Kikwete afanye nini Kuuokoa Urais wake?

Kikwete afanye nini Kuuokoa Urais wake?

ameshakupa bia ngapi leo

Hapa nilipo nimekamata ndovu baridi kabisa na kiti moto iliyochomwa vizuri kabisa kama sina akili nzuri. Huko madrassa leo mmeshindia mahindi ya kuchoma tu.

BTW - ile character ya kwenye movie ya Zohan niliyoitaja hapo juu (iliyochezwa na Rob Schneider) inaitwa Salim - NY tax driver. Yaani unachoandika wewe leo na aliyofanya salim kama pete na kidole.
 
Atakuongezea tena zaidi kwa jinsi unavyoandika hapa leo...pole
 
Nikimaliza Ndovu, naenda kwenye dancing floor na ku-booom booom booom mpaka saa mbili kesho asubuhi.

On the other hand - wewe utakuwa sura ya ngapi ya alarabihilia?
 
tuwe wwkweli, kama tanzania haimtaki basi itaaamuliwa kwa kura... agombee tu akishinda aendelee

sioni wa kumpinga!!! especially CHADEMA!!!!

chongo ni mfalme kati ya vipofu, na kikwete ni mfalme katika wenyeviti wa vyama
 
Atakuongezea zaidi na zaidi baada ya hapo ..safi sana next
 
Kwa tafsiri yako kuwa raisi wa nchi lazima awe mwenyekiti wa chama cha siasa. Au sio?
 
Hapa nilipo nimekamata ndovu baridi kabisa na kiti moto iliyochomwa vizuri kabisa kama sina akili nzuri. Huko madrassa leo mmeshindia mahindi ya kuchoma tu.

BTW - ile character ya kwenye movie ya Zohan niliyoitaja hapo juu (iliyochezwa na Rob Schneider) inaitwa Salim - NY tax driver. Yaani unachoandika wewe leo na aliyofanya salim kama pete na kidole.

kaka Bifu lako liwe wewe na Tumain..Don't add other people's life.

Hawa wanaoshindia embe dodo na Mahindi ya kuchoma/kupika ndio wanaowanyima usingizi wale "wanaoitwa" wameendelea...!!!
 
Atakuongezea zaidi na zaidi baada ya hapo ..safi sana next

Next ni kupitia hapo madrassa kwako kesho mida ya saa tatu asubuhi nikupatie supu ya mbuzi (kama wa Salim) angalau usafishe tumbo maana mahindi ya kuchoma kila siku sio mazuri kwa afya yako.
 
kaka Bifu lako liwe wewe na Tumain..Don't add other people's life.

Hawa wanaoshindia embe dodo na Mahindi ya kuchoma/kupika ndio wanaowanyima usingizi wale "wanaoitwa" wameendelea...!!!

Hakuna yeyote anayenyimwa usingizi mkuu. Watu wanalala kaa wamepewa ambien mia moja vile.
 
Next ni kupitia hapo madrassa kwako kesho mida ya saa tatu asubuhi nikupatie supu ya mbuzi (kama wa Salim) angalau usafishe tumbo maana mahindi ya kuchoma kila siku sio mazuri kwa afya yako.
Ha ha ha ameshakupa na zingine kwa msg hii muonyeshe bosi wako leo..
 
39. Anafanya UFISADI "uliohalalishwa" kwa kwenda safari nyingi za nje ili apate PER DIEM nyingi kadri iwezekanavyo....
 
Sio bar tu, bali awe na maduka (mabucha) kama manne hivi ya nguruwe
ha ha ha ulafi ulafi dezo dezo...good go on crying mpe ma-hope mbowe wako kwamba amekaribia kupata urais..utapata na zaidi hayo mabucha ..
 
Ha ha ha ameshakupa na zingine kwa msg hii muonyeshe bosi wako leo..

Kuna special order right now ya viti moto (watoto) kama 100 kwa ajili ya krisimasi. Ukipenda nitakuletea vichwa (maana Salim wa kwenye movie ya Zohan alionekana kupenda vichwa).
 
ha ha ha ulafi ulafi dezo dezo...good go on crying mpe ma-hope mbowe wako kwamba amekaribia kupata urais..utapata na zaidi hayo mabucha ..

Kama ulikuwepo vile, sio mabucha tu, litaanzishwa zizi kubwa (au ranch ukipenda) sana la vitimoto pale temeke na lingine bagamoyo.
 
38: TRL chini ya uongozi wake ameacha shirika liuzwe kwa Matapeli naskia Rostam amenunua shirika lile na pia yuko mbioni kununua 35% ya Rift Valley Railway Kenya, wale Wahindi wa Rites ni mageresha tu! hata Ticts ni ya Rostam
 
Back
Top Bottom