GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

msukosuko wa kiafya au Ugonjwa ungekuwa kigezo cha kumwachisha mfanyakazi sehemu ya kazi baadhi yetu tungekuwa hatuna ajira. Unajuaje labda mimi naumwa ugonjwa wa moyo, shinikizo au ukimwi niachishwe kazi hata kama natekeleza majukumu yangu kazini? Ni unyanyapaa huo? Kanuni ya afya na kazi iko wazi mtu anaombwa kuacha kazi kwa matatizo ya afya baada ya kushindwa kwenda kazini kwa miezi mitatu mfululizo na sio vinginevyo. Rais wa Nigeria aliendelea kuwa Rais hata baada ya kulazwa muda mrefu kule Saudi Arabia.

katika masharti ya kikatiba kwa mgombea wa kiti cha urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni pamoja na kuwa na akili timamu. Inakuwa muhimu kujua mheshimiwa rais anasumbuliwa na nini kwasababu ugonjwa wa kuanguka unauhusiano na ufanyaji kazi wa ubongo? Chukulia mfano mheshimiwa Rais anasumbuliwa na ugonjwa kwenye ubongo unaoathiri utendaji kazi wa akili yake (tumor, clot, whaterver), na assume kuwa hiyo deffect kwenye ubongo wake inazidi kuongezeka na kusababisha kufanya maamuzi yasiyo sahihi, bado utasema kuwa anafaa kwa kazi ya Urais? Hatujasema aachishwe kazi, Tunachosema kama afya yake itaonekana haiendani na nafasi aliyopo abadirishiwe kazi afanye kazi inayoendana na Afya yake. Ndivyo hata makazini tunavyofanya mkuu, huwezi ajiri mtu mwenye ulemavu wa mikono kubeba mabox, lakini anaweza kuwa reception anawaelekeza wageni.
 
Sidhani kuna jambo la kushangaza kwa mtu kuwa na low blood sugar - hasa saa kumi mchana baada ya kufunga toka saa kumi na moja asubuhi. Blood sugar yake inasemekana ilikuwa 70mg/dL - kwa kawaida starving blood sugar ni 90 to 110 mg/dL - hii ni blood sugar level ya asubuhi kabla ya kula chochote na kwa mtu mwenye afya ya kawaida aliyekula chakula cha kawaida masaa 10 to 12 kabla ya kupima. Sasa huyu Rais alikuwa amefunga; kalala masaa mawili tu na kafanya kazi zaidi ya masaa 12 kabla ya tukio hili. It is obvious kuwa alikuwa very stressed. Kwa wale wanaofahamu matatizo ya kisukari wata conclude kuwa afya yake ni nzuri sana. Hasa ukizingatia kuwa aliweza kurejea jukwaani baada ya kupata glucose baada ya dakika 15 tu.

Kuwa na incidence moja ya low blood sugar sio lazima mtu ni diabetic hasa ukiangalia mazingara yenyewe kama haya ya kufunga. Hata kama ni diabetic sidhani huu ni ugonjwa ambao unaweza kumfanya mtu ashindewe kazi. Kuna mamilioni ya watu huku duniani wenye more serious diabetic condition na wana ishi maisha normal kabisa. Diabetes is a condition and the sugar level can be very easily conmtrolled through dieting and medication.

Kwa hiyo let take this incidence in its own perspective - we should avoid reading too mmuch into it. Kama kila mtu mwenye low au high blood sugar atatakiwa kujiuzulu basi nearly 80% ya senior civil servants itabidi wajiuzulu - wengine infact wana in addition more serious problems.
 
Uzembe wa madaktari wa viongozi wa Tanzania hausemwi tu, lakini kwa ujumla mimi nakumbuka mwaka 1999 ambapo Mwalimu Julius Nyerere alikuja kuwa diagnosed very late kuwa ana kansa. Kansa sio ugonjwa ghafla, kansa huzaliwa/huanza na kukua pole pole, lakini daktari wake hakufanya kazi aliyopaswa kufanya, wanakuja kujua kuwa Mwalimu ana kansa it was too late, tunataka kurudia kosa. Hatujui Horace Kolimba walijua lini ana tatizo la Moyo? Je Akukweti? Tukiaanza kufuatilia hapa hapatatosha.
 
hapana hana kifafa ni amepimwa ana afya njema sema uchovu na kisukari.

Mnaacha kufanya kazi ya kuutumikia umma mnakuja hapa kuendeleza propaganda za kitoto eti HANA KIFAFA.Hivi mnadanganya nani na kwa manufaa ya nani?Hicho kisukari kimemuanza ghalfa jana?Mbona alipoanguka Mwanza dokta Mfisi alituambia afya ya JK ni timilifu kabisa?Na huo uchovu unaomfanya aanguke ovyovyo unasababishwa na nini hasa?kwanini iwe ni yeye tu "akiwa na uchovu" basi lazima aanguke?Acheni kufuru,Wamachinga wanakesha juani kutwa nzima na hawaanguki kimtondo kama huyo bosi wenu.

Ana kifafa huyo,na waliokuwa nae Foreign Affairs wanalijua hilo.Na anaanguka mara nyingi tu privately sema watu wapambe wanamuhifadhi.

Mficha ugonjwa kifo humuumbua.
 
Nyani unakumbuka jinsi Zap Judah alivyopigwa na Kosta Zyu au Rick Hatton alivyopopolewa na Paciao? Duh! Rais kayeyuka ka vile mlenda, tena alishaanza mapema kwa kusita kutamka kitu fulani.

Watadai ni Swaumu na upup mwingi, je hakuwa amepumzika vya kutosha kabla ya kwenda kuhutubia? Je kwa nini hawakubadilisha muda ukizingatia kuwa kitendo hiki kilitokea tena 2005?

Kiongozi mmoja wa CCM pale Lumumba leo asubuhi walikuwa na kikao anasema Rais ashauriwe kupumzika usiku. Kwa maelezo yake ni kuwa Rais amejipangia ratiba ngumu kibinadamu, kwamba mchana atakuwa anatembelea na kuwafuata wananchi mahali walipo na kutatua matatizo yao moja kwa moja na usiku atarudi kufanya kazi zote za mezani ofisini kwake za kutwa nzima. Ratiba hii inasemekana imeleta mvutano huko Makao makuu ya CCM na Ikulu baada ya tukio la jana na yaliyotangulia, wanasema inamfanya rais kulala muda mfupi sana.

Yapo madai kuwa ratiba ya kutolala vya kutosha usiku kajipangia mwenyewe kwa maelezo kuwa anajisikia vibaya kulala muda mrefu wakati wananchi wana shida nyingi.Usiku wa kwenda Jangwani alilala saa 8.30 usiku baada ya kumaliza kazi na saa 11 alfajiri akaamka kwa swala ya Waislamu hivyo alilala masaa 2.30 tu. Kama hii ndio ratiba ya Rais basi kuishiwa nguvu jukwaani sio jambo la ajabu. Wananchi tushiriki kumshauri Rais apumzike.
 
Sidhani kuna jambo la kushangaza kwa mtu kuwa na low blood sugar - hasa saa kumi mchana baada ya kufunga toka saa kumi na moja asubuhi. Blood sugar yake inasemekana ilikuwa 70mg/dL - kwa kawaida starving blood sugar ni 90 to 110 mg/dL - hii ni blood sugar level ya asubuhi kabla ya kula chochote na kwa mtu mwenye afya ya kawaida aliyekula chakula cha kawaida masaa 10 to 12 kabla ya kupima. Sasa huyu Rais alikuwa amefunga; kalala masaa mawili tu na kafanya kazi zaidi ya masaa 12 kabla ya tukio hili. It is obvious kuwa alikuwa very stressed. Kwa wale wanaofahamu matatizo ya kisukari wata conclude kuwa afya yake ni nzuri sana. Hasa ukizingatia kuwa aliweza kurejea jukwaani baada ya kupata glucose baada ya dakika 15 tu.

Kuwa na incidence moja ya low blood sugar sio lazima mtu ni diabetic hasa ukiangalia mazingara yenyewe kama haya ya kufunga. Hata kama ni diabetic sidhani huu ni ugonjwa ambao unaweza kumfanya mtu ashindewe kazi. Kuna mamilioni ya watu huku duniani wenye more serious diabetic condition na wana ishi maisha normal kabisa. Diabetes is a condition and the sugar level can be very easily conmtrolled through dieting and medication.

Kwa hiyo let take this incidence in its own perspective - we should avoid reading too mmuch into it. Kama kila mtu mwenye low au high blood sugar atatakiwa kujiuzulu basi nearly 80% ya senior civil servants itabidi wajiuzulu - wengine infact wana in addition more serious problems.
Wakuu hakuna aliyebishana na fact ya kufunga, lakini tunachojiuliza why kufunga kwa JK ni so special wakati kuna watanzania mamilioni wanafunga na wapo kwenye hali mbaya ya maisha na wanafanya kazi ngumu kuliko yeye? Kuna wana maombi (nenda kwa Kakobe, Mwingira na Waislam kibao nawafahamu) wanakufungia siku 40 watu wanapiga maombi usiku kucha na mchana tuko nao maofisini wanachapa kazi kama kawaida hatujasikia wakidondoka dondoka kwa kupungua sukari. Ninachotaka kusema hapa ni kuwa kama watu wawili wamefunga kwa muda sawa, na baada ya masaa 12 mmoja amedondoka kwa kupungukiwa sukari na mwingine sukari yake bado ipo juu hajafika hatua ya kudondoka, tunaweza kusema pasipo shaka kuwa huyu aliyedondoka kuna shida katika ufanyaji kazi wa mwili wake kiasi cha kufyonza sukari haraka mwilini. Hapo ndio pa kuanzia wapi pameenda sio sawa?
 
Kama kila mtu mwenye low au high blood sugar atatakiwa kujiuzulu basi nearly 80% ya senior civil servants itabidi wajiuzulu - wengine infact wana in addition more serious problems.
Kwani kuna mtu kamwambia ajiuzuru au ni kiwewe cha huko juu kinaanza, kwa sababu unaonekana mtu wa karibu hadi kujua blood sugar yake asubuhi ilikuwaje, by the way naona hii issue imeku tachi toka 2007 kwa post 50 si mchezo.
 
Kiongozi mmoja wa CCM pale Lumumba leo asubuhi walikuwa na kikao anasema Rais ashauriwe kupumzika usiku. Kwa maelezo yake ni kuwa Rais amejipangia ratiba ngumu kibinadamu, kwamba mchana atakuwa anatembelea na kuwafuata wananchi mahali walipo na kutatua matatizo yao moja kwa moja na usiku atarudi kufanya kazi zote za mezani ofisini kwake za kutwa nzima. Ratiba hii inasemekana imeleta mvutano huko Makao makuu ya CCM na Ikulu baada ya tukio la jana na yaliyotangulia, wanasema inamfanya rais kulala muda mfupi sana.

Yapo madai kuwa ratiba ya kutolala vya kutosha usiku kajipangia mwenyewe kwa maelezo kuwa anajisikia vibaya kulala muda mrefu wakati wananchi wana shida nyingi.Usiku wa kwenda Jangwani alilala saa 8.30 usiku baada ya kumaliza kazi na saa 11 alfajiri akaamka kwa swala ya Waislamu hivyo alilala masaa 2.30 tu. Kama hii ndio ratiba ya Rais basi kuishiwa nguvu jukwaani sio jambo la ajabu. Wananchi tushiriki kumshauri Rais apumzike.

hapo kwenye Nyekundu kama kweli JK kayasema hayo maneno, basi kaamua kututusi hasa Watanzania, mimi sidhani hilo limetoka moyoni mwake au labda alipandwa na Pepo? JK sio wa kuwaonea huruma watanzania, kama ni kweli basi hiyo kauli tungeshaijua muda mrefu na sio kipindi hiki kifupi cha kampeni
 
Kiongozi mmoja wa CCM pale Lumumba leo asubuhi walikuwa na kikao anasema Rais ashauriwe kupumzika usiku. Kwa maelezo yake ni kuwa Rais amejipangia ratiba ngumu kibinadamu, kwamba mchana atakuwa anatembelea na kuwafuata wananchi mahali walipo na kutatua matatizo yao moja kwa moja na usiku atarudi kufanya kazi zote za mezani ofisini kwake za kutwa nzima. Ratiba hii inasemekana imeleta mvutano huko Makao makuu ya CCM na Ikulu baada ya tukio la jana na yaliyotangulia, wanasema inamfanya rais kulala muda mfupi sana.

Yapo madai kuwa ratiba ya kutolala vya kutosha usiku kajipangia mwenyewe kwa maelezo kuwa anajisikia vibaya kulala muda mrefu wakati wananchi wana shida nyingi.Usiku wa kwenda Jangwani alilala saa 8.30 usiku baada ya kumaliza kazi na saa 11 alfajiri akaamka kwa swala ya Waislamu hivyo alilala masaa 2.30 tu. Kama hii ndio ratiba ya Rais basi kuishiwa nguvu jukwaani sio jambo la ajabu. Wananchi tushiriki kumshauri Rais apumzike.
Ondoa propoganda zako za enzi za Mao ewe kiumbe dhaifu na mwongo! Huna hata haya! Kikwete akiwa mchapakazi na wachapakazi tutawaitaje. Katu usirudie tena kuleta hizi rubbish zako hapa! Hizi ni zama za technology tumeamka kama wewe bado uko kipindi cha mawe baki huko huko. Unachefua unahuzunisha! Ungekuwa mzazi wangu leo ningekucharaza bakora mpaka ushindwe kukaa! Usijaribu kurudia tena!
 
Wakati ule MKuu walipozindua mpango wa "KUPIMA VVU KWA HIYARI" Julai 2007, alitamka hadharani kuwa "YUPO FITI" na amekuwa akisikika mara kwa mara kuwahimiza watanzani kuzingatia kupima afya zao mara kwa mara (sio UKIMWI TU).

Mkuu huyu ni mtanzania pekee ambaye katika maisha yake amehudumiwa na madaktari pengine zaidi ya watatu ambao yupo nao wakati wote na pia ana uwezo wa kupelekwa kutibiwa popote hapa Ulimwenguni.

IWEJE LAKINI anaishi maisha ya kumdhalilisha jinsi hii ya kuanguka anguka hovyo wakati fedha za umma zinatoka kila siku kuwalipia watu wake wa karibu wa kumcheki afya yake na kumshauri vilivyo?.

Sidhani kuna jambo la kushangaza kwa mtu kuwa na low blood sugar - hasa saa kumi mchana baada ya kufunga toka saa kumi na moja asubuhi. Blood sugar yake inasemekana ilikuwa 70mg/dL - kwa kawaida starving blood sugar ni 90 to 110 mg/dL - hii ni blood sugar level ya asubuhi kabla ya kula chochote na kwa mtu mwenye afya ya kawaida aliyekula chakula cha kawaida masaa 10 to 12 kabla ya kupima. Sasa huyu Rais alikuwa amefunga; kalala masaa mawili tu na kafanya kazi zaidi ya masaa 12 kabla ya tukio hili. It is obvious kuwa alikuwa very stressed. Kwa wale wanaofahamu matatizo ya kisukari wata conclude kuwa afya yake ni nzuri sana. Hasa ukizingatia kuwa aliweza kurejea jukwaani baada ya kupata glucose baada ya dakika 15 tu.

Kuwa na incidence moja ya low blood sugar sio lazima mtu ni diabetic hasa ukiangalia mazingara yenyewe kama haya ya kufunga. Hata kama ni diabetic sidhani huu ni ugonjwa ambao unaweza kumfanya mtu ashindewe kazi. Kuna mamilioni ya watu huku duniani wenye more serious diabetic condition na wana ishi maisha normal kabisa. Diabetes is a condition and the sugar level can be very easily conmtrolled through dieting and medication.

Kwa hiyo let take this incidence in its own perspective - we should avoid reading too mmuch into it. Kama kila mtu mwenye low au high blood sugar atatakiwa kujiuzulu basi nearly 80% ya senior civil servants itabidi wajiuzulu - wengine infact wana in addition more serious problems.
Kumbe akina Dkt Mfisi mko wengi!
Inaelekea una knowledge kuhusu ishu za afya lakini ni dhahiri umefeli somo la BUSARA.
Huyu mgonjwa unayemzia sio mama muuza vitumbua bali RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.Nchi yenye watu zaidi ya milioni 40.Low or high blood pressure kwa muuza vitumbua au mwanachi mwingine wa kawaida sio ishu lakini it's EVERYTHING when mhusika ni Rais.

Eti kama kila diabetic person akitakiwa kujiuzulu basi nearly 80% itabidi wajiuzulu.Je hao 80% ni marais?We are talking abt a president here sio kila mwananchi.

Na hicho kisukari kimemwanza jana?Na kama low blood pressure kwa ajili ya kufunga mbona wenzie wanafunga pia (Mwinyi,Bilal,Karume,Makamba,etc) lakini hawaanguki na wapo busy zaidi ya yeye?

Na alipoanguka Brussels ilikuwa low bp?Na ile incident ya 2005 je?na vipi ile ya Mwanza?

Cheap excuses zitamuua huyo mnaejaribu kumtetea.The guy is epileptic,period!Hizo seizures anapata mara kibao sema bongo kufa kufaana (just like kuanguka kwake jana kulivyotoa ulaji kwa watu wa kumsafishia jina).

You and JK may think are capable of cheating Tanzanians and get away with it.Unfortunately,nobody can cheat death especially if it's a result of sheer negligence.
 
wakuu tatizo watanzania tumezaliwa uongon tumelelewa kiuongo uongo basi tumekuwa waongo kupita kiasi, ukweli kwetu ni sumu na ndiyo iyo inatumaliza nafikiri kunna baadhi ya mambo hayahitaji siri kiasi hicho sio mara ya kwanza mkuu kudondoka na watakuwa wanajua fika shida yake sasa wananchi wamepewa guessing work tu hapa hamna majibu too sad
 
Mnaacha kufanya kazi ya kuutumikia umma mnakuja hapa kuendeleza propaganda za kitoto eti HANA KIFAFA.Hivi mnadanganya nani na kwa manufaa ya nani?Hicho kisukari kimemuanza ghalfa jana?Mbona alipoanguka Mwanza dokta Mfisi alituambia afya ya JK ni timilifu kabisa?Na huo uchovu unaomfanya aanguke ovyovyo unasababishwa na nini hasa?kwanini iwe ni yeye tu "akiwa na uchovu" basi lazima aanguke?Acheni kufuru,Wamachinga wanakesha juani kutwa nzima na hawaanguki kimtondo kama huyo bosi wenu.

Ana kifafa huyo,na waliokuwa nae Foreign Affairs wanalijua hilo.Na anaanguka mara nyingi tu privately sema watu wapambe wanamuhifadhi.

Mficha ugonjwa kifo humuumbua.
.

Jamani msiingilie fani za mwenzenu hapa jamvini. you can't be a master of everything......acha kutoa hisia zako kwa maelezo ambayo yanakinzana na sayansi ya tiba.Binafsi ni daktari wa binadamu na naamini kuna madaktari wenzangu humu tusaidiane. Mgongwa wa kifafa huanguka ghafla, anatupatupa miguu na anatoka mapovu mdomoni baada ya tukio hilo lakini pia anakuwa kama kakamaa hata anapobebwa anaonekana kama hakunjiki. Mgonjwa anapokosa nguvu na kushuka taratibu chini bila kuanguka ghafla katika tiba inahusiana na uchovu wa mwili na akili kutokana na kutoupumzisha mwili baada ya kazi nyingi .
 
hapana hana kifafa ni amepimwa ana afya njema sema uchovu na kisukari.
Kumbe rais ana kifafa.
Kadri mnavyozidi kujazana hapa na kutetea rais hana kifafa ndiyo napata wasiwasi kuwa huenda mnaficha kitu. Kwa sababu kila anayekuja anasema rais ana afya njema ila hana kifafa ebo, wengine wanakuwa wakali kweli kweli tunapogusa neno kifafa eti tusinyanyapee. Kwani mtu kumwambia ana kifafa ni kunyanyapaa. Kama kweli rais ana kifafa hafai at least kisukari ingawaje kuna kisukari kingine cha kwenda haja ndogo mara kwa mara lakini rais wa kifafa NO.
 
kiongozi mmoja wa ccm pale lumumba leo asubuhi walikuwa na kikao anasema rais ashauriwe kupumzika usiku. Kwa maelezo yake ni kuwa rais amejipangia ratiba ngumu kibinadamu, kwamba mchana atakuwa anatembelea na kuwafuata wananchi mahali walipo na kutatua matatizo yao moja kwa moja na usiku atarudi kufanya kazi zote za mezani ofisini kwake za kutwa nzima. Ratiba hii inasemekana imeleta mvutano huko makao makuu ya ccm na ikulu baada ya tukio la jana na yaliyotangulia, wanasema inamfanya rais kulala muda mfupi sana.

Yapo madai kuwa ratiba ya kutolala vya kutosha usiku kajipangia mwenyewe kwa maelezo kuwa anajisikia vibaya kulala muda mrefu wakati wananchi wana shida nyingi.usiku wa kwenda jangwani alilala saa 8.30 usiku baada ya kumaliza kazi na saa 11 alfajiri akaamka kwa swala ya waislamu hivyo alilala masaa 2.30 tu. Kama hii ndio ratiba ya rais basi kuishiwa nguvu jukwaani sio jambo la ajabu. Wananchi tushiriki kumshauri rais apumzike.

kama ni kiongozi wa ccm basi tegemea hakuna ukweli wowote hapo. Propaganda tu hizi. Kwani unataka kutuambia rais hana wasaidizi wake?. Nini maana ya kuwa na makamu wa rais, waziri mkuu, katibu mkuu wa rais (chief secretarry) nk?.

Ikiwa kikwete ambaye hata kuandika kitabu kimoja hajapata kufanya anakumbwa na zongo la uchovu kiasi cha kufikia kuanguka mara kwa mara, ingekuwaje baba wa taifa mwl. Nyerere (r.i.p) ambae katika maisha yake yote ya uongozi amekuwa akiutumikia umma na zaidi pia kusoma na kuandika vitabu vyenye hoja nzito kimataifa?.huyu si angekuwa akilala jukwani?.

Kama ni suala la swaumu, mbona mzee ruksa alikuwa rais mwislamu tena alhaji na hakuwahi hata siku kuporomoka jukwani au mitaani akiwa anatembea kutokana na swaumu?.
Ni kutaka kutuambia kuwa kazi zote za nchi kaachiwa yeye na hakuna watendaji wengine?
 
kwamba mchana atakuwa anatembelea na kuwafuata wananchi mahali walipo na kutatua matatizo yao moja kwa moja na usiku atarudi kufanya kazi zote za mezani ofisini kwake za kutwa nzima.
Uongo wa mchana, ni matatizo gani anayoyatatua kila siku usiku na mchana mbona hatuoni, matatizo mashuleni, mahospitalini au wapi anaposinda mchana kutwa acheni blah blah hapa ni JF nendeni mkagawe kofia na chumvi huko Mwanza lakini si hapa HATUDANGANYIKI.
 
kwenye ile video anaporudi baada ya kuanguka ndio inathibitisha kuwa jamaa mgonjwa kwani kashindwa kuongea kabisa mara kaanza tena kurudia manano......kanywa maji kidogo....karudia tena point ya afya...kaona noma inafuata kaaga bila utaratibu huyoo kaondoka.Ila jamaa kwa kujikaza namwaminia!! Ila kiukweli jamaa anaummwa vibaya mpaka huruma.
 
kikwete atashinda na anafaa kuwa president, uozo wote uliofanyika miaka 20 iliyopita msitake kutwambia yeye ataumaliza within 5yrs, acheni unafiki-semeni ukweli mangapi kashughulikia.Na huyo slaa wenu hawezi kitu-maana yeye ndo fisadi-kurudisha form tu karudisha na magari-hao wnaomdhamini unadhani atawalipa nini? Mtauziwa mbuzi kwenye gunia, heri ya hawa tunawafahamu. Shangilai kafanya nini? Hamana kitu. Tukimaliza kupiga kura akaapishwa,maana nina uhakika atashinda, nitaweka makala hapa kwa nini amechaguliwa tena na wananchi.Ebo!!!
 
Back
Top Bottom