Kikwete ajisafisha Dowans

Kikwete ajisafisha Dowans

rais kuongea maneno ya namna hii ni mpumbafu na ujinga wa hali ya juu...asifanye watu watoto hapa na majibu yake ya hovyohovyo...kwanza nani kamuuliza mpaka anaanza kufafanua ...stupid

Umeyasikia au unatoa comments bila ya kufanya tathmini? Naona kama unaropokwa vile!
 
As usual no specifics, not objective but suitable to the intended listeners (CCM and the apologists). Just one thing in mind JK asije kuruka haya aliyoyasema na kutuambia ilikuwa ni maoni yake binafsi!!!!
 
Hi siku ile alionguka jukwaani pale jangwani ilikuwa tarehe ngapi vile?labda zinarelate na hii ya leo
 
Nimefarijika kusikia JK akikiri hili huko Dodoma leo. Lakini bado sijaelewa vizuri ..

Kumbe JK anakubali matokeo ya tume ya Mwakyembe kuwa ilipatia kuwa Richmond in kampuni hewa.Kama hii ni kweli anatuambiaje kuhusu matokeo ya TAKUKURU waliosema kuwa Richmond haikuwa na shida? Je, kukubali matokeo ya tume ya Bunge siyo kukataa yale ya TAKUKURU? Iweje JK halizungumzii hili la kazi nzuri au mbaya ya TAKUKURU kuhusu Uchunguzi wao kuhusu Richmond?

nauliza ili tutafakari kuhusu gharama zilizotumika na Takukuru kuchunguza Richmond na kuishia kuwadanaganya Watanzania.

Hivi bunge lisingekomaa mpaka ikaundwa Tume ya Mwakyembe ikaundwa tungekwendaje kuhusu hili?

Je ni mangapi yanafunikwa hivi?

Hivi ukidanganya umma bosi wako anakupongeza na kuomba wananchi wakupe ushirikiano kama alivyofanya JK hotuba yake bungeni?

Hivi wananchi wanakosea wakisema hawawamini TAKUKURU?

Angalizo: "Ukiona wakuu wanakazania kupinga jambo kama walivyofanya kupinga kamati ya Mwakyembe jua kuna jambo linafukiwa"

Hivi wewe umefarijika kwa lipi.Mimi ningefarijika tu kama Kikwete na washirika wake wangefikishwa the Hague ingawa najua nayo ni mahakama ya kitapeli.
 
yaonekana umeisikiliza hotuba kwa umakini.kuna sehemu rais anakiri kwa kinywa chake kwamba hata ndugu zake wanafahamu kuwa yeye ni msema hovyo.utuwekee ile hotuba ambayo haijahaririwa!
Bahati mbaya hotuba inayosambazwa ni ile official transcript ambayo imekuwa whitewashed. Ni kweli kasema yeye ni "msema ovyo" hata kwenye Baraza la Mawaziri.
 
Raisi wangu na Mwenyekiti wa Chama Cha CCM ametamka, ametoa kauli ambayo ilikuwa itolewe zaidi ya miezi mitatu sasa. Hii hotuba na hasa kipengele kinachohusu Dowans ilitakiwa mwishoni mwa 2010. Aliogopa nini kusema kama kwa dhati kabisa aliyosema sasa ndio msimamo wake?

Napata mashaka na Raisi wangu anapokimbilia 'akutakanaye hakuchaguliwi tusi'. Sidhani kuna mtu anayekuwa na msimamo tofauti eti kwa kuwa anamtukana Rais. Sidhani kupingana na hoja ni kumtukana mtu. Naogopa tunaelekea mahali tukibishiwa hoja tunaichukulia chuki, tunaona ni tusi badala ya kufikiria jinsi ya kuijibu. Tena wakati mwingine tunapaswa kuwa wanyenyekevu, tukiri pale hoja inatuonyesha tulikuwa tumekosa.

Naamini safari bado, na ninaamini kina Msekwa na wazee wengine humo CCM, wanayo bado nafasi ya kurekebisha hizi hisia, maana naona ndio chanzocha kutoelewana kwa taifa. Kiongozi asiyepingwa! Kiongozi ASIYEPINGWA! Tafsiri yake nipeni! Je kiongozi asiyekuwa tayari kupingwa anaitwa nani?
 
Umefahamika Mwenyekiti...

Yaani hii ni kali kiongozi anasikilizia kwanza, anavizia na baadae anakurupuka eti hata yeye alikuwa sahihi. Wakati juzi tu hapa kuna magazeti walianza kumpamba eti yuko kimya kwa sababu suala hilo liko mahakamani. No wonder why hilo linchi ni kuongea ongea tu na hakuna hatua zinazochukuliwa. Your guy is just an empty suit period!!!!!!!!!
 
"...Naomba kila mkoa na wilaya watuletee orodha ya yale tuliyoaahidi ili tuyatengenezee mipango ya utekelezaji..."
 
hii prepared transcript sicho alichokisema
 
Kama kikwete anawashauri basi ni heri awafukuze ili aweze kutoa mawazo yake mwenyewe. Kama raisi wa nchi anaweza kutoa majibu kama haya ni heri angekaa kimya.

Raisi anatamka Richmond ni kampuni hewa, kama ni hivyo DOWANS ilirithi mkataba kutoka wapi? hivi DOWANS hawakuja na documents zozote walipo kuja kuzalisha umeme? na kama walikuja na documents walizipata wapi na zionyesha hao Richmond ni nani? kwanini DOWANS wasiambiwe wakatuletee hao Richmond walio warithisha mkataba kabla ya kuwalipa?.

Raisi anasema Tanesco watalipa na siyo serikali, hivi Tanesco si inamilikiwa 100% na serikali? Hivi Tanesco si wanapata mapato yake kutoka kwa raia? Tanesco ikifa leo hii itayeteseka si raia? au amesema hivyo akimaanisha wao viongozi wa serikali hawata athirika?

Sijawahi kuona raisi mbumbumbu kama huyu.

Mtu anyetoa majibu ya kihuni naye ni mhuni..Nina hitimisha, Jakaya mrisho kikwete naye ni mhuni kwa majibu yake ya kihuni.
 
"...Naomba kila mkoa na wilaya watuletee orodha ya yale tuliyoaahidi ili tuyatengenezee mipango ya utekelezaji..."

Wenzio wanawaza uchaguzi 2015 sasa zile ahadi zitaongezwa zingine usijali!
 
Raisi wangu na Mwenyekiti wa Chama Cha CCM ametamka, ametoa kauli ambayo ilikuwa itolewe zaidi ya miezi mitatu sasa. Hii hotuba na hasa kipengele kinachohusu Dowans ilitakiwa mwishoni mwa 2010. Aliogopa nini kusema kama kwa dhati kabisa aliyosema sasa ndio msimamo wake?

Napata mashaka na Raisi wangu anapokimbilia 'akutakanaye hakuchaguliwi tusi'. Sidhani kuna mtu anayekuwa na msimamo tofauti eti kwa kuwa anamtukana Rais. Sidhani kupingana na hoja ni kumtukana mtu. Naogopa tunaelekea mahali tukibishiwa hoja tunaichukulia chuki, tunaona ni tusi badala ya kufikiria jinsi ya kuijibu. Tena wakati mwingine tunapaswa kuwa wanyenyekevu, tukiri pale hoja inatuonyesha tulikuwa tumekosa.

Naamini safari bado, na ninaamini kina Msekwa na wazee wengine humo CCM, wanayo bado nafasi ya kurekebisha hizi hisia, maana naona ndio chanzocha kutoelewana kwa taifa. Kiongozi asiyepingwa! Kiongozi ASIYEPINGWA! Tafsiri yake nipeni! Je kiongozi asiyekuwa tayari kupingwa anaitwa nani?

Just another proof that the guy is incompetent!!!!!!
 
"Kwa maneno mengine, Chama cha Mapinduzi kiige tabia ya nyoka ya kila baada ya muda fulani hujivua gamba lake na kupata jipya. Hatuna budi kufanya hivyo na kufanya hivyo sasa."

mytake:
Mwenyekiti keshashauri wawe na tabia ya nyoka mjanja kuliko sasa walivyo kama nyoka mjinga ambaye anang'ata hovyohovyo... Yaani walete DOWANS ingine lakini katika sura mpya kabisa, ufisadi ufanyike kwa njia za kisasa, wezi walindwe kitaaalamu zaidi na CCM iendelee kuwazuga wananchi kuwa wanawasaidia kwa danganya toto tuu lakini NYOKA NI YULEYULE JANA LEO NA HATA MILELE KWA NGUVU,ARI, KASI ILEILE JAPO KWA KUZUGA ZAIDI!!
 
Kweli sasa tuhakikishe JK akimbia nchi tuweke warrant yake na kufanya kila kitu kumkamata. Wewe kama kiongozi wa nchi na Tanzania ina watu millioni 42, wanachama wa CCM let say 200,000 na hapo hapo unashikilia jeshi la polisi, upelelezi, jeshi la ulinzi na hapo hapo pia unashikilia Bunge. Unajua JK na CCM wanafikiri Watanzania wa leo ni ignorant na wavivu kama wale waliokuwepo enzi za Azimio la Arusha. Hatua gani alichukua baada ya Bunge kuchunguza Richmond na kujua hii ni kampuni fake? Kwanini Kikikwete alimlazimisha Lowasa ajiudhuru? Kwanini alihusika katika maamuzi ya kupeleka Dowans ICC badala ya criminal court? Kwanini alikaa kama mwenyekiti wa Kamati Kuu na kuhidhinisha kwa mara nyingine tena Dowans walipwe wakati 99% ya wananchi hawataki serikali ilipe wezi CCM? Mpaka sasa tunaweza kusummarize yafuatayo:
1. JK anaongea sasa kudanganya wananchi ili donors waendelee kumwamini na kumpa funds zaidi ili waendelee kuiba na kujitajirisha. Hili Wananchi tutafanya kila njia kuzuia JK na CCM kujisafisha haraka haraka
2. JK anaongea sasa kwa sababu CCM na tawi lao CCM wanajua kuna maandamano makubwa yanakuja na mengi yamepangwa mwezi huu kumfukuza yeye na chama chake. Katika hili sijui kama JK na CCM wamefanikiwa lolote

"Uchafu ni Uchafu siku zote hata kama ukijaribu kuusafisha na kuupamba hautabadilika. CCM na JK ni wachafu kupindukia"
 
Rais wa JMT amejisafisha kuwa si mliki wala hawalindi marafiki zake katika sakata la DOWANS. Ameeleza kila kitu kuhusu mchakato wa Richmond hadi Dowans. Aisee naona sasa jamaa ameshutuka amefafanua mpaka basi, ameweka bayana Richmond ni kampuni ya mfukoni na kugusia maamuzi ya CC ya CCM.
Walioona taarifa hiyo jamani tuijadili kidogo.
Source TBC1 Time 02:19

Chochote kinachotoka kwa huyu jamaa hakistahili hata kukisikiliza maana siku zote ni ..... TUPU! Eti chaguo la Mungu! Mungu hawezi kutuchukia Watanzania kiasi hiki na kutupa the so called kiongozi ambaye ameshindwa kwenye kila kitu pamoja na madaraka makubwa tuliyomkabidhi.
 
Mbona cc ya ccm ilisema wanawategemea wanaharakati waliopeleka suala la kukataa kuilipa dowans mahakama kuu,leo jk anasema wanasheria wa serikali na wa tanesco ndio wanaofuatilia suala hilo?hapo nimechanganyikiwa
 
Kwa aliyosema leo JK nafikia hitimisho lifuatalo:

Aliposema tumitumia umeme wao miezi tisa===Anatukumbusha kuwa ukila na wewe lazzima uliwe...hivyo watalipa Dowans kwa kuwa umeme si mlimtumia?

Anaposema ..hatima ya kuwalipa iko mikononi mwa wanasheria: Kwa hiyo ina mana yeye kama yeye poa tu walipwe ila kama wanasheria watasaidia nayo poa tu.. so basically baadae tutasikia ahahah wanasheria wamesema haiwezekani inabidi tulipe ... Mkwere ni mjanja sana hataki kutake responsibility ya yeyey kama rais ..kila kitu ansema huyu au yule amesema na mimi sina uwezo wa kuingilia...mnakumbuka kauli yake siku ya shrehe za mahakama? Alisema wananchi hawajui sheria wanamtaka abdilishe hukumu kwenye jambo liloamrimriwa na mahakama.(alimaanisha Dowans imeshaamuliwa so kilichobaki ni utekelezaji).

Kifupi I think JK anajua kuwa Dowans watalipwa ..anachofanya ni kucheza na maneno... kwenye kikao cha wabunge aliwasanifu kina mwakyembe kuwa eti watoe mwongozo ...tehteheteh mkwere msanii..

Tatizo la Rais wetu ni ndumilakuwili au popo haijulikani yupo kundi gani.Kwani akiwa kwa mafisadi anasema hivi na akija kwa wanainchi anasema lile.Tatizo anataka kupendwa na pande zote huku akijua wanainchi wanaumia.SI HUYU ALIMPIGIA KAMPENI MRAMBA mnakumbuka alisemaje?Fanya wewe kosa kama la Mramba kama hujafia jela! INAUMIZA SANA Katika hii demokrasia yetu hapa Tz.TUNGEOMBA RAIS Awe Specific ili tujue yuko wapi sio kutuzunguka.
 
Back
Top Bottom