masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,792
- 16,756
Id nyingine alikuwa anaitwa nani? aisee mpaka naogopa watu kwenye profile za zao hawaandiki location utasikia wa hapa hapa loh
@filter ila kapigwa ban
Id nyingine alikuwa anaitwa nani? aisee mpaka naogopa watu kwenye profile za zao hawaandiki location utasikia wa hapa hapa loh
hapana The Boss,mi nilijua wewe huwa haushiriki hayo mambo kabisaaaaa
Wanaume kuweka kikao cha kuwasema wanaume wenzao huo ni ushoga.
Wanaume kuweka kikao cha kuwasema wanaume wenzao huo ni ushoga.
Ukimuona mwanaume anafanya hivyo ujeue huyo sio mwanaume wa kweli full stop.
huyo mkeo au binti yakoNa mwanaume anayetetea ushoga naye ni shoga.
Kabla hujafunga hesabu naomba unisaidie na mimi
karibu sana miss, Mimi napenda kande za maziwa mtindi..ushawahi?
Ukikutana na mmasai mjini taabu kweli. Hata kama kavaa suti lazma ateme mate kinyumbani! Kande zinamaliza gesi baba.
na mwanamke anayetumia ID ya kiume ni.......................?
Mmmh! unaishi mtaa huu huu au?