Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,080
- 136,553
eti eeh! Ila simba ni simba tu,
Mwajuma umeenda wapi sasa bana?
Umelala? Haya ukiamka nchumu basi.....
eti eeh! Ila simba ni simba tu,
ukome ukomae
Siku zote mwanamke anapofanya kitu huwa anatamani kuwa kama mwanaume na kwake hiyo ni sifa kwa mwanaume je?
Habari ya muda wanajamii naomba tujadiliane hili katika jamii yetu tukiwa kama wanaume karibuni
Najua hapa kijijini kwetu kuna uhuru wa kuongea bila kuvunja sheria za kijiji nami natumia uhuru huo huo,Langu moja tu ni kuhusu hizi fake ID. Wote tunatumia fake ID na zinasaidia mambo mengi,zinafanya mtu unatoa lolote la moyoni bila kujali lakini kuna watu wanazo Id mbili mbili sio shida kwakuwa sheria za kijiji zinaruhusu
Sasa hili la mwanaume kutumia ID ya kike linamaanisha nini? Humu ndani kama jina la kijiji linavyojieleza watu wanajenga mahusiano,wanatengeneza urafiki,sasa kama mwanaume unapotumia ID ya kike unataka kutuambia nini? kwamba unafurahi wanaume wanavyokutongoza? au unafurahia unavyotoa maada kama mwanamke na watu wanavyotoa maoni yao,furaha inakuwa wapi haswa? sijui kama kua wanawake wanatumia ID ya kiume pia ila nauliza tu kwa wanaume wenzangu hili mnalichukuliaje?
Uhuru unapopitiliza madhara yake ndiyo haya sijui mpaka mtu unatumia ID ya kike unakuwa umefikiria nini? kama kuna wanaume wanapumuliwa visogoni basi waandike zile ID zao Ant fulani ili mtu anapoomba urafiki ajue ni rafiki wa aina gani aliye naye.
Ni hilo tu ndugu zangu sijui na wewe kwa mtazamo wako unalionaje hilo,ni vizuri ukachangia maada iliyowekwa maana wengine mtaanza kusema ooh umekutana nayo hapana ndugu sijakutana nayo ila nimeona niulize tu kwenu mnalionaje,na kama halijakaa sawa basi tuungane tulipinge hilo kwa sauti moja hata hao watunga sheria wanaweza kubadilisha kama mtaona ni vema********************Cc: kwa wanaume wote na wanawake karibu mtuambie mnajisikiaje mwanaume akitumia ID ya kike?
Karibuni
Halafu kuna vidume vinajuaga mie kijike vinanitupia tu matongozo pm. Ngojeni siku niwale kabhanggg! Ndo mtaisoma namba.
Hahahaha kumbeeee!Daudi1 wajua umenitoa mkuku huko, mwenzako ndio najiandaa kuianza weekend hivyo.
Mimi kwa upande mmoja sioni km kuna tatizo, ID fake so ana fake hadi jinsia yake kwa mambo mbalimbali ya umuhimu au upuuzi. Niyeye hata watu wasemeje hawabadiriki wamo humu. Nao watachangia hawapendi ila ndio haohao.
Mie ni malaika?
Huku unatongozwa...unaliwa.
.unaachwa!!kazii na dawa
unataka kujaribu?
He! makubwa aisee sikuwahi kuwaza hivyo basi asante kwa mchango wako kweli mumueo hatajuta kukutuma umuwakilishe karibu sana masai dada umemsikiliza mdau hukuKwa kuwa kikao ni cha wanaume
mi namuwakilisha mme wangu...
mi nadhani na njaa nayo inachangia wanatumia hizo id kupiga mizinga
make najua kuna maboya wanahudumia hata watu wasowajua
igweeeeee....
He! makubwa aisee sikuwahi kuwaza hivyo basi asante kwa mchango wako kweli mumueo hatajuta kukutuma umuwakilishe karibu sana masai dada umemsikiliza mdau huku