kwenye vita lazima u identify your common enemy, wakati wa vita kuu ya Pili baada ya Hitler kuanzisha mashambulizi dhidi ya SOVIET UNION,America ambayo walikuwa maadui na wasoviet walipeleka msaadakubwa wa silaha, logistic, na vyakula kuwa support wasoviet kwenye ile vita dhidi ya fashisti Hitler, na hakuna mmarekani aliyekasirikia uongozi kwa nini mnajiunga na hao wasoviet, ukitilia maanani walikuwa ni wapinzani wao wakubwa, waliwekatofauti zao pembeni wakamshinda adui yao waliposhinda wakarudi kwenye tofauti zao.
Na history ni mwalimu mzuri ila watu sijui ni upeo, au chuki zinawafanya hadi wanashindwa kuona mantiki, au kuku bali kutawaliwa na hisia, ila tunaojitambua kuwa Adui yetu ni CCM tuko pamoja hadi tummalize. Ni wakati mzuri kwa wasiokubaliana na kulubali kutawaliwa na mihemko wa aidha kurudi CCM au kwenda cha chochote mwingine hata ACT, au kutopiga kura waone kama hiyo ndiyo njia ya kuleta mabadiliko