Ndugu, Hiki ulichokiandika inanipa majibu haya
- Upeo wako bado ni mdogo
- Hufahamu umuhimu wa kuwa na sanduku la posta hadi sasa.
Kiufupi ni muhimu kuwa na sanduku lako la posta hata kama hutumii kwa manunuzi mtandaoni.
Nakupa mfano rahisi
- Huwezi kufungua
kampuni Tanzania bila ya kuwa na sanduku lako posta.
Hitimisho
- Tumia muda kujifunza zaidi hapa Jamiiforums utajua mengi na utafunguka zaidi kimawazo na kimtazamo.
- Pitia tena huu uzi
www.bit.ly/101buy4me soma post ya kwanza tu, Utaelewa nini hasa namaanisha.
- hatuko hapa Jamiifirums kubishana kuonyeshana ujuaji au kuleta dharau - Haya yote hayajengi na hayana faida.
Nakutakia siku njema na hii ni Post yangu ya mwisho kwenye huu uzi, kukujibu wewe.