngapi kwenda ngapi?
kikwete ana mapungufu kama binadamu lkn tulikula bata sana ktk utawala wakeTunakopa trilion 16, kwa ajili ya reli, watakuwa wanatupa kwa installment kwa miaka minne, but mwaka huu tu fedha 2016/17 tunakopa trilion 7 kujazia kwenye budget!! Kumbuka jk hajawahi kukopa zaid ya trilion 3 kwa mwaka-msimuonee