Kikao cha wanaume

Kikao cha wanaume

Ss wanaume tunadhalilidhwa kwa kweli yaan wanawake tumieni hii fursa kuandamana ili kuutokomeza ushoga mana idadi ya wanaume wa kuwaoa inazidi kupungua !!!!

Soon tu utatuona tunaandamana maana ndio tunasubilia kibalii tu hapaaaaa
 
maisha Ni kusaidiana my Karucee, naomba unipe fursa ya kukusaidia...
mtindi Ni maziwa ya mgando, napenda kuchanganya na kande...kitamu hicho!!!

Sweetie naelewa mtindi ni nini but at what point do you eat it?

Do you pour it over makande, or do you use it to cook makande.

Kuhusu kunisaidia please nisaidie kununa!
 
shikamooni wanaume? ... naona maendeleo ya kikao ni mazuri sana. naomaba kuchangia mimi nahis wanafanya hivyo ili kupata attention tu wal si kitu kingine
 
Umesema mwenyewe HAND.jpeg

na kama mkono huo au kidole hicho ujakiona haya sasa natoa vingi

HAND 2.jpeg
halafu, hivi mtu utajuaje kwamba fulani humu ana id ya kiume na ya kike, ilhali huyo mtu hata hujawahi kukutana naye maishani?

Mtu hamjuani kabisa, lakini bado kuna watu watakuwa na chutzpah ya kujifanya wanakujua kupitia hizi ids za humu.

Nani keshawahi kukutana na mimi humu ana kwa ana? Aliyewahi na anyooshe mkono🙂.
 
shikamooni wanaume? ... naona maendeleo ya kikao ni mazuri sana. naomaba kuchangia mimi nahis wanafanya hivyo ili kupata attention tu wal si kitu kingine
Marahabaaa......haya mama suala letu ndiyo hilo yeye kama mwanaume akipata hizo attention zinamsaidia nini? au yeye hiyo mitongozo ya PM anaifurahia,huyo atakuwa mwanaume kamili?
 
sioni mantiki ya mwanaume kujifananisha na mwanamke....lazima utakuwa na kasoro tu...
 
Hebu ingia chumba cha 3 tuongee
sawa, wengine Ni kwa ajili ya hizi ban lakini kwani ukipigea ban huwezi kutulia mpaka ufunguliwe? Kwani humu Ni oxygen usipoipata hutaishi?? Pili, hao wenye IDs zaidi ya moja, wengi hutumia uhusika tofauti, ID moja aonekane mtu WA busara Sana, nyingine aandike -----...sielewi, kwa nini hatuwezi kuwa sisi? Mfano, humu Kuna wanaonifahamu kiuhalisia, lakini sijawahi kuogopa kuandika chochote, hata masihara nafanya bila kuogopa mtu...

Hao wanaojifanya wanawake, sina komenti aisee...kuna walakini Sana mwanaume kujifanya yeye jike!!!!
 
wanaume kama mabinti!!..kwa wale wanaume wenye ID's mbili tena ya kike,.huo ni ushoga,nashukuru mungu nilizaliwa wakike,ningekuwa mwanaume ningewatawanya chamber zao!..naomba maji baridi masai dada.

sawa umepata mama NIKUITIE MTU WA JIKONI?
 
Daudi1 wajua umenitoa mkuku huko, mwenzako ndio najiandaa kuianza weekend hivyo.
Mimi kwa upande mmoja sioni km kuna tatizo, ID fake so ana fake hadi jinsia yake kwa mambo mbalimbali ya umuhimu au upuuzi. Niyeye hata watu wasemeje hawabadiriki wamo humu. Nao watachangia hawapendi ila ndio haohao.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom