Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 74
minor error! unaonyesha akili yako ilivyo kujadili trivial things..akili ndogo kama ya sponsor wakoKwi kwi kwi
Mpeni maji ya kunywa.... ya kogoma.
minor error! unaonyesha akili yako ilivyo kujadili trivial things..akili ndogo kama ya sponsor wakoKwi kwi kwi
Mpeni maji ya kunywa.... ya kogoma.
tatizo sio kikwete, tatizo ni ccm. ling'olewe hili ccm na sera zake za naintiin kweusi.
hapa ndio utakuta tunarejea kulee kwamba asilimia 70 ya mitanzania inafuata mkumbo. mtu na akili zako utaipigia kura ccm bana!Baadhi wanaweza kuhoji kuwa tatizo si CCM bali mijitu mipiga kura ndio tatizo.
Migomo ni dalili ya demokrasia na uhuru ambao ndio azma yake..ulifikiri watu hawakogoma zamani kwasababu gani kumbuke enzi zile makaburi walisindikizwa kwa polisi..uhuru ni haki yako migomo na maandamo yanaendelea duniani kote kila siku..labda ugeni wako katika demokrasia ndio tatizo.
jinyonge nipo huru ..unafikiri upinzani ni kupinga kila kitu? after all unataka nimsupport mbowe?? na slaa??? ha ha unachekesha?
Unadhihirisha chuki zako safi sana..ndio maana uwezo wako ni mdogo kwasababu ya udiniBwa ha ha
eti fifa rankings, ukipewa muda zaidi utaleta rankings za OIC
Kama ambavyo moyoni wako unavyouma endelee kukonda sisi tunapeta 2010 tunapeta sijui slaa na mbowe wako watakuwa wapi? ha ha ha go on crying
lol watu wengine bana ushabiki mbaya..lete statistics hapa vifo vya akina mama as per waziri wa afya vimepungua sasa wewe umepata wapi hizo data..leta tuzione kuanzia 2005 ..usikurupuke39. alidai kuwa atawawezesha wanawake wa kanda ya ziwa.
kilichotokea sasahivi ni vifo vya wajawazito vimeongezeka, amewawezesha katika -ve direction.
Unadhihirisha chuki zako safi sana..ndio maana uwezo wako ni mdogo kwasababu ya udini
lol watu wengine bana ushabiki mbaya..lete statistics hapa vifo vya akina mama as per waziri wa afya vimepungua sasa wewe umepata wapi hizo data..leta tuzione kuanzia 2005 ..usikurupuke
Inaonyesha hujaangalia fifa ranking kabla na baada ya 2005, hujaangalia mechi ngapi za kimataifa tumeshinda? ..duh fanya homework kidogo kabla ya kuleta allegations
Ala umeshabadili mada kumbe urais hamtaki tena mnataka kuendeleza madrassa? sikufahamu...go on crying with mbowe na takataka zenu hapo chadema lakini urais hampati mbuzi nyie kwa akili hizo..lolTeh teh teh
Unapeta wapi wakati mahakama za kiislam somalia zimeishiwa pesa na sasa sijui mmebaki kulia lia. kadaganye vitoto vyako madrassa lakini sio hapa.
Unataka uendeleze kila kitu kwa miaka minne? nyie vipi kwa resources zipi? au uchumu umewapita pembeni...fikirini kabla ya kuleta upupu hapa...step by step...Duh! kwako michezo ni mpira tu..mingine je?
Nitampa mbowe anisomeeStatistics utaweza kuzisoma kweli (kama hazijaandikwa kiarabu)?
Ala umeshabadili mada kumbe urais hamtaki tena mnataka kuendeleza madrassa? sikufahamu...go on crying with mbowe na takataka zenu hapo chadema lakini urais hampati mbuzi nyie kwa akili hizo..lol
Unataka uendeleze kila kitu kwa miaka minne? nyie vipi kwa resources zipi? au uchumu umewapita pembeni...fikirini kabla ya kuleta upupu hapa...step by step...
Ha ha haHa ha ha mai mai mai mai mbavu zangu
Yaani umeongea kama ile character ya movie ya Zohan (iliyochezwa na Rob Schneider) ambayo inalilia mbuzi ......
mbavu zangu..... hah hah hah
ameshakupa bia ngapi leoGood!
Naona sasa heshima imeanza kurudi
Where there is HOPE there is chaos!Anayetekeleza maagizo ya bunge ni pinda nafikiri tumshauri asimchague hyo kilaza baada ya uchaguzi
Hotuba yake ya bunge hakuwahi kusema hicho unachosema acha uwongo wa mchana
tume zimuundwa ili watu wasije kushtakiwa na serikali bila uhakika na kushindwa mahakamani pamoja na mambo tume ilikuwa inatafuta vielelezo vinavyofaa kwa ajili ya ushahidi mahakama huwezi kwenda mahakamani kama kichaa..kama unavyo suggest wewe.