Huu uzi ungekuja siku kadhaa nyuma ungesaidia sana najuta kufanya shopping Kikuu i swear sitorudia tena kikuu.
Jamaa zangu walinijaza nikajaa kumbe wao wamezoea kuagiza flash disk moja na wanaishi Mikoani hawajui ata bei ya bidhaa kariakoo na quality zake.
Nlifanya shopping kubwa baada ya kuona Tshirts bei chee elfu 8, 9, 12 nikajuwa ni quality Tshirts afu kibaya sikuwa na App nlishop kwa website yao.
Wazee unaagiza Tshirts XXL inakuja ya mwanangu wa miaka 5 wase*ng sana Kikuu alafu nguo zao zote ni transparency yani km leso tuu nyepesi sijaona.
Usinunue kitu kikuu kwa kuangalia picha download app soma reviews lakini still i don't recommend them.
Ofisi yenyewe imekaa kitapeli tapeli tuu na wasi wasi ata refund yangu naweza nisiipate wameniambia baada ya week 2 fucking shits nalipa cash afu mnanirudushia hela yangu baada ya week 2 kuna supplier mmoja alikataa return ikabidi wafanye vipimo wamtumie.
Ata viatu ukinunua sori ya bigijii ukikanyaga mwiba au chupa inachanika ubora wa bidhaa Kikuu ni terrible, customer service terrible, time delivery terrible sijaridhishwa kabisa na huduma zao.
Sent using
Jamii Forums mobile app