Kikwete alitumia uchawi gani?

Kikwete alitumia uchawi gani?

pengine wazazi wako walizaa mzoga; who knows.

Wewe ni limzoga linanuka funz akichwani achana na mimi, tafuta wapumbavu wenzako mjadiliane au kacheze bao. Pumbavu zoga na mafunza yantoka kichwani!. Ondoka kwangu shetani!
 
No. Mimi naona alikuwa mkali sana na alikuwa anasikiliza sana utashi wa wananchi. Alichukua maamuzi magumu ... ya kuwapumzisha wateule wake wengi tu ... akina Lowassa, Mkulo, Mulugo, Tibaijuka, Ngereja, Muhongo, Nchimbi, Matayo, n.k.



Ongezeko makusanyo unaoonekana sasa hivi ni fake ... kwa kiasi kikubwa ni kwa sababu ya kushuka kwa thamani ya TSh (ilikuwa 1700 October mwaka jana; sasa hivi ni 2200). JPM na genge lake wamefanya mud-sliding mno. Kodi zilikuwa zinalipwa tu, kama ni ukwepaji haukuwa mkubwa kiasi hicho.
Huishi Tanzania, wacha kudanganya. Yaani Oct 2015 Usd 1=1,700/-? Real? Wewe ni zuzu
 
Issue sio mkopo, unatumiaje ulichokopa!
Jifunze kupitia familia!
Wanaolisha wenzao ktk familia ndio pia wanadaiwa na mabenki na taasisi nyingine za kifedha! Hakuna mtu anayemdai maskini duniani, ila matajirii karibu wote wana madeni ikiwemo USA!
Fikiria tena juu ya deni la taifa!
Nani alikuambia issue siyo mkopo? Mkopo ni jambo kubwa. Hizo ulizosema 16tn/- siyo ndogo. Ukitaka kujua ni mzigo mkubwa ambao unahitaji tafakuri ya return on investment, angalia Domestic Revenue Collection, kwa trend ilivyo kwa mwaka tunaweza kufikisha 12tn/- na billion kadhaa, yaani hatuwez hata kufikisha tunachokopa, hiyo ni hatari kubwa. Na hapo Taifa linaweza kuwa na deni kubwa sana.
Kama kwa mfano leo tuna deni la 44tn/- ukiongeza tena inafika 60tn/- ambalo siyo deni dogo. Lazima merit na demerit ziangaliwe,kuchunguzwa na kuhakikiwa kabla hatujachukua mkopo huo.
 
JK amempita kwa mbali sana JPM, tutamkumbuka zaidi na zaidi
 
Kimsingi kuongoza nchi haihitaji hasira
 
Nani alikuambia issue siyo mkopo? Mkopo ni jambo kubwa. Hizo ulizosema 16tn/- siyo ndogo. Ukitaka kujua ni mzigo mkubwa ambao unahitaji tafakuri ya return on investment, angalia Domestic Revenue Collection, kwa trend ilivyo kwa mwaka tunaweza kufikisha 12tn/- na billion kadhaa, yaani hatuwez hata kufikisha tunachokopa, hiyo ni hatari kubwa. Na hapo Taifa linaweza kuwa na deni kubwa sana.
Kama kwa mfano leo tuna deni la 44tn/- ukiongeza tena inafika 60tn/- ambalo siyo deni dogo. Lazima merit na demerit ziangaliwe,kuchunguzwa na kuhakikiwa kabla hatujachukua mkopo huo.
Huwa tunakopa kwa kuwa revenues zetu huwa hazitoshi! Sidhani mtu anaweza kukopa anachokimudu, what is the use of mkopo then! JPM naye wameshaanza na 3 tn zake nadhani hadi mwaka wa tano atakuwa na total of 18 or more!
Life expectancy ya mtanzania inaongezeka! Hii inawezekana ikawa ni matokeo ktk kuimprove standard of living! Maana yake ni kwamba umeongezewa nafasi ya kuishi ili ushiriki ktk kulilipa deni la taifa na wakati huohuo chance yako ya kuiona Tanzania yenye Neema inaongezeka!
Kinyume chake, acha kukopa na kukataa ushirikiano na mataifa na taasisi nyingine duniani, jifungie usikope ili mfe kwa maradhi yanayozuilika, mfe mapema zaidi na hivyo wazalishaji na walipaji wa deni wapungue!
Madeni ni jambo la kawaida, wengi wanaokopa wako smart zaidi kuliko wanaoogopa kukopa! Just angalia ktk familia zenu, makazini na kwa watu mbalimbali waliofanikiwa, wakiwemo matajirii makubwa, taasisi zenye nguvu kiuchumi na mataifa matajiri ulimwengu!
 
Wewe ni limzoga linanuka funz akichwani achana na mimi, tafuta wapumbavu wenzako mjadiliane au kacheze bao. Pumbavu zoga na mafunza yantoka kichwani!. Ondoka kwangu shetani!
bila shaka ujumbe umekuingia kunako. usisahau kuwafikishia huo ujumbe na hao mbwa wenzako.
 
Kwanini wenzie walishindwa kuhama?
Tunapaswa kujifunza kwa waliofeli pia!
Lakini serikali mipango yake huwa na ushirikishwaji mpana zaidi! Tunaposema bajeti imepitishwa haiishii ktk kutengewa pesa tu, hii ina maanisha kujadiliwa kwa kina, kuaaidiana kupanga pamoja!
Tanzania inahitaji trillion 29 ktk bajeti ya mwaka huu, hizo ndizo pesa zilizoidhinishwa na watanzania wote kuwa zitumike! Kama tunaweka matumizi mengine ambayo hayapo ktk bajeti maana yake ni kwamba tusimamishe baadhi ya huduma au tukakope ili kujazia palipoongezeka! Ila sasa changamoto, nani anayeruhusu serikali kutenda yote hayo? Bunge ndilo lilipaswa kuisimamia serikali on our behalf!
Tuache kuipotosha serikali, tuwakumbushe wafuate taratibu za utumishi wa umma! Kweli tumeshachagua watuongoze lkn tumewapelekea na wawakilishi wetu ili wawe wanajadiliana! Hapa sizungumzii bunge kuwa live or la, nazungumzia uwasilishwaji wa hoja mbalimbali bungeni kwa dialogues!


Zaidi ya Nyerere, nani alisisitiza serikali ihamie Dom? Jibu ni hakuna.
 
Huwezi kuwalazimisha watu wote wakae ndani ya box la ccm lililojaa damu za Watanzania as if hiyo ndiyo best practice na standard ya mwisho y aWatanzania.

Ccm ni moja ileile inayonyonya damu za Watanzania.

Tatitzo lake hamna lolote wanabaki kudandia jujuu agenda za wapinzani bila kujua namna ya kuzitekeleza.

Nilitegemea mbele ya kusifia ujenzi wa shule, barbara na majumba ya kisasa, uongezee mzigo wa kodi kwa wafanyakazi, kiwango cha elimu Tanzania ambacho ndiyo mtaji wa taifa na vizazi vyake, uzungumezie ufisadi ulikithiri kuanzia richmond, epa, escrow, kagoda, meremeta, ujenzi wa bomba la gas, lugumi, iptl nk. kisha uendelee kidogo hadi kwenye ongezeko la kutisha la deni la serikali lisilo maelezo, uangalie hujuma za mali asili zetu ikiwamo usafirishaji wa wanyama na mauaji ya tembo, hatua gani serikali ilichukua, thamani ya hujuma hizi ulinganishe na uwekezaji kwenye hiyo barabara na magorofa nssf unayoyasema, mwisho utazame mauaji ya kisiasa ya kina Mwangosi, uovyo wa huduma za afya kitu ambacho ni cha msingi kkuliko yote, habari za M'nyang, ulimboka, na wengine walioteswa kwa maslahi ya mtu mmoja, watanzania wanaoendelea kufa hadi leo kwa sababu ya ukosefu wa huduma za afya, uharamia na hujuma zilizofanywa juu ya katiba ya nchi uliolengesha kwenye kile kinachoendelea sasa, uchakachuaji wa kura na hitimisha uchaguzi wa zanzibar.

Yeyote mwenye akili timamu anajua kabisa yanayotokea leo hii,, ni matokeo ya utawala wa huyo mkwere wenu asiyekuwa na maono wala mipango ya maana ya maendeleo ya taifa zaidi ya kulinda maslahi yake na ya familia yake.

Lawama zote zirudi kwa mkwere kwa sababu ndiye muasisi wa udikteta na utawala unaoendelezwa hapa Tz. Kila kitu aliasisi yeye na sasa anafurahia matunda ya mkono wake wa mgongoni.

Naomba "ukome" kuwaudhi Watanzania kwa kuwalazimisha kuishi katika himaya ya kishetani ya ccm. Ccm ni ileile, hujuma inazofanya kwa watanzania katika awamu zake za uongozi wa kulazimisha ni rangi za maua katika shina la mti mmoja.

Ccm ondoka ukafie baharini kusikokaliwa na binadamu. TAnzania siyo mali yako, huna hatimiliki na Watanzania wamekuktaa na hawakutaki1.

Kama unataka kujifunza kaa kando waanchie Watanzania waongoze nchi kwa ufanisi bila kutumia nguvu ya majeshi kama mnavyofanya sasa.

TUMECHOKA NA UFIRAUNI WA CCM!
Well said
 
Back
Top Bottom