😂😂😂😂😂😂 ufala huo
AliExpress wako vizuri..niliagiza closure na vifaa vya kutengenezea wigs vimefika vyote Tena bila longolongo..Sasa hivi nimeagiza soap mould najua hawataniangusha..nakushauri tumia AliExpress mkuu
Extrovert jirekebishe mwanangu.
Kuna mshkaji kakuchana kule tabia yako kupondea nyuzi constructive za watu.
Behave bro.
Tunasubiri utupe mrejesho na sisi tuagize boxerAsante saana nimeshaagiza baadhi ya vitu nasubiria matokeo
Tunasubiri ulet
Tunasubiri utupe mrejesho na sisi tuagize boxer
Samahani Wana JF, nimekuwa na uzoefu kidogo na kuagiza bidhaa China kupitia Kikuu App.
Wana kasoro kadha wa kadha, mfano kuchelewa kufikisha kwa baadhi ya bidhaa, ufinyu huduma kwa wateja kulingana na wingi wa wateja wenyewe, pia ubora wa bidhaa baadhi huwa sio bora.
Nimejaribu kuuliza kwa baadhi ya watu wengi wao wananishauri nitumie AliExpress japo sijawahi kuwatumia, wana unafuu.
Sasa mchango wenu kati ya Kikuu na AliExpress yupi bora.
Nakaribisha maoni si kejeri wana JF.
Hoa silent ocean na GSM cargo wanasafirisha na parcel au mpaka uwe na mzigo mkubwa na kwa sisi tunaogiza vitu vidogovidogo nji ipi unanishauri nitumie
Samahani Wana JF, nimekuwa na uzoefu kidogo na kuagiza bidhaa China kupitia Kikuu App.
Wana kasoro kadha wa kadha, mfano kuchelewa kufikisha kwa baadhi ya bidhaa, ufinyu huduma kwa wateja kulingana na wingi wa wateja wenyewe, pia ubora wa bidhaa baadhi huwa sio bora.
Nimejaribu kuuliza kwa baadhi ya watu wengi wao wananishauri nitumie AliExpress japo sijawahi kuwatumia, wana unafuu.
Sasa mchango wenu kati ya Kikuu na AliExpress yupi bora.
Nakaribisha maoni si kejeri wana JF.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya Kikuu na Aliexpress.
Huduma kwa wateja
Aliexpress wana huduma bora sana kwa wateja, kuanzia kuhakikisha ubora wa bidhaa, usalama wa pesa zako na hata kurudishiwa pesa zako, kitu ambacho ni tofauti sana na Kikuu.
Ufikishwaji wa mizigo
Aliexpress mzigo unafika hadi posta ya mwisho wa wilaya yako, na unaweza kuj track mzigo wako baada ya siku 5 hadi 10
Usalama wa pesa zako
Ukinunua kitu aliexpress, pesa zote huwa zinakuwa chini ya aliexpress mwenyewe, na muuzaji atapewa pesa pale tu utakapothibitisha kupokea mzigo wako na kiridhika nao, vinginevyo aliexpress atakurudishia pesa zako
Refunding process
Aliexpress refunding yao ni ya uhakika na ya haraka zaidi, pesa zinarudishwa kwenye account hako ndani ya muda mchache sana.
Karibu sana mkuu
Inategemeana na bei ya bidhaa ununuayo kama bidhaa ni bei ghali inafika one to two weeks ila kama bei chee kama 2000 ad 3000 subiri mwezi mmoja adi na nusuAkiexpress wanatumia muda gani bidhaa kukufikia?
Ali express wako vizuri sana ... Nawasifia coz nishawahi agiza bidhaa na ilipofika huwa wanahitaji mrejesho wa iyo bidhaa na ata ikichelewa kwa mda walioahidi wanabaraza la kusuluhisha migogoro ata pale unapouziwa bidhaa mbovu unarudisha na wanakupa nyngne au wanakupa hela
Kingine, nacho kipenda kwa Ali express ina bidhaa nyingi sana kutoka kila kona ya europe na Asia mpk America... Na uzuri wao wana kuwa na store nyng zinayoifanya iwe na bidhaa zote mfno; kikuu ukitaka shoe roller hupati ila ukiingia ali unakutana nazo tena high quality na kwa bei anayotaka mteja
TOFAUTI ZAO: Ali express anauza bidhaa za electronics kwa wingi kama kamera, simu, laptop na vingne kwa bei chee WHILE kikuu anauza vifaa vya urembo kwa wingi sana asa vya wanawake kuliko wanaume kama nguo, makeup na kadharika
ALI EXPRESS anauza kwa kutumia Visa na master cards WHILE KKuu anatumia Local purchasing systems kama mpesa, paypal, tigopesa na izo Visa card
Nadhani mkuu umepata Elimu tosha......![]()
Tumia AliExpress Tena tumia sender wao aitwae AliExpress Standard Shipping, siku 14 tu mzigo fata Posta.
Aliexpress...ndo nmeagiza mzigo natarajia..kupokea soon..nikiupata bila ttzo lolote ntakupa mrejesho..sema shida iliyopo mzigo unachukua siku nyingi kufika.
Sory naomba kujua AliExpress na Alibaba ni kitu kimoja au tofauti?Samahani Wana JF, nimekuwa na uzoefu kidogo na kuagiza bidhaa China kupitia Kikuu App.
Wana kasoro kadha wa kadha, mfano kuchelewa kufikisha kwa baadhi ya bidhaa, ufinyu huduma kwa wateja kulingana na wingi wa wateja wenyewe, pia ubora wa bidhaa baadhi huwa sio bora.
Nimejaribu kuuliza kwa baadhi ya watu wengi wao wananishauri nitumie AliExpress japo sijawahi kuwatumia, wana unafuu.
Sasa mchango wenu kati ya Kikuu na AliExpress yupi bora.
Nakaribisha maoni si kejeri wana JF.
Kikuu na Jumia Jumia wako juu mnooo siku 2 umepata mzigo, friendly delivery service yani utafurahi. Hao Kikuu customer Care mbovu mbovu mbovu.... Hadi mtu wa delivery anajiona mheshimiwa Kana kwamba kukuletea huo mzigo anakufanyia favor wakati analipwa, na analipwa sababu wewe umenunua. Nimedeletia mbali App yao.Sory naomba kujua AliExpress na Alibaba ni kitu kimoja au tofauti?
Kikuu na Jumia yupi ni bora katika kuhakikisha bidhaa unaipata haraka