Kikao cha wanaume

Ni kweli kabisa huo ni upumbavu. Tukishawajua tunawabashia tu hivyo hivyo.
 
Halafu kuna vidume vinajuaga mie kijike vinanitupia tu matongozo pm. Ngojeni siku niwale kabhanggg! Ndo mtaisoma namba.

Dume zima unatangaza ushoga wako bila aibu.........Ptuuuuuuuuuuuuuuuuu nisije nikatapika
 
Duh! Kumbe inawezekana nishamtokea mwanaume mwenzangu tayari! Damn this is a shame, manake wanaturudisha SODOma ss hawa viumbe
 
Hahahaha kumbeeee!
 
Duh! Kumbe inawezekana nishamtokea mwanaume mwenzangu tayari! Damn this is a shame, manake wanaturudisha SODOma ss hawa viumbe
Ndo uwe makini mkuu
 
Sasa huko PM sijui huwa mnaongea nini ila sasa naona wanaweza kuwa wanafanya research
Mmmmh research kuhusu nini? kwani waliambiwa wakifanya risech kwa ID ya kike ndo ushirikiano unakuwa mkubwa?
 
Kwa kuwa kikao ni cha wanaume
mi namuwakilisha mme wangu...
mi nadhani na njaa nayo inachangia wanatumia hizo id kupiga mizinga
make najua kuna maboya wanahudumia hata watu wasowajua
igweeeeee....
He! makubwa aisee sikuwahi kuwaza hivyo basi asante kwa mchango wako kweli mumueo hatajuta kukutuma umuwakilishe karibu sana masai dada umemsikiliza mdau huku
 
He! makubwa aisee sikuwahi kuwaza hivyo basi asante kwa mchango wako kweli mumueo hatajuta kukutuma umuwakilishe karibu sana masai dada umemsikiliza mdau huku

hatimae mrembo mashallah kau kaunganishwa na id zake za zamani alafu kaliwa BAN
 
hatimae mrembo mashallah kau kaunganishwa na id zake za zamani alafu kaliwa BAN
Id nyingine alikuwa anaitwa nani? aisee mpaka naogopa watu kwenye profile za zao hawaandiki location utasikia wa hapa hapa loh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…