Kikwete alitumia uchawi gani?

Kikwete alitumia uchawi gani?

umepata kuongea hayo mauchafu yako kwa kumpima kikwete kwa miaka kumi. huyu hata mwaka haujaisha.

Mmmmm, kwa style hii ya JPM hata miaka mitano hatufiki. Si kwa uchumi tu bali damu itamwagika, kwani hakuna chama cha siasa kitachongojea kuwa barabarani mpaka 2020, au mbunge asubiri ruksa toka kwa JPM ili akawashukuru waliomchagua, au JPM awaambie mahakama ifanye vipi kazi na mengineyo.

Kweli JPM hajipendi maana Mkwere alishatuonyesha kipimo cha Demokrasia na wote tukafurahia leo uturudishe kule kwenye chama kimoja cha TANU, Mmmmmmmmmm, sijui. Tusubiri tuone ila kazi anayo, natabiri miaka mitano hatufiki.
 
angalia kumbukumbu zako vizuri. Mwinyi alihamia kabisa Dodoma, ila mawaziri hawakumfuata, baada ya muda fulani (sikumbuki) akajirudia zake Dar kimya kimya.

Yule hakuwa tayari kuhamia Dodoma na ndiyo maana nilisem vile. Yaani wewe rais halafu mawaziri wako ndiyo wakutawale wewe? Kwa Tanzania hii, tunahitaji rais anayendesha watu kiuhakika si kucheka na kusikiliza taarab tu Ikulu. Rais usipokuwa serious na maauzi yako your subordinates will never take you seriously, muulize kijana mtalii a.k.a. Mze wa kucheka bila sababu atakuambia.
 
Wote tulilaumu ufisadi

Kodi zilikuwa hazilipwi?

Rais aliitwa dhaifu kwa kutokuwa mkali!

Wana ccm wakabadili gia Dodoma na kuhama!

Rais alikuwa anasafiri karibu kila mwezi

Lakini barabara zilijengwa, Vyuo vikuu na shule nchi nzima.

Majengo ya kisasa na upanuzi mkubwa wa miji wenye majengo ya kisasa kabisa!

Watumishi wa umma na wafanyabiashara walineemeka!

Na Rais wetu alikuwa full kutabasamu, urais kwake ilikuwa kitu kidogo kama ukiranja wa zamu tu!

Leo sasa!

Kila kitu kimerekebishwa, na rais hacheki cheki!

Lakini Mambo yamezidi kuwa magumu, na hata mwenyewe amesikika akisema anajutia uamuzi wake wa kukitaka kikombe hiki!

Je, ni wakati wa kurejea kupata semina elekezi toka kwa "mkwere"?

Au Mkuu apitie tu kisirisiri hadidu za rejea za serikali ya "mkwere" ili mambo yasiende mrama!
Wewe umeishaisoma namba!
 
Uko obsessed na Mkwere!
Yeye sio mwanzilishi wa CCM, yet wote mnaimba na kuabudu jina la mwanzilishi wa CCM!
Yeye si aliyeanzisha azimio la Zanzibar lililofuta ujamaa!
Pia ufisadi ulianza labda hata kabla ya mkwere kumaliza shule, rejea issues za uhujumu uchumi enzi hizo za Mwalimu na hadithi za fagio la chuma za Mwinyi!
Serikali ya mkapa pia had a lot of scandals and possibly most of hizi cases zilikuwa ni muendelezo wa mambo yaliyotangulia!

Essence ya uandishi wangu sio kumsifu mkwere kuwa ndio raisi bora, na kubeza Magu na team yake! Ila ni ukweli kuwa uwezo wa kufikiri na kuplan kwa sasa haupo!
Tulipokuwa hatukusanyi kodi na kulinda rasilimali mali za nchi ndio mambo yalipaswa kuwa mabaya! Leo tumeongeza uwezo wa ndani, tu!epunguza wafanyakazi hewa na wanafunzi hewa, lkn hizo huduma za jamii kama afya, elimu ndio zimedorora maradufu!

States walizofikia che nkapa na mkwere hadi leo tumesharudi more than 5 steps back! Hii case chanjo inayozuka kama rumours kwa sasa ikiwa ni kweli utakuja kuwa balaa kubwa! Hizi cases za kipindupindu cha mwaka mmoja hakijawahi kutokea, outbreak ya nchi nzima kwa zaidi ya miezi 6!

Anyway nyie ndio mnaofanya watu wa awamu hii wasiwajibike!
Tuna tatizo leo, mnaamsha blames kwa tawala zilizopita!
Si tulishasema tunataka mabadiliko ya kweli?
Si tulijua kikwete katuangusha na sasa ndio wakati wa kampeni wote tuliamua kuhubiri mabadiliko!

So we knew exactly wapi kuna tatizo!
We had plans ambazo zilikuwa better than hizo za waliotangulia!
Now, huu ni wakati wa kuonesha ufundi na kuleta tija kwa mtanzania sio tena turudi kule kuliko tufelisha!
Mimi bado nina tofauti na mlio wengi, bado naamini mkwere alikuwa na vitu vya msingi sana katika kufanya mambo yaende! We need him, tukubali tukatae, time will tell!

Aiseee!! Acha tuu, najuta sana
 
Hakuna kinachoenda mrama we kaa utulie dawa ikuingie
 
Uliza deni la taifa lilifikia sh. ngapi?

Uliza mikataba iliyo sainiwa (juu ya malia asili) leo bado inakunufaisha?

ILIKUWA FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE. JE TUENDELEE NA STYLE KAMA HIYO?
Deni hata nyerere aliliacha na ndio baba wa taifa hili so co issue..! Mikataba hasa ya kifisadi kaikuta from chenkapa mfano epa,iptl,aggreiko na mingine pamoja na kuwa hakuwa malaika mengi mazuri kaifanyia nchi hii bila majigambo kujitapa na kuita waandishi wa habari.
 
Uko obsessed na Mkwere!
Yeye sio mwanzilishi wa CCM, yet wote mnaimba na kuabudu jina la mwanzilishi wa CCM!
Yeye si aliyeanzisha azimio la Zanzibar lililofuta ujamaa!
Pia ufisadi ulianza labda hata kabla ya mkwere kumaliza shule, rejea issues za uhujumu uchumi enzi hizo za Mwalimu na hadithi za fagio la chuma za Mwinyi!
Serikali ya mkapa pia had a lot of scandals and possibly most of hizi cases zilikuwa ni muendelezo wa mambo yaliyotangulia!

Essence ya uandishi wangu sio kumsifu mkwere kuwa ndio raisi bora, na kubeza Magu na team yake! Ila ni ukweli kuwa uwezo wa kufikiri na kuplan kwa sasa haupo!
Tulipokuwa hatukusanyi kodi na kulinda rasilimali mali za nchi ndio mambo yalipaswa kuwa mabaya! Leo tumeongeza uwezo wa ndani, tu!epunguza wafanyakazi hewa na wanafunzi hewa, lkn hizo huduma za jamii kama afya, elimu ndio zimedorora maradufu!

States walizofikia che nkapa na mkwere hadi leo tumesharudi more than 5 steps back! Hii case chanjo inayozuka kama rumours kwa sasa ikiwa ni kweli utakuja kuwa balaa kubwa! Hizi cases za kipindupindu cha mwaka mmoja hakijawahi kutokea, outbreak ya nchi nzima kwa zaidi ya miezi 6!

Anyway nyie ndio mnaofanya watu wa awamu hii wasiwajibike!
Tuna tatizo leo, mnaamsha blames kwa tawala zilizopita!
Si tulishasema tunataka mabadiliko ya kweli?
Si tulijua kikwete katuangusha na sasa ndio wakati wa kampeni wote tuliamua kuhubiri mabadiliko!

So we knew exactly wapi kuna tatizo!
We had plans ambazo zilikuwa better than hizo za waliotangulia!
Now, huu ni wakati wa kuonesha ufundi na kuleta tija kwa mtanzania sio tena turudi kule kuliko tufelisha!
Mimi bado nina tofauti na mlio wengi, bado naamini mkwere alikuwa na vitu vya msingi sana katika kufanya mambo yaende! We need him, tukubali tukatae, time will tell!
KIKWETE HOYEEEEE,LIKWETE HOYEEEE,KIKWETE HOYEEEEEEE,MAJIPU ZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII,MAJIPU ZIIIIIIIIIIIIIIIII,MAJIPU ZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.
 
JK alikuwa sio mpenda sifa, alikuwa na hekima na busara, alisaidia kukua kwa demokrasia ila huyu mpenda sifa ni janga la kitaifa
TENA HAIJUI HIYO KAZI YA URAIS,YEYE AKISHAKULA MICHENBE NA NGOZI YA MBUZI HAO ANAANZA KUFANYA MADUDU,.,.,.MUNGU WANGU DAAAAAAAAAAAAH.
 
Hivi kipindi cha JK boom halikucheleweshwa? Wanafunzi hawakugoma? Mbona mnakuwa kama viwavi, kusahau sahau tu ovyo...

na mimi nakumbuka tulienda field tukiwa na laki 120kati ya laki 540
tulipo rudi tukapewa la 3.
 
Ukweli usemwe Mkwere alitupeleka pabaya.
Pamoja na promo kibao za NSSF, NPF, makongamano, masemina elekezi na masherehe matanuzi. Nchi ilizidi kudidimia kiuchumi wakubwa wakizidi kwenda kubembea Dubai Brazili na kwinginepo!!
Ina maana hamukuona wizi na ufisadi uliokuwa unaendelea??
Sioni sababu ya kumsifia mtu aliyedidimiza uchumi wa nchi eti ni kichwa!!
Madawa ya kulevya TZ ikageuka safe heaven ya madealers!!
Lugha za wizi zikazaliwa eti Mchongo , uchakachuaji, maujanja!!
Yote yamezaliwa na watu wa kuliibia taifa letu!!
Mhs Rais awabane warudishe hata fedha walizo ficha huko Ulaya!!
Mtu katawala nchi bila kujali uadilifu bora liende!!
NYANOKOOOO EBHEE,LIBOLO LA MWASO NGOSHA OLE NCHIRO CHIRO TOMBANOKO.,.,.,.,.,
 
Mmmmm, kwa style hii ya JPM hata miaka mitano hatufiki. Si kwa uchumi tu bali damu itamwagika, kwani hakuna chama cha siasa kitachongojea kuwa barabarani mpaka 2020, au mbunge asubiri ruksa toka kwa JPM ili akawashukuru waliomchagua, au JPM awaambie mahakama ifanye vipi kazi na mengineyo.

Kweli JPM hajipendi maana Mkwere alishatuonyesha kipimo cha Demokrasia na wote tukafurahia leo uturudishe kule kwenye chama kimoja cha TANU, Mmmmmmmmmm, sijui. Tusubiri tuone ila kazi anayo, natabiri miaka mitano hatufiki.

mnakumbuka maandamano ya iringa yaliyomuua mwangosi, mnakumbuka , arusha , watu walijeruhiwa na mke wa rais wa mioyo yetu , mnakumbuka vibali vingapi vilizuiwa kipindi cha jk, mnakumbuka jinsi jk alivyotukanwa kuwa ALIHARIBU NCHI , kwa kwachia kila kitu kinaenda hovyo , mnakumbuka
haya majina
mkwere
tezi dume
popo
vasco dagama
mchekacheka hovyo
eti ghafla jk amekuwa mzuri
kuliko MAGUFULI aliye na miezi 8 madarakani
 
Hata Rais ajaye atakuwa mbaya kuliko Magufuli, mtu hasifiwi akiwa madarakani au akiwa hai hadi atoke. Ndivyo ilivyo
 
mnakumbuka maandamano ya iringa yaliyomuua mwangosi, mnakumbuka , arusha , watu walijeruhiwa na mke wa rais wa mioyo yetu , mnakumbuka vibali vingapi vilizuiwa kipindi cha jk, mnakumbuka jinsi jk alivyotukanwa kuwa ALIHARIBU NCHI , kwa kwachia kila kitu kinaenda hovyo , mnakumbuka
haya majina
mkwere
tezi dume
popo
vasco dagama
mchekacheka hovyo
eti ghafla jk amekuwa mzuri
kuliko MAGUFULI aliye na miezi 8 madarakani
TOMBANOKO,NYANOKO,LIBHORO LA MWASO,MSINO WA MWASO NYANOOOKOOOOOOOOOOO BHENHWE,.,.,..
 
Yule hakuwa tayari kuhamia Dodoma na ndiyo maana nilisem vile. Yaani wewe rais halafu mawaziri wako ndiyo wakutawale wewe? Kwa Tanzania hii, tunahitaji rais anayendesha watu kiuhakika si kucheka na kusikiliza taarab tu Ikulu. Rais usipokuwa serious na maauzi yako your subordinates will never take you seriously, muulize kijana mtalii a.k.a. Mze wa kucheka bila sababu atakuambia.
NYANOKOO BHENHWE,.,.,.
 
Back
Top Bottom