Mpambalyoto
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 751
- 3
sio jambo jema kuweka clip ya jangwani hapa kisha ukiiona itakusaidia nini? baba yao akikaa uchi na ikawekwa clip hapa utafurahi?
:A S-danger::A S-danger::A S-danger::A S-danger::A S-danger:he! mbona umekuwa mkali sana mkuu una shea nini?Mchawi ni wewe ndiyo maana unaweza kuwatambua wachawi wenzako.
.
mbona jibu unalo kwamba ana uchungu na nchi yake ameshauriwa apumzike hataki ili kuwatumikia watanzania basi ndiye Rais bora. Kwa sisi tulio mtaani tunathibitisha kwamba KIKWETE anafanya sana kazi kwa kuangalia shughuli zake kwenye vyombo vya habari mbali na kazi ambazo haziko kwenye vyombo vya habari. Kwa hakika huwezi kujui kikwete analala na kupumzika saa ngapi.
Kuna mzee wa chama nimempigia simu kuuliza vipi Rais ameishiwa nguvu tena? kasema usiku wa kuamkia leo Rais kalala masaa mawili tu akiwa na timu ya wataalamu kupitia ratiba ya kampeni na kuifanyia marekebisho kadhaa.
yours!my knowledge!
Kapigwa banned.jamani malaria sugu yuko wapi leo? hebu atujuze alipo mgombea wake leo
jamani malaria sugu yuko wapi leo? hebu atujuze alipo mgombea wake leo
Kapigwa banned.
Tambwe hiza, skul of madrassatul,Nafikiri rais wetu ana matatizo makubwa kuliko tunavyofikiri.
Nikirejea kauli zake mbalimbali ndani ya mwaka huu napata mashaka rais ni mgonjwa kwelikweli.
JK siku hizi ana kauli za ajabu ajabu. Fikiri mtu kaanguka then akizinduka anarudi kuhutubia watu, unafikiri ana kumbukumbu za kutosha kwa aliyokuwa anazungumza awali?
CCM ndio wenye matatizo, washauri kina Hiza, Makamba. Mnategemea nini?
Yasitokee ya Ya'radua wa Nigeria hapa Tz.
Kwanini tulazimishe mgonjwa uongozi.
Nashauri apunzike mwingine achukue nafasi yake. CCM inawatu wengi.
eti huyu naye anajiita great thinker, unafikiri watu wote walikuwa jangwani au kwako Tanzania nia Dar tu ukiwa Morogoro ni nje ya nchi. Nashauri siku JK akiwa anaenda kupimwa akili uongozane naye naona una matatizo makubwa kuliko hata yake.kumbe haupo nchini???
blah blah blah