Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Shikamoo Lizaboni, habari zako za kimbea unazotuletea kila siku humu jamvini kumbe huwa zina ukweli ndani yake, nimekukubali sana mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Tarime one naona kazi mnayo, mwambie alie edit hizo picture si professinal,na arudishe pesa za watu,kwanza hajatoa hivyo viatu nyuma ya lowasa, pia nyuma ya babu slaa angetoa kichwa cha huyo jamaa, huu uzi ni upuuzi mtupu na inaonyesha ukawa hawana mtu wa kumsimamisha:iamwithstupid:
Lowassa akihudhuria kikao Kamati kuu CHADEMA

View attachment 271482
Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa, akisalimiana na viongozi na wanachama wa CHADEMA

View attachment 271483
Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa akiwa Meza Kuu na viogozi wa CHADEMA
 
Tujipe pole maana hakuna atakaye tuelewa....Muda ni dawa ngoja tusubiri.Nimesikia Serikali imepeleka kesi ya Richmond mahakani.Ngoja tusubiri...

Tena ni vizuri waipeleke hiyo kesi

Ni timing Nzuri na Ni Political Asset

Wameipeleka mahakamani ili kumfunga mdo asiiongeleee

Mkuu amini usiamini Richmond sio ya Lowasa ni ya KIKWETE

Na CCM wanamuogopa Lowasa kwa sababu anajua mengi ...na sio mtu wa kuchezea
 
Usiwe na hofu mdau UKAWA ni taasisi haiongozwi na mtu mmoja na sera zao ni nzuri hata awepo mtu mchafu vipi atasafisreportsna kuwa mweupe nikuambie kitu ccm ingekuwa ndio ile ya Azimio la Arusha isingetufikisha hapa tulipo sasa lakini kwa Azimio hili la Zanzibar walijitenga na mfumo woote uliokuwa imara na mzuri na kujiingiza kwenye ulafi na ufisadi kwa hiyo msingi na mfumo wowote ukiwa imara hata atakae kuja lazima afuate mfumo uliopo usivunjike moyo mdau aluta kontinyua.

Mh!Ngumu kumeza lakini nisingekuwa kinyume chake kama angekuwa kama mwanachama wa kawaida sina shida...kwa uongozi mkubwa hapana.Anyway chama kinawenyewe na wenyewe wapo ngoja sisi tukaye pembeni...
 
haiwezekani kihvyo,na sio rahisi kihivyo

kwa nn haiwezeka? Yaan ujue kamati kuu ndo walikuwa hawampendi lowasa ila ikitokea akagombe chama chochote, au sheria ya mgombea binafsi ingekuwa ishapitishwa ungeshangaa
 
Uko sahihi mkuu, binafsi siwezi kumpigia kura Lowassa hata malaika walijua hili ..urais umeuzwa? umegeuzwa biashara? raisi ananunua urais wazi wazi bila kificho? it's a very big shame on the planet

mkuu,huo ushahidi wa EL kununua urais wazi wazi si uuweke wazi ili watu wamkatae kwa huo uchafu wake!
Vinginevyo,ni bora ukakaa kimya tu.
 
Tujipe pole maana hakuna atakaye tuelewa....Muda ni dawa ngoja tusubiri.Nimesikia Serikali imepeleka kesi ya Richmond mahakani.Ngoja tusubiri...

usiogope maneno ya watu..this was a very strategic move..
Umejiuliza haya..
  1. ataondoka na watu wangapi CCM?
  2. nguvu ya ushawishi wake katika jamii??
CHA MSINGI CCM IPARANYIKE....(by any means possible)..kumbuka hata wao wameshaapa watabaki madarakani hata kwa ''goli la mkono''..
nafahamu huipendi ccm lakini unaona aibu kwa baadhi ya njia za kuitoa ccm...
My friend hata Nchi Kubwa kama Marekani wakati mwingine hushirikiana na aliyepata kuwa adui ili wamwangamize common enemy...''sometimes friendship among foes has to be forged inorder to attain common interest''....
 
Mkuu adui wa nchi yetu sio Lowasa

Sio membe

Sio Kikwete

Sio Mwigulu

Adui yetu ni Mfumo wa CCM...Hicho tu

Failure ziko ngapi kweye uchumi wetu...Is it about Lowasa au mismanagement ya mfumo wa serikali ya CCM

I believe you are learned enough.......Our goal is to take out CCM.....Baada ya hapo ni effectivenesss ya serikali ya UKAWA kuweka uwajibikaji

Kaka muda ni dawa tunasubiri.Lakini nasikia mwenye nyumba yuko njiani kurudi na kesho Richmond itakuwa Kisutu.

Kaka VITA imeanza na wapiganapo Tembo NYASI ndizo ziumiazo...
 
Nawashangaa watu wanadai kwamba eti Edward Lowasa akihamia ukawa eti heshima ya Slaa itashuka! Kwani Dr. Slaa ana heshima gani zaidi ya kukosoa watu na kuvujisha siri za serikali? Tukubaliane na ukweli kwamba Slaa hauziki kwa wananchi amechuja na sijaona kama ana sera za kimapinduzi zaidi ya kusoma orodha za mafisadi ambazo hata yeye hana ushahidi wa kutosha. Na kama atagombea muhula huu hata 10% ya kura hatapata na ukawa kushika nchi ni historia.
Wivu wa kike! Mwaka huu itabidi utage tu!
 
ahahahhaa kihoro kimewakumba vijana wa lumumba lazma mtahamia kenya nov
 
Kazi inaendelea. hongera kama ni kwel umetubu sasa yafichue mafisadi yalio kusingizia maana uliyalinda hayalindwi wee wafichue tu tena anza na Balali huko aliko.
 
Pole dada, ninajua unaumia sana kutokana na haya maamuzi.

Ila jua kwamba hivyo ndivyo siasa(haswa za Kiafrika) zilivyo.

Asante.Yawezekana hata Saulo alibadilika akawa Paulo...
 
Muda ni hakimu Mzuri kila mmoja wetu apitie kwa umakini andiko hili hapa chini



IMEGUNDULIKA kwamba Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM) ndiye mfadhili mkuu na mpanga mikakati mkuu wa kundi linalomfuata Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), ambalo limeanzisha chama kipya cha siasa, Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania).

Kwa wiki kadhaa za hivi karibuni, makundi ya wanachama, washauri na wapanga mikakati wa Lowassa na Zitto wamekuwa wakikutana katika maeneo kadhaa jijini Dar es Salaam na kupeana mbinu, lengo kuu likiwa ni jinsi ya kumega Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika mapande ili kidhoofike kabla ya uchaguzi mkuu 2015.

Kwa mujibu wa vyanzo vyetu vya habari, Lowassa amejiaminisha kwamba ndiye atakayekuwa mgombea urais kupitia CCM. Kazi kubwa anayoona mbele yake ni kuanza mapema kusambaratisha CHADEMA ili kupunguza upinzani wakati wa kampeni utakapofika.

Mkuu nimepitia hii kitu nimebaki kucheka tu teh teh teh siasa hizi!
 
BAVICHA karibuni uwanjani. Naona mambo yameiva.
Leo Lowassa sio ‘’fisadi‘’tena!

wanaomkataa lowasa mna chuki zenu ivi kama ni fisadi alishtakiwa kwa mahakama ipi? Mnashindwa kuelewa kuwa alibeba mzigo wa wengine????
 
Back
Top Bottom