Ukisoma comment za watu utaona ni kwa namna gani watu wanachuki na JK na hii yote ni kwa sababu ya ile shughuli ya pale dodoma goli la dakika ya tisini,, mkiendelea kumjadili JK ni kuendelea kumuongezea umaarufu na hata wale wasiojua kwanini anasakamwa watajua sasa,, endeleeni kupambana jamani jamaa yenu bado ananafasi nyingine 2020, mkiendelea kumsakama JK 2020 mambo yatawaendea kombo tena maana mtakuwa mmetumia muda mwingi kumzomea JK asiye na madhara tena na kusahau kumjenga mtu wenu...
Haya sasa pigo lingine hili tena,, JPM kateua makatibu na naibu kamishna, dah kawatupa mbali jamaa fulani kutoka sehemu fulani hivi maana tabia yao ya wizi, unafiki na tamaa ya kuigeuza tanzania nchi ya watumwa wao imeshajulikana na kila mtu anawachukia sasa,,, game bado mbichi kabisa ndio kwanza asubuhi..