Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
Sidhani kuna jambo la kushangaza kwa mtu kuwa na low blood sugar - hasa saa kumi mchana baada ya kufunga toka saa kumi na moja asubuhi. Blood sugar yake inasemekana ilikuwa 70mg/dL - kwa kawaida starving blood sugar ni 90 to 110 mg/dL - hii ni blood sugar level ya asubuhi kabla ya kula chochote na kwa mtu mwenye afya ya kawaida aliyekula chakula cha kawaida masaa 10 to 12 kabla ya kupima. Sasa huyu Rais alikuwa amefunga; kalala masaa mawili tu na kafanya kazi zaidi ya masaa 12 kabla ya tukio hili. It is obvious kuwa alikuwa very stressed. Kwa wale wanaofahamu matatizo ya kisukari wata conclude kuwa afya yake ni nzuri sana. Hasa ukizingatia kuwa aliweza kurejea jukwaani baada ya kupata glucose baada ya dakika 15 tu.
Kuwa na incidence moja ya low blood sugar sio lazima mtu ni diabetic hasa ukiangalia mazingara yenyewe kama haya ya kufunga. Hata kama ni diabetic sidhani huu ni ugonjwa ambao unaweza kumfanya mtu ashindewe kazi. Kuna mamilioni ya watu huku duniani wenye more serious diabetic condition na wana ishi maisha normal kabisa. Diabetes is a condition and the sugar level can be very easily conmtrolled through dieting and medication.
Kwa hiyo let take this incidence in its own perspective - we should avoid reading too mmuch into it. Kama kila mtu mwenye low au high blood sugar atatakiwa kujiuzulu basi nearly 80% ya senior civil servants itabidi wajiuzulu - wengine infact wana in addition more serious problems.
Pumba tupu! hatudanganyiki ...raisi ana kifafa!