Mau Mau
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 691
- 504
Mkuu deni hata lingekuwa dola 500bn kama maisha ni easy hapo mbona raha sn, kuliko kuwa na deni kiduchu na bado ya wananchi ni ya kutokujua kesho itafikajeUliza deni la taifa lilifikia sh. ngapi?
Uliza mikataba iliyo sainiwa (juu ya malia asili) leo bado inakunufaisha?
ILIKUWA FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE. JE TUENDELEE NA STYLE KAMA HIYO?