Kikuu vs AliExpress

Samahani Wana JF, nimekuwa na uzoefu kidogo na kuagiza bidhaa China kupitia Kikuu App.

Wana kasoro kadha wa kadha, mfano kuchelewa kufikisha kwa baadhi ya bidhaa, ufinyu huduma kwa wateja kulingana na wingi wa wateja wenyewe, pia ubora wa bidhaa baadhi huwa sio bora.

Nimejaribu kuuliza kwa baadhi ya watu wengi wao wananishauri nitumie AliExpress japo sijawahi kuwatumia, wana unafuu.

Sasa mchango wenu kati ya Kikuu na AliExpress yupi bora.

Nakaribisha maoni si kejeri wana JF.

AliExpress wanavitu vizr ishu inakuja kwenye kukufikia ukichukua oda ya kitu kikubwa unapata kwa haraka zaid kulko cc wazee wa elf 20 utasubir kwa siku. 41/55 nliagiza kava mwez wa 9 nmepokea mwez wa 11 ila n kava ya uhakika
 
Unajua nn ... Mwl ni kwel nina upeo mfupi.. Ndo maana natania na kukubishia ili ww mwenye upeo mkubwa ukasirike unipe ELIMU Ulonayo
Licha ya kuwa na upeo huu mdg niliandika apo juu kwenye mabano (Jokes kwa kiswahili Utani )
Ila nashkr Profesa mwenye upeo mkubwa ILA PUNGUZA KUJI JAMIIFAI KWAMBA UKIFUNGUA S.L.P UNAKUWA NA IQ KUBWA
Mkuu huyu Mwl RCT unayebishana naye ni mtu anayeheshimika sana huku jamii forum. Ni Mtaalamu na mzoefu Mkubwa sana kwenye hizi online business. Wengi tumejifunza kupitia kwake na tunapokwama tunamwomba msaada na hasiti kusaidia. Kama unataka kujifunza kwa huyu mkubwa, kuwa mpole na uonyeshe heshima. Masiara wakati mwingine sio mazuri.

Just advice.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani wadau...nimeona comments nyingi za wadau waliopokea mizigo yao kwa njia ya posta kutoka Aliexpress ni parcel ndogo ndogo...je kwa mfano mtu akinunua mizigo mikubwa ya zaidi ya tani 5 mfano mashine au vifaa vya hardware, je nayo naweza tumia njia ya posta au ipi njia gani nyingine nafuu kwa mizigo ya aina hii kwa kutumia aliexpress?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kina wabebaji wengi.mara nyingi wauzaji hutoa free shipping kwa kukusafirishia kwa kampuni yenye kuchukua muda mrefu...fanya katika kupress order ubadilishe msafirishaji utumie AliExpress standard shipping huchukua siku 7-14 lakini utachangia kiasi kidogo cha usafirishaji.Seller hutumia free shipping kwa Carrie shipping method hasa China Post hapo subiri siku 30-45.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo lazima uwaome DHL,na makampuni mengine yanayohusika na usafirishaji,,,au seller yeye akusaidie namna ya usafirishaji kwa njia ya meli either Kama atasogeza mpaka port alafu wewe ucontact na wasafirishaji
According tu ufahamu wangu lakin kwa mizigo mizito
Samahani wadau...nimeona comments nyingi za wadau waliopokea mizigo yao kwa njia ya posta kutoka Aliexpress ni parcel ndogo ndogo...je kwa mfano mtu akinunua mizigo mikubwa ya zaidi ya tani 5 mfano mashine au vifaa vya hardware, je nayo naweza tumia njia ya posta au ipi njia gani nyingine nafuu kwa mizigo ya aina hii kwa kutumia aliexpress?

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawia kabisaa,Ila alidai alikua anamchallenge tu swaiba
Mkuu huyu Mwl RCT unayebishana naye ni mtu anayeheshimika sana huku jamii forum. Ni Mtaalamu na mzoefu Mkubwa sana kwenye hizi online business. Wengi tumejifunza kupitia kwake na tunapokwama tunamwomba msaada na hasiti kusaidia. Kama unataka kujifunza kwa huyu mkubwa, kuwa mpole na uonyeshe heshima. Masiara wakati mwingine sio mazuri.

Just advice.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry! Kwa status below niliyopata from 17track baada ya kuagiza ka mzigo kangu china inaweza kuchukua muda gani kufika Tanzania kupitia kwa wenye uzoefu,ili niweze kuwa na mpangilio sahihi wa ratiba binafsi.
Shukran
2020-01-02 00:00
Despatched to overseas (Country code: TZ)
 
Bro katafika tu Mimi kangu saivi kako njiani kana mwezi na nusu
Sorry! Kwa status below niliyopata from 17track baada ya kuagiza ka mzigo kangu china inaweza kuchukua muda gani kufika Tanzania kupitia kwa wenye uzoefu,ili niweze kuwa na mpangilio sahihi wa ratiba binafsi.
Shukran
2020-01-02 00:00
Despatched to overseas (Country code: TZ)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry! Kwa status below niliyopata from 17track baada ya kuagiza ka mzigo kangu china inaweza kuchukua muda gani kufika Tanzania kupitia kwa wenye uzoefu,ili niweze kuwa na mpangilio sahihi wa ratiba binafsi.
Shukran
2020-01-02 00:00
Despatched to overseas (Country code: TZ)
Kwa uzoefu wangu itachukua wiki moja na kidogo(business days) kufika nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom