Wewe mwenyewe mbona unapenda sana attention. Kutwa nzima unashinda hapa JF kuandika vitu visivyoeleweka alimradi tu tukuone na hilo likofia lako feki la kicowboy na mijidevu kama gaidi; hovyoo. Muacheni Kikwete. Akague miradi au asikague miradi wewe kinakuuma nini?JK sijui kichwani mwake huwa anawaza nini? Anapenda attention ya media sana
Katuangusha saaana watanzania,!! Kifup kaboronga sana, nakafanya kafanya mambo ya ovyo mno.Mbona mnamsakama sana mzee wangu kawakosea nn wadungu?
Hapo kazi tuMzee wa media na show off kama kawaida yake na yeye anaenda kukagua Miradi ya kitaifa, sijui huyu jamaa atastaafu lini na kupotea kwenye media kama wenzake Mzee Mwinyi na Mkapa!
Naombeni mumuache mzee wangu afanye kazi zake. Hapa kazi tu nae anatekeleza si kaenda kukagua tatizo liko wapi kwani?
Nimeangali na kufuatilia mambo nimegundua Tanzania yangu ina serekali Mbili.Moja tunaijua ambayo ni halali na nyingine inafanyia kazi mafichoni.Hii ya mafichoni muda si mrefu kama system haitaikemea inaimeza serekali halali muda si mrefu.Tuupe muda wakati.