GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

Pole mkulu lakini hadi anaanguka hakuwahi kujisikia vibaya jamani? mfano kuishiwa nguvu hivi ili awahi kuketi chini? Nadhani niswaumu pamoja na kuzungumza kwa muda mrefu akiwa amesimama. Nadhani ni hali ya kawaida tu kwa mtu yeyote yawezamtokea.
Sio swaumu rais ana kifafa kama unajua dawa ya kifafa ni bora ukatuambia tumsaidie kuliko kudhani ni swaumu mwisho ugonjwa utakuwa sugu.
 
Sio swaumu rais ana kifafa kama unajua dawa ya kifafa ni bora ukatuambia tumsaidie kuliko kudhani ni swaumu mwisho ugonjwa utakuwa sugu.

Quinine hayo ya kifafa sikuwa ninajua mie nimeandika kile nilichokidhania. Aksante kwa kunijulisha kuwa ni kifafa.

Hapo kwenye nyekundu: Hivi kudhani ni kosa?
 
Duuuuuuuuu kumbe "KIBOKO YA BOFLO NI CHAI", kampeni atamaliza kweli kama ndio kwanza kadondoka siku ya uzinduzi? Yetu macho.
 
wakuu sidhani kama kuna lolote la maana tutaambiwa. Aliyosema kinana sote tunajua kuwa ni uongo, waliyosema kuhusu EPA tulijua kuwa ni uongo mpaka walipo back off. Mkapa alipigwa na Mama Anna akasingingia ni ugonjwa kawaida, there are people who are bunch of liars, lakini sijui ni kwa faida ya nani.

I find stupid, the idea of doctor-patient confidentiality. Especially when the patient is the President. Who cares if masanjas heath status is a secret between him and mganga wa kienyeji? who cares if the health of kapuku and doctor someone is confidential matter? Kamahawa jamaa hawatuhusu au hawana lolote linalohusiana na interest zetu za moja kwa moja afya zao zinaweza kuwa siri yao kati yao na Daktari.

JK ni rais wetu afya yake tunastahili tuijue. Mimi simfagilii Kikwete, lakini ni rais wangu. Siku akifa ntakuwa na haki ya kutaka kujua nini kimemua rais wangu, hata kama nikijua kuna mtu amemuua rais wangu i have a right to fight. Mtu anapokuwa public figure na awe amepewa au hata kama amenunua dhamana ya kuongoza nchi, it is our business. In that case argument kuwa afya yake ni siri kati yake nia daktari wake ni upuuzi kabisa.

We make same mistakes everyday. Kwanza daktari wake anatakiwa kuadhibiwa, yeye yuko responsible moja kwa moja na kulitia taifa aibu. Na kama ndio huyo huyo aliye supervise kuangauka kwa JK mara ya kwanza anasathili kuadhibiwa kwa kuficha siri ambayo gharama yake ni kututia aibu na kuhatarisha usalama wa taifa. At least angempa hata kiti.

Kama kuna mtu ana kazi ya kuwawajibisha madaktari hao hajafanya hivyo naye anatakiwa awajibishwe na kuadhibiwa pia. Damn, this country sucks.
 
Naomba mambumbumbu wa amani muache kuchochea chuki na hulka ya dharau katika nchi hii iliyojengwa kwa misingi ya heshima na upendo. Ndio maana Dr. Slaa alipodondoka na kuteguka mkono hakuna aliyesema RIP. Badala yake watu wote tulimuombea apone haraka aendelee na kazi za ujenzi wa Taifa. Muwe wastaarabu.

hebu toka hapa na wewe...Unalinganisha afya ya Dr.Slaa na huyo mgombea wenu ...Kila mara anapata blackout anaanguka.Afya mbovu!! period
 
Msaada kwenye tuta hivi degedege ndio kifafa nauliza seriously nataka ku correlate na jambo fulani.
 
Quinine hayo ya kifafa sikuwa ninajua mie nimeandika kile nilichokidhania. Aksante kwa kunijulisha kuwa ni kifafa.

Hakuna cha kifafa wala nini!! Pale jangwani ni sehemu panapofanyikia maombi, ukipeleka juju lazima uumbuke!! Jiulize kwa nini jangwani? Na kule Mwanza ilikuwaje? Juju sehemu kunako sehemu za ibada haipandi!!
 
ccmyazimia2.jpg

WATANZNIA tumewaeleza na tunarejea tena na tena, kuwa huyu mtu "anaumwa".. Anaumwa, iwe ni swaumu, kisukari, shinikizo (bp), msongo wa mawazo, uchovu nk nk..lakini kwa ufupi mhe. Rais wetu si mzima ANAUMWA na muitazame tu sura yake ...hii haitokani na swaumu na kama anashindwa kufunga ni vyema aache thawabu haiji kwa fungo ambayo mtu haiwezi au hana afya njema...ni mwema wlio karibu nae kama akina kinanana wakaacha propaganda, wamshauri safari hii ampumzike. Haiwezekani anawa anadondoka hovyo hivyo kama "mbayuwayu"..anaumwa.

kama ipo siri kati ya Daktari na mgonjwa (duty of secrecy) basi ingebakia siri na Kinana hakupaswa kusimama kueleza watazanaia kile kilichomwangusha kwani Kinana si Dktari wake na hana utaalamu wa kujibu kiufasaha kwa nini Swaumu ishushe Sukari kwa mtu ambae amezoe kufunga? ANAUMWA...kwa nini hiyo sukari iwe inashuka akiwa jukwaani tu tena anapowahutubia watanzania na sio sehemu nyingine huko nje anakoenda?
 
Msaada kwenye tuta hivi degedege ndio kifafa nauliza seriously nataka ku correlate na jambo fulani.
No, degedege hutokea pale mtu anapokuwa na homa kali hivyo kumpelekea mtu kupoteza control,inaweza kuwa ni sababu ya untreated malaria.
 
Au sababu hajaenda nje muda mrefu sasa kupumzika, maana hili kero la hapa nchini balaa. Mara mifoleni, mara albino anusurika, mara wafanyakazi, mara mafisadi, mara watoto wa shule na mimba nk. Lakini asilete ujanja wa mkasi anachotakiwa ni kuwaomba radhi wafanyakazi na si kutumia nguvu nyingi kujibu hoja mpaka anaishiwa nguvu
 
Hakuna cha kifafa wala nini!! Pale jangwani ni sehemu panapofanyikia maombi, ukipeleka juju lazima uumbuke!! Jiulize kwa nini jangwani? Na kule Mwanza ilikuwaje? Juju sehemu kunako sehemu za ibada haipandi!!
NG'OTIMBEBEDZU aksante naona hapa tutapata theories nyingi tu. Nway tuendelee.
 
Inanisikitisha sana na kuhuzunika nikiwaona watanzania kwa maelfu wakifurika kwenye mikutano ya Kikwete! naomba wajiulize huyo kikwete binafsi kwanza kayaboresha vip maisha yao? je nchi iko bora kuliko alivyo ikuta? Matatizo yote ya uchumi, ujambazi wizi wa fedha ya umma, mabomu ya Mbagala,safari zake za nje kila mara zisizokuwa na sababu na umaskini wa watanzania bado huyapi watanzania sababu za kutomchagua Kikwete? Basi watanzania wana matatizo ya kisaikolojia au ni wapumbavu! Come on these fools can`t be serious...
Usafiri ulikuwa wa bure!! Tishet, kofia kanga vyote vilikuwa bure
 
Back
Top Bottom