Kikao cha wanaume

Kikao cha wanaume

uni

Najua hapa kijijini kwetu kuna uhuru wa kuongea bila kuvunja sheria za kijiji nami natumia uhuru huo huo,Langu moja tu ni kuhusu hizi fake ID. Wote tunatumia fake ID na zinasaidia mambo mengi,zinafanya mtu unatoa lolote la moyoni bila kujali lakini kuna watu wanazo Id mbili mbili sio shida kwakuwa sheria za kijiji zinaruhusu

Sasa hili la mwanaume kutumia ID ya kike linamaanisha nini? Humu ndani kama jina la kijiji linavyojieleza watu wanajenga mahusiano,wanatengeneza urafiki,sasa kama mwanaume unapotumia ID ya kike unataka kutuambia nini? kwamba unafurahi wanaume wanavyokutongoza? au unafurahia unavyotoa maada kama mwanamke na watu wanavyotoa maoni yao,furaha inakuwa wapi haswa? sijui kama kua wanawake wanatumia ID ya kiume pia ila nauliza tu kwa wanaume wenzangu hili mnalichukuliaje?

Uhuru unapopitiliza madhara yake ndiyo haya sijui mpaka mtu unatumia ID ya kike unakuwa umefikiria nini?
 
Halafu kuna vidume vinajuaga mie kijike vinanitupia tu matongozo pm. Ngojeni siku niwale kabhanggg! Ndo mtaisoma namba.
 
miss neddy, Ni kande za kawaida lakini nikila nachanganya na mtindi(maziwa ya mgando)..
Nina uhakika umri wako haukuruhusu kula kande!!

hahaha kande gani zina umri maalumu nitajaribu kuchanganyia one day
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom