Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,542
- 12,404
Katika Maisha yangu nimebahatika kushuhudia wezi wa mali za watu zaidi ya 10 kwa nyakati tofauti wakiwa wameiba mali tofauti katika mazingira tofauti. Kati ya hao hakuna hata mmoja ambaye pamoja na kukamatwa wakiwa na mali (Kidhibiti) mkononi aliyekubali na kutamka waziwazi kuwa amehusiaka kwa namna yoyote aidha kuiba mali hiyo licha ya kukamatwa nayo mkononi au kukutwa nayo eneo linalomhusu moja kwa moja mfano Chumbani kwake au nyumbani kwake.
Nadharia:
Kutoka na hicho nilichokiona na ku-exprience katika nadharia hiyo niliielewa awali sishawishiki kwa namna yoyote kuwa ntakuja kusikia muhiska wa jambo fulani linaloashiria dhuruma/uhalifu au wizi wa namna yoyote atatamka wazi wazi pasipo kupindisha maneno kuwa yeye anahusika na wizi au namna yoyote ya dhuruma. Maelezo yenye kupindapinda na yenye walakini mfano kuchelewa kutamka hilo ni dhahiri kuwa anahusika na hayupo tayari kusema isipokuwa pressure ya wananchi ndiyo inamsukuma kulopoka pasipo dhamira ya kweli kwake kuzungumzia hilo.
My Take;
Hatoweza kujitoa kwa namna yoyote kwenye hili suala la RICHMOND/DOWANS. Anahusika kwa namna moja au nyingine.