samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,478
- 24,250
Kwa taarifa yako watu wa pwani ni wachache sana katika population ya taifa hili,,, sasa ni maajabu sana nyie na akili zenu na huo uelevu wenu kuongozwa na kukubali kutawaliwa na hao unaowaona wapumbavu na kuwaita mijitu,, sasa kati yako wewe ambaye si wa pwani na hao wa pwani sijui nani mwenye akili maana cha ajabu hao ambao wa pwani wanafikia hata kukutawala na wewe na akili zako nyingi.. kingine cha ajabu tanzania ina watu zaidi ya milioni 45 ndani yake ukiwa wewe mwenye akili na hao majitu ya pwani ambao hawazidi millioni 10 sasa hao zaidi ya millioni 35 wameshindwaje kuleta hayo maendeleo na kuifanya tanzania kutokuwa nyuma kimaendeleo kama nao sio wazembe tu kama wewe..