Inawezekana raisi hamsikilizi daktari wake ! na daktari naye hajaamua kujiudhuru kwasababu decision algorithm yake haijafika mwisho...
Mkuu .... usiweke "dh" kwenye hili neno ...... ole wako Kiranga akusome...lol
Inawezekana raisi hamsikilizi daktari wake ! na daktari naye hajaamua kujiudhuru kwasababu decision algorithm yake haijafika mwisho...
Hakuna uchawi. Isipokuwa JK anapenda kusafiri mno. ndiyo maana anachoka. Rest & Restoration ni mojawapo ya vitu vinavyopima mafanikio ya mtu. Kwa hili JK hajafanikiwa kwa afya yake. Anafikiri ujiko kuzururazurura. Hata ziara zinazo hitaji wakuu wa wilaya tu, yeye yumo!!!!!!!
Sasa hivi yuko mwanza anadunda Sasa hvi Hakuna kulala
Mbona yeye huwa anacheka cheka tunapomwambia vitu serious kuwa maliasili zinakwisha lazima equilibrium iwepo, angekuwa rais serious na anaonekana kuwa na uchungu na wananchi wake na mali ya taifa sidhani kama kungekuwa na komenti unazoziona leo.Ushauri wangu kwa wanajukwaa wote, ukiweka mbali siasa za vyama sisi sote tu watanzania. Linapotokea jambo lisilo la furaha na tulipokee hivyo kama Watanzania, la Furaha nalo tulipokee kama Watanzania. Jambo la kuanguka Raisi wa Nchi si jambo dogo, linaweza hata kuathiri bei za Hisa za Makampuni yalijaindikisha DSE. Tucheke pale panapostahili kucheka, panapohitaji pole na tuseme pole, ushabiki mwingine haujengi!!!
Aiseeeee.Waache walete mchezo tu siku ataanguka asiamke.
Hii inashangaza sana. Hebu sote tuwe makini na tujiulize maswali haya?
1. Huyu ni Rais wa nne Tanzania Bara, je wale watatu waliopita walianguka mara ngapi?
2. Kwani wao hawakuwa na kazi nzito kama yeye JK kwa sasa?
3. Awamu ya pili alikuwa ni his ex Mzee Mwinyi, na alikuwa ni moslem!! Je alianguka mara ngapi jukwaani au popote au hata kuzimia?
4. Huyu Rais wetu JK ameshaanguka mara nne public, na hatujui private ni mara ngapi?? Je hatujaweza kuona kuwa kuna hutilafu kubwa sana katika mwili wake na afya kwa ujumla?
5.Saumu ya masaa machache haiwezi kabisa kumwangusha mtu mwenye afya yake. Ninafahamu daku huliwa usiku, say kama hata amekula daku saa 2 mbili usiku, bado ana uwezo wa kushinda njaa kwa masaa mengi sana. Mbona wakristu wakifunga ni say kuanzia saa mbili usiku baada ya dinner na hakuna cha daku na bado hata hawasinzii ofisini? Tuwe tunajadili masuala kwa upana!! Afya ya huyu mheshimiwa ni zaidi ya ujuavyo!!
6. Ni kweli Dr. Slaa alianguka bafuni Mwanza na kuvunjika mkono, kumbuka kuwa mahoteli mengi yanatumia tiles za bafuni imara kiasi gani? Tena ukizingatia ni za China mara nyingi? Ile ilikuwa ni accident, hii ya JK si accident, ni madhaifu ya afya yake.
Watanzania wote, ni vema tufumbue macho na kuvaa kiona mbali kuhusu afya ya huyu mtukufu wetu!! Ifahamike kuwa ugonjwa hauombwi na kila mtu angefurahi kama asingeugua, ila basi unapoumwa ni vema ukaweka wazi, hata kama si details but tunajua kabisa huyu ndugu pengine ana low/High BP/Sugar and many other serious illiness!! Kulikoni kujitafutia visingizio lukuki, mara saumu kali, mara alisafiri mno hajapumzika ndiyo maana mwili umeishiwa nguvu, etc, etc. Hivi kweli kama unajua kuwa huna stamina ya kustahimili kazi nyingi ni kwa nini usi-delegate? (Hapa ni kwasafari zaidi).
Pole Rais, pole sana, weka wazi afya yako ilii tukuombee. Ugonjwa ni jambo la kawaida!!Hakuna atakayekunyang'anya hicho kitu eti kwa kuwa umeweka bayana afya yako. Mtasema pengine ugonjwa ni siri ya Dr. na Mgojwa, ni kweli ila magonjwa kama lilivyo general si siri, pengine details zake ndiyo siri. Kwani nini bwana!! Mimi nitasema tu, mbona hata wenye ukimwi wameamua kuvunja ukimya siku hizi na hawaogopi? Sembuse wewe mheshimiwa ambaye tatizo lako ni la kawaida si ukimwi??!!
Dr. wa Rais, tafadhali eleza report ya kiukweli, not propaganda!! Ugonjwa hauna propaganda!! Au ikiwezekana apumzike, bado ataendelea kupata maisha bora kama Rais mtaafu tu na aweze kuishi maisha marefu. Msimchoshe tafadhadhali. Mpeni ushauri wa ukweli.
Ushauri wangu kwa wanajukwaa wote, ukiweka mbali siasa za vyama sisi sote tu watanzania. Linapotokea jambo lisilo la furaha na tulipokee hivyo kama Watanzania, la Furaha nalo tulipokee kama Watanzania. Jambo la kuanguka Raisi wa Nchi si jambo dogo, linaweza hata kuathiri bei za Hisa za Makampuni yalijaindikisha DSE. Tucheke pale panapostahili kucheka, panapohitaji pole na tuseme pole, ushabiki mwingine haujengi!!!
Form seven in taabu kwel kwel
Ushauri wangu kwa wanajukwaa wote, ukiweka mbali siasa za vyama sisi sote tu watanzania. Linapotokea jambo lisilo la furaha na tulipokee hivyo kama Watanzania, la Furaha nalo tulipokee kama Watanzania. Jambo la kuanguka Raisi wa Nchi si jambo dogo, linaweza hata kuathiri bei za Hisa za Makampuni yalijaindikisha DSE. Tucheke pale panapostahili kucheka, panapohitaji pole na tuseme pole, ushabiki mwingine haujengi!!!
hahaaaa eti yuko mwanza na jana kaonekana kapanda ndege saa 6 dakika 48 machana amekwenda nje kutibiwa..hahaaaa kumbe swaumu na glucose kushuka inatibiwaga ulaya.....
....rudia hii habari ,hawajakusikia...
hakuanguka jumla mabodyguard wake walimuwahi kabla hajafika chini. Mbona hata Dr Slaa alianguka bafuni huko mwanza hadi kuvunjika mkono. wote wameanguka tofauti mmoja kaanguka bafuni mwingine jukwaani. hii ni bahati mbaya inaweza ikamtokea mtu yoyoye wakati wowote.
Naomba mambumbumbu wa amani muache kuchochea chuki na hulka ya dharau katika nchi hii iliyojengwa kwa misingi ya heshima na upendo. Ndio maana Dr. Slaa alipodondoka na kuteguka mkono hakuna aliyesema RIP. Badala yake watu wote tulimuombea apone haraka aendelee na kazi za ujenzi wa Taifa. Muwe wastaarabu.