GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

Kuna umuhimu wa kubadili mwezi na tarehe za uchhaguzi ili siku nyingine kampeni zisiangukie wakati wa mwezi huu mtukufu. Maana si mchezo kazi hii itamlia nguvu zake nyingi tu saas kama tayari zimeshaliwa na swaumu sijui tutegemee nini- tusijepoteza mtu bure.
 
na mimi nililiona hili. jf inamuumiza kichwa sana huyu mzee.

mwaka huu ataona cha mtema kuni.
halafu mzimu wa wafanya kazi unamuandama sana. mara baada ya kuinuka na kurudi jukwaani hiyo juzi kubwa lilikwa ni wafanya kazi
jana mwanza akalieleza kwa kirefu anaona aibu kusema mdomo umemponza

hahahaha, katu simpi kura hata ajiangushe mara mia na kuzimia kwa masaa 24 simwonei huruma huyu, kura yangu ina nguvu!

Hawa jamaa ni vichwa ngumu, wanajidai eti mkubwa hakosei,kauli yake ile inapambwa na uongo mwingi,kwani akiomba radhi si ataonekana mkweli tuu!!!
 
yaani ukiziangalia hizi picha ni kwamba jk anaoneka kuchoka, tabasamu hafifu na la kulazimisha anatoa,
hilo shati alovaa linaoneka kumpwaya, nahisi ameongeza tundu kwenye mkanda wa suruali

kiatu alichavaa nacho kizito kama safety boot!
 
Ngoja kwanza hiyo minjemba ya UwT inyake hizo "naiti alawansi" kwa kumsindikiza huyo mgonjwa wetu. Kwa hili, CCM nimewadharau sana.
 
Mkuu Masa, mbona hii picha inaonesha kama vile jamaa kapandisha kenchi? Si unakumbuka kale ka uongojwa ambako nyama zinavyozidi kupungua mabega yatengeneza inverted V inaoyoelekea kule ambako wanaoenda hawarudi?
 
Mkuu Masa, mbona hii picha inaonesha kama vile jamaa kapandisha kenchi? Si unakumbuka kale ka uongojwa ambako nyama zinavyozidi kupungua mabega yatengeneza inverted V inaoyoelekea kule ambako wanaoenda hawarudi?

Mkuu acha tu! Hahahahahaha

Hebu check hapa anacheza kiduku


_DSC0512.JPG
 
Ha ha mkuu, ingekuwa wapiga kura wanaambilika tungempumzisha kiulaini, thorugh votes hapo october!! Tatizo ni kwamba, wazalendo wengi wenye kuelewa mambo hawapigi kura!! Je hali yake kiafya inaweza kutumiwa kama kigezo na kitumike kwenye kampeni za wapinzani? Naamini ingekuwa ni mgombea wa upinzani ameangauka basi ssm wangetumia hicho kama kigezo!! Au vipi wakuu??

ni kweli kaka jk anatafuta public sympathy! watu wamwonee huruma na kumchagua.
hataki kusema ukweli juu ya hali yake ya afya,
halafu mzimu wa wafanya kazi unamtafuna sana huyu jamaa, yaana anajuta kwa nini alisema yale maneno pale karimjee!!
 
Jamaa ana wake wangapi vile? Na anadunda kama kawaida. Sijui kama Bilal na boss wake wanaweza KUNYAKUA hata futi moja ........

jacob-zuma-dancing.jpg


Yaani nchi masikini hata Rais wake anakuwa hoi? CCM, we deserve better jamani.
 
Jamaa ana wake wangapi vile? Na anadunda kama kawaida. Sijui kama Bilal na boss wake wanaweza KUNYAKUA hata futi moja ........

jacob-zuma-dancing.jpg


Yaani nchi masikini hata Rais wake anakuwa hoi? CCM, we deserve better jamani.

Alizuia ukimwi kwa kwenda kuoga bafuni fasta baada ya kitendo!
 
Hii hali inaonekana ni tatizo lake la mara kwa mara na analijua. Kabla hajaanguka aliihisi inakuja aliposhtuka akasema ''aiseee'' na kupoteza fahamu.
 
Kazi ipo mwaka huu kwani hajui kuwa mdomo uliponza kichwa kikapigwa hadi kikatoka manundu?
 
Tehe tehe tehe!!kadata hadi anatumia wasanii kumkampenia.
 
Hoja zinazopaswa kuletwa kwenye board si kuanguka kwa Rais bali twajifunza nini na tukio hilo la kuanguka kwake Rais?. Ni nadra sana kusikia ati Rais wa nchi fulani kaanguka akiwa anawahutubia wananchi wake, tena zaidi ya mara moja katika kipindi kifupi kisichozidi hata mwaka. Ana nini jamani Rais wetu? kwa ushauri wangu Madaktari wake wanaomtibu wajiuzuru kwani wameshindwa kufanya kazi yao kwa ukamailifu na zaidi ya yote walipaswa kumkagua Rais afya yake kwa makini sana kabla ya kumruhusu kupanda jukwaani. Fedheha aliyoipata Rais wataibebeab wao.
 
Du! Naanza kuamini kwamba Jangwani kuna nguvu ya Upako wa Mungu. Atokaye kwa kina Sangoma S/wanga, B/moyo, Tanga na Pemba asitie mguu kamwe

Ni kweli kabisa haya mahirizi na imani za kishirikina za aina yoyote hushindwa pale Jangwani!
 
Hakuna uchawi. Isipokuwa JK anapenda kusafiri mno. ndiyo maana anachoka. Rest & Restoration ni mojawapo ya vitu vinavyopima mafanikio ya mtu. Kwa hili JK hajafanikiwa kwa afya yake. Anafikiri ujiko kuzururazurura. Hata ziara zinazo hitaji wakuu wa wilaya tu, yeye yumo!!!!!!!
 
Hakuna uchawi. Isipokuwa JK anapenda kusafiri mno. ndiyo maana anachoka. Rest & Restoration ni mojawapo ya vitu vinavyopima mafanikio ya mtu. Kwa hili JK hajafanikiwa kwa afya yake. Anafikiri ujiko kuzururazurura. Hata ziara zinazo hitaji wakuu wa wilaya tu, yeye yumo!!!!!!!

JK anasafiri kwenda wapi huko wasikokwenda wenzie?

Katanzania kenyewe kadogo hivyo bado mnalalamika kuchoka, angekuwa anagombea uraisi wa marekani mbona asingemaliza hata states (nchi) tatu?!
 
huyu kikwete bahati mbaya angekuwa raisi wa kwanza wa nchi hii hakika mpaka sasa angekuwa madarakan

eti wadau nyie mnaonaje
 
Tukiacha ushabiki ni kweli daktari wa Rais wetu anastahili kuwajibika kama si kuwajibishwa. Mambo yote yaliyosemwa kama ni funga, sukari, uchovu n.k daktari angepaswa kuyajua na tahadhari zote za kidaktari zikachukuliwa siyo kuacha Rais wetu akaadhirika.

Inawezekana raisi hamsikilizi daktari wake ! na daktari naye hajaamua kujiudhuru kwasababu decision algorithm yake haijafika mwisho...
 
Back
Top Bottom