Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Alipenda sana ukubwa,tabia hiyo kuondoa ni kazi kubwa.Naona na Mamsap naye kaenda kama First Lady aliyestaafuMsafari mkubwa namna hiyo kukagua mradi mmoja wa maji. Kunatija kweli hapa.
Alipenda sana ukubwa,tabia hiyo kuondoa ni kazi kubwa.Naona na Mamsap naye kaenda kama First Lady aliyestaafuMsafari mkubwa namna hiyo kukagua mradi mmoja wa maji. Kunatija kweli hapa.
Hili ni janga la kitaifa.Mswahili hadi awe mstaarabu inabidi ufanye kazi ya ziadaAlipenda sana ukubwa,tabia hiyo kuondoa ni kazi kubwa.Naona na Mamsap naye kaenda kama First Lady aliyestaafu
Marofa kama wewe mpo wengi sana hapa jf.Nimeangali na kufuatilia mambo nimegundua Tanzania yangu ina serekali Mbili.Moja tunaijua ambayo ni halali na nyingine inafanyia kazi mafichoni.Hii ya mafichoni muda si mrefu kama system haitaikemea inaimeza serekali halali muda si mrefu.Tuupe muda wakati.
Kwa sasa ndiyo inayofanya kazi kwa njia ya Panya
mwendelezo wa marofa...Alipenda sana ukubwa,tabia hiyo kuondoa ni kazi kubwa.Naona na Mamsap naye kaenda kama First Lady aliyestaafu
Shule zikifunguliwa mkarudi shule JF itarudia ubora wake.Huwezi kuelewa nilichoandika kama umesoma kipindi hichi cha jk ambapo zero ilijeuzwa kuwa div 5.Sio kosa lako ni kosa la JK kutuharibia elimu ambapo leo hii kijana wa chuo kikuu hawezi fikirisha akili anakariri na kusoma juu juu kama kasukuMarofa kama wewe mpo wengi sana hapa jf.
please review your thinking and reasoning capacity!! Sorry chief for such a rough advice.Nimeangali na kufuatilia mambo nimegundua Tanzania yangu ina serekali Mbili.Moja tunaijua ambayo ni halali na nyingine inafanyia kazi mafichoni.Hii ya mafichoni muda si mrefu kama system haitaikemea inaimeza serekali halali muda si mrefu.Tuupe muda wakati.
I might have good reasoning capacity than your's!!! You need to be of a little bit of a certain intelligent to understand what great thinkers might mean when they write or say something otherwise you might turn into a laughingstock!!please review your thinking and reasoning capacity!! Sorry chief for such a rough advice.
Acha kukurupuka jenga hoja kiongozi,kumbuka huyo ni mwenyekiti wa chama tawala,ana haki ya "kusniff" mahali popote ili aweze kupanga mikakati ya kuisimamia serikali ya chama chama chake kwa hoja,utawezaje kuisimamia taasisi bila hata kuwa na idea ya nini kinaendelea,na utajuaje nini kinaendelea bila kuwa unafika site angalau mara moja moja?Amesahau kua amestafu au kapewa wizara isiyo na kazi maalumu
We mpuuzi na wapuuzi wenzio ndo mmedata. Yaani Rais mstaafu kwenda kukagua mradi wa maji ndo useme anaendesha serikali nyumba ya pazia???? Aliyewaita Manyumbu nadhani alikua sahihi... Mwingine akamalizia kwa kuwaita marofa.Shule zikifunguliwa mkarudi shule JF itarudia ubora wake.Huwezi kuelewa nilichoandika kama umesoma kipindi hichi cha jk ambapo zero ilijeuzwa kuwa div 5.Sio kosa lako ni kosa la JK kutuharibia elimu ambapo leo hii kijana wa chuo kikuu hawezi fikirisha akili anakariri na kusoma juu juu kama kasuku
Nyumba=NyumaWe mpuuzi na wapuuzi wenzio ndo mmedata. Yaani Rais mstaafu kwenda kukagua mradi wa maji ndo useme anaendesha serikali nyumba ya pazia???? Aliyewaita Manyumbu nadhani alikua sahihi... Mwingine akamalizia kwa kuwaita marofa.
Ndo mara yako ya kwanza kuwaona viongozi wastaafu wakiwa wanaenda kukagua miradi ya maendeleo???
Alafu ukumbuke huyo ni mwenyekiti wa chama. Kwenda kukagua shughuli za utekelezaji wa ilani ya chama kuna tatizo gani??? Mbona Kinana akienda kukagua mikoani hutoi povu???
Chuki imewazidi mpaka mmepungukiwa uwezo wa kufikiri hata vitu vidogovidogo , mmekua wachawi kila siku kupiga ramli kwa mambo ya kusadikika...
Nyumba=Nyuma
1.Elimu
2.Elimu
3.Elimu
If this is the way how great thinkers think,I would rather not be a great thinker!Unasahau kuwa huyo ni mwenyekiti wa chama kinachounda serikali na kwa mujibu wa katiba yake chama kina wajibu wa kuisimamia serikali,sometimes ni muhimu kwa mwenyekiti wa chama afahamu nini kinachoendelea kwenye maeneo ya matukio ili aweze kuongoza vizuri kazi ya kuisimamia serikali asije akapigwa changa la macho-why don't you see this fact chief?!I might have good reasoning capacity than your's!!! You need to be of a little bit of a certain intelligent to understand what great thinkers might mean when they write or say something otherwise you might turn into a laughingstock!!
Haya ndo madhara ya kunywa viroba bila mlo.Nyumba=Nyuma
1.Elimu
2.Elimu
3.Elimu