Kikwete alitumia uchawi gani?

Kikwete alitumia uchawi gani?

Uliza deni la taifa lilifikia sh. ngapi?

Uliza mikataba iliyo sainiwa (juu ya malia asili) leo bado inakunufaisha?

ILIKUWA FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE. JE TUENDELEE NA STYLE KAMA HIYO?
Mkuu wewe sio mfuatiliaji wa mambo Ungekuwa unajua tu japo kidogo deni la taifa limeongezeka kwa kiasi gani kwa miezi nane tangu awamu hii iingie madarakani Ungekaa Kimya .


kuna haja ya kumheshimu JK .
 
Mi napita ila nakumbuka kuna jamaa alisema jamani saa hizi mnamfulahia sana magufuli lakini lakini mtamkumbuka jk na kweli sijaona kitu kinacho fanyika sasa anabana matumizi sawa lakini huku chini wanyonge maisha yanazidi kuwa magumu sana mara mia kwa jk hela ilikuwa inapatikana ingawa ufisadi nao ulikuwa mwingi lakin jk alijua jinsi gani ya kutawala nasema tena jk atakumbukwa sana tena sana

tdo.
 
Mi napita ila nakumbuka kuna jamaa alisema jamani saa hizi mnamfulahia sana magufuli lakini lakini mtamkumbuka jk na kweli sijaona kitu kinacho fanyika sasa anabana matumizi sawa lakini huku chini wanyonge maisha yanazidi kuwa magumu sana mara mia kwa jk hela ilikuwa inapatikana ingawa ufisadi nao ulikuwa mwingi lakin jk alijua jinsi gani ya kutawala nasema tena jk atakumbukwa sana tena sana

tdo.
Magufuli anabana matumizi???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu niambie wapi kabana matumizi kuliko JK ???kitu pekee anachofanya ni kujifungia ndani kingereza tabu
1470402644239.jpg
 
Ukweli usemwe Mkwere alitupeleka pabaya.
Pamoja na promo kibao za NSSF, NPF, makongamano, masemina elekezi na masherehe matanuzi. Nchi ilizidi kudidimia kiuchumi wakubwa wakizidi kwenda kubembea Dubai Brazili na kwinginepo!!
Ina maana hamukuona wizi na ufisadi uliokuwa unaendelea??
Sioni sababu ya kumsifia mtu aliyedidimiza uchumi wa nchi eti ni kichwa!!
Madawa ya kulevya TZ ikageuka safe heaven ya madealers!!
Lugha za wizi zikazaliwa eti Mchongo , uchakachuaji, maujanja!!
Yote yamezaliwa na watu wa kuliibia taifa letu!!
Mhs Rais awabane warudishe hata fedha walizo ficha huko Ulaya!!
Mtu katawala nchi bila kujali uadilifu bora liende!!
Simply hujaelewa mada. Na hili ni kosa kubwa katika mijadala.
 
Watanzania tupo kama sigara aina ya nyota yaani unavuta popote ukipenda,yule aliyekuwa dhaifu leo amekuwa great thinker. Watanzania Hatujui tunataka nini,ndivyo vivyohivyo wanasiasa wanavyocheza na akili zetu.
 
uko serious? haujui ni mikopo ile??

Hata Wamarekani wanakopa, deni lao linafikia dola TRILLION 16.
Suala siyo kukopa, suala ni je Unaamika duniani ili ukopesheke?, Je unachokikopa unakifanyia mambo ya msingi?
So far JPM naye keshakopa matrilioni mengi tu
 
JK alikuwa sio mpenda sifa, alikuwa na hekima na busara, alisaidia kukua kwa demokrasia ila huyu mpenda sifa ni janga la kitaifa

JK hakuwa na papara, japo kuna mambo mengi na ya msingi sana yalienda ndivyo sivyo ktk utawala wake. Sasa anatakiwa awe kama Nyerere, asiogope kutoa yake ya moyoni mambo yanapokwenda mrama. Nyerere aliwahi kusema kuwa ni muhimu rais asikurupuke ili wananchi waweze kupanga mambo yao. Sasa hivi hatujui JPM atasema nini kesho au nani atafukuzwa kazi. Leo nimeona mahali kuwa makampuni makubwa ya mafuta yaliyokuwa yajenge kiwanda cha kuchakata gesi kule Lindi yanajitoa. Sababu kuu ni kutokuwa na imani na sera za serikali hii juu ya mambo mengi ya msingi.
 
Kwangu JK atakumbukwa kwa uongozi mbovu kuliko yote niliyowahi kushuhudia. Huwa sisahau haraka kama mlivyo wengi humu.
 
Muacheni Professor,mwanasiasa nguli kabisa kutokea katika miaka 20 hii JK afanye shughuli zake,alisema mtanikumbuka,na inaonekana mtamkubuka hadi mtamfuata msoga kuomba awaombee poo
 
Pale ambapo unasikia hakuna hela ya field!!! Heheheheh na bado tutammiss sana Jk!!! Come back pliiiiiiiiz we miss you dady!!!
 
Jk licha ya mapungufu yake alijitaidi sana mnyonge tu mnyonge ila haki tumpe. At least wakati wake utawala wa sheria uloheshimiwa bunge lilikua na uwezo wa kujadili vtu ka escrow, Ali promote democracy. Nadhani Watanzania wana mu miss sasa.
 
Chini ya Kikwete deni la taifa lilifika trl 40. Mambo uliyotaja yalifanywa kwa mikopo badala ya mapato ya ndani na kwa kua uthibiti ulikua mdaifu mikopo mingine iliishia mifukoni mwa watu. Ndio maana Tanzania inaitwa shamba la bibi kwa kuwa wajanja wachache walitafuna fedha ya ndani kwa kutolipa kodi.
deni halikuwa trl40 bali lilikuwa trl34
 
Uliza deni la taifa lilifikia sh. ngapi?
hata sasa bado mnakopa tena zaidi ya mwanzo

CCM yote ni corrupt...So tawala zote za CCM na hii ya sasa kwa nyakati zote wameiumiza sana nchi yetu
 
Ni ukweli usiofichika kuwa Bwana Jk kama ni mpira yeye ni zidane
 
Back
Top Bottom