The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
Nyani Ngabu kanambia nikae mbali na wewe.
Simba kakuambia kaa mbali na chui ..kazi kwako..
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu kanambia nikae mbali na wewe.
Simba kakuambia kaa mbali na chui ..kazi kwako..
King'asti jana kanambia eti kule fesbuk ni frendi wangu. Sasa nimeenda kule nimewakagua wabebs wote ambao ni frendz wangu lakini bado sijagundua ni yupi. Nahitaji msaada wako hapo. Sasa ishu iliyopo ni ya viatu vya Crocs....yeye anataka akija kuvichukua eti aje na Paw wake. Sasa mi Paw sim-feel kihivyo...keshaniban sana huyo jamaa.Hahaha halafu we na King'asti mna ishu ipi? Kisukari mna chat?
khaa! Mnanikonfyuz.. Halafu wanasemaga simba mwenda pole.....
Andaa bikini tutaenda tu
Mi ni simba vegetarian...sili nyama. Toa hofu.
eti eeh! Ila simba ni simba tu,
Habari ya muda wanajamii naomba tujadiliane hili katika jamii yetu tukiwa kama wanaume karibuni
Najua hapa kijijini kwetu kuna uhuru wa kuongea bila kuvunja sheria za kijiji nami natumia uhuru huo huo,Langu moja tu ni kuhusu hizi fake ID. Wote tunatumia fake ID na zinasaidia mambo mengi,zinafanya mtu unatoa lolote la moyoni bila kujali lakini kuna watu wanazo Id mbili mbili sio shida kwakuwa sheria za kijiji zinaruhusu
Sasa hili la mwanaume kutumia ID ya kike linamaanisha nini? ... kwamba unafurahi wanaume wanavyokutongoza?
Heheee beach kidimbwi?nampeleka mahaba beach...niliwahi mpeleka King'asti
Halafu kuna vidume vinajuaga mie kijike vinanitupia tu matongozo pm. Ngojeni siku niwale kabhanggg! Ndo mtaisoma namba.
Daaaah......JS je?:smile-big:
Huyo nilimpeleka Mapenzi beach zenji lol
Mi ni simba vegetarian...sili nyama. Toa hofu.
Huku unatongozwa...unaliwa.
.unaachwa!!kazii na dawa
umezeeka?
Bado. Unataka kunijaribu?