Nashukuru sana for your straight answer.Kwa uzoefu wangu itachukua wiki moja na kidogo(business days) kufika nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana for your straight answer.Kwa uzoefu wangu itachukua wiki moja na kidogo(business days) kufika nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni unique number ya mzigo inayoupdate taarifa za parcel mahali ilipo.Inog01
Sci_fimovies
Mwl.RCT
kamati yamaamuzi magumu
[USER=458912]mkuu mimi..
Na wengne wote kwanza asantenii...
Naomba mnieleweshe
Hii tracking number na jisni ya ku track,
Ni nini na inakuwajee.
Mkuu, hapo kwenye Kodi ukiondoa hayo malipo vipi kuhusu Kodi za TRA hasa Kama nikiagiza laptop au simu?Unachukulia posta(Post office) watakutumia message ya kukupa taarifa na kodi ya kulipia ambayo utalipia benki ya CRDB watakupa meseji kama hii View attachment 1269752
Kwenye upande wa mashtaka sifahamu labda ngoja aje mwl rtc atusaidie swaiba wanguNilinunua kikuu simu samsung ni fake
Haiwaki
Nifanyaje wananizingua ata ku return
Ni sehemu gan nnaweza nkapata msaada wa kisheria katika izi organization za serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hapo kwenye Kodi ukiondoa hayo malipo vipi kuhusu Kodi za TRA hasa Kama nikiagiza laptop au simu?
Inog01
Sci_fimovies
Mwl.RCT
kamati yamaamuzi magumu
[USER=458912]mkuu mimi..
Na wengne wote kwanza asantenii...
Naomba mnieleweshe
Hii tracking number na jisni ya ku track,
Ni nini na inakuwajee.
NAOMBA KUJUA JINSI YA KUNUNUA KITU ONLINE KUPITIA ALIEXPRESS....NI TARATIBU GANI ZA KUZIFUATA? MAANA NATAMANI SANA KUNUNUA VITU HUKO ILA SIJUI NJIAKuna tofauti kubwa sana kati ya Kikuu na Aliexpress.
Huduma kwa wateja
Aliexpress wana huduma bora sana kwa wateja, kuanzia kuhakikisha ubora wa bidhaa, usalama wa pesa zako na hata kurudishiwa pesa zako, kitu ambacho ni tofauti sana na Kikuu.
Ufikishwaji wa mizigo
Aliexpress mzigo unafika hadi posta ya mwisho wa wilaya yako, na unaweza kuj track mzigo wako baada ya siku 5 hadi 10
Usalama wa pesa zako
Ukinunua kitu aliexpress, pesa zote huwa zinakuwa chini ya aliexpress mwenyewe, na muuzaji atapewa pesa pale tu utakapothibitisha kupokea mzigo wako na kiridhika nao, vinginevyo aliexpress atakurudishia pesa zako
Refunding process
Aliexpress refunding yao ni ya uhakika na ya haraka zaidi, pesa zinarudishwa kwenye account hako ndani ya muda mchache sana.
Karibu sana mkuu
NAOMBA KUJUA JINSI YA KUNUNUA KITU ONLINE KUPITIA ALIEXPRESS....NI TARATIBU GANI ZA KUZIFUATA? MAANA NATAMANI SANA KUNUNUA VITU HUKO ILA SIJUI NJIA
Sent using Jamii Forums mobile app
1.Mkuu sio oreder number inayotumika. Inayotumika ni tracking number.Mbona nirahisi tu kaka,unatakiwa unachukua namba ya order yako/order namba alafu unaenda kwenye hiyo site ya 17track utakuta kunasehemu inakuomba ujaze hiyo order namba unajaza hapo alafu kitatokea sehemu moja kwa chini imeandikwa Track utaiclick Kisha utapata taarifa za mzigo wako bila wasi wasi Kaka
Kama utakuwa hujaelewa vyema njoo PM
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe hapo umeshazurumiwa tu.. kuwa mpole chukua kama somo ilo na wakati mwingine ukitaka kununua bidhaa inayozidi 30k tumia Ali express na platform nyingine ambazo ni safeNilinunua kikuu simu samsung ni fake
Haiwaki
Nifanyaje wananizingua ata ku return
Ni sehemu gan nnaweza nkapata msaada wa kisheria katika izi organization za serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
- Inashauriwa uwe na sanduku la posta ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza au kupoteza mzigo wako.
- Wapo waliopokea mzigo kwa kuweka tu namba ya simu/ jina la wilaya yake/ mkoa - Ila sio njia ya sahihi na aishauriwi kabisa LBDA kama unatumia huduma ya EMS hapo ondoa shaka.
- Pia iwapo utatumia njia za haraka za usafirishaji kama DHL hapo sanduku la posta halihitajiki, ni physical address yako na namba ya simu inatosha.
Ukifika posta utataarifiwa ukauchukue mizigo wako ndugu.Mfano mimi natumia sanduku la posta la company, mzigo ukija itakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
huwezifananisha Kikuu na Aliexpress hata siku moja (kuanzia wingi wa bidhaa, unafuu wa bidhaa, usalama wa wallet, refunding policies ) , rejea comment #8 au post za Mwl RCT ndio utaelewa vizuri
na kuhusu kuwahi au kuchelewa hakuna iliyo bora kuliko mwenzake , unless uwe unatumia njia za express ( dhl, fedex, tnt, usps)
jenga hoja ya msingi ,sio kujibu kwa mhemko
Aiseewewe hapo umeshazurumiwa tu.. kuwa mpole chukua kama somo ilo na wakati mwingine ukitaka kununua bidhaa inayozidi 30k tumia Ali express na platform nyingine ambazo ni safe
Ali express nakushauri
Ali express wako vizuri sana ... Nawasifia coz nishawahi agiza bidhaa na ilipofika huwa wanahitaji mrejesho wa iyo bidhaa na ata ikichelewa kwa mda walioahidi wanabaraza la kusuluhisha migogoro ata pale unapouziwa bidhaa mbovu unarudisha na wanakupa nyngne au wanakupa hela
Kingine, nacho kipenda kwa Ali express ina bidhaa nyingi sana kutoka kila kona ya europe na Asia mpk America... Na uzuri wao wana kuwa na store nyng zinayoifanya iwe na bidhaa zote mfno; kikuu ukitaka shoe roller hupati ila ukiingia ali unakutana nazo tena high quality na kwa bei anayotaka mteja
TOFAUTI ZAO: Ali express anauza bidhaa za electronics kwa wingi kama kamera, simu, laptop na vingne kwa bei chee WHILE kikuu anauza vifaa vya urembo kwa wingi sana asa vya wanawake kuliko wanaume kama nguo, makeup na kadharika
ALI EXPRESS anauza kwa kutumia Visa na master cards WHILE KKuu anatumia Local purchasing systems kama mpesa, paypal, tigopesa na izo Visa card
Nadhani mkuu umepata Elimu tosha......![]()
Ukijibiwa ni tagWakuu Kwa aliewahi kuagiza mzigo kutoka aliexpress mpaka mkoa wa singida naomba anipe ujuzi
Yap kuna bidhaa kama charging board za lithium battery , sijui amplifiers , speakers zipo kwa wingi sana huko na ndo vitu naeza oda ila kikuu hakuna anaeuza hivo vitu thou kwa sasa kikuu ni rahisi