GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

Naona afya ya mkulu siyo ishu (kwa mujibu wa Salva Rweyemamu)

Hivyo tunavyoshadidia hapa wanatuona wakuja kwakuwa hawawezi kuvunja mwiko wa kusema yanayomsibu Vasco kinagaubaga
 
Mweeeeeeee!ina maana sisi kama nchi tulikosa huduma ya rais/Amiri jeshi mkuu wa majeshi na usalama kwa dk ishirini hivi?
 
Mweeeeeeee!ina maana sisi kama nchi tulikosa huduma ya rais/Amiri jeshi mkuu wa majeshi na usalama kwa dk ishirini hivi?

hizo ni ambazo uliziona, yanayotokea huko ikulu ni zaidi ya hapo mkuu. nchi inajiendesha yenyewe mkuu
 
Naona afya ya mkulu siyo ishu (kwa mujibu wa Salva Rweyemamu)
Hivyo tunavyoshadidia hapa wanatuona wakuja kwakuwa hawawezi kuvunja mwiko wa kusema yanayomsibu Vasco kinagaubaga

Hivi huyu Banyamulenge harudi kwao tu?
 
Kikwete hakuanguka ghafla si mlisikia akisema Aisee, halafu angalia midomo yake alipokuwa anasema hivyo. Hiyo sio ghafla.
 
Kikwete hakuanguka ghafla si mlisikia akisema Aisee, halafu angalia midomo yake alipokuwa anasema hivyo. Hiyo sio ghafla.
Ninahisi kama wewe mkuu.
Unadhani alijitupa ama alikutwa na masaibu mengine
 
Kikwete hakuanguka ghafla si mlisikia akisema Aisee, halafu angalia midomo yake alipokuwa anasema hivyo. Hiyo sio ghafla.

kwelu ,inabidi waliotoa comments za kidakitari warudii ,suspend the comments for the review.
 
Video huweka kumbukumbu sahihi ya tukio
 
Last edited by a moderator:
Sipendi mnavyodhihaki.

Ivi mzazi wako angekutwa na hali ile, utakua utamtania "aisee" akikuudhi?

Jamani tuwe na busara katika hili.
Angefanya vile kwa kukusudia au kumlinda fisadi flani, ningewaelewa.
 
Mkuu, uko sawa kabisa. Ila angeliwajali hawa chini, leo hii Tanzania nzima ingelikuwa ikilia kwa huzuni .......
Sipendi mnavyodhihaki.

Ivi mzazi wako angekutwa na hali ile, utakua utamtania "aisee" akikuudhi?

Jamani tuwe na busara katika hili.
Angefanya vile kwa kukusudia au kumlinda fisadi flani, ningewaelewa.
 
Nakuaminia mzee kumbukumbu muhimu bila kufanya hivo hawa CCM hawachelewi kukataa kuwa hakuna mtu aliyeanguka. Wakitoa tunabandika hata mimi nime download ninazo zote hadi video.

Nimependa Avatar yako akisoma Jey Key aka Malaria ujumbe anaupata!
 
Duh! Hapa pana shughuli, vipi anapokuwa huko private anaweza kuwa ameanguka mara ngapi? Serikali ingetueleza kwa kina ni nini kinaendelea hapa; au la sivyo kuna jambo zaidi ya hili tulionalo kwa macho.
Ninamtakia kila la kheri ili aweze kupona mapema ili aweze kushuhudia mpambano thabiti; 31 October 2010.
 
Ninamwombea kwa Mungu akianguka tena asiamke milele!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya M. Kikwete akiwa amejiegamiza jukwaani (kushoto) huku akimsikiliza mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Jasson Rweikiza (Bukoba Vijijini).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…