Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Hahhaha...maccm yamepagawa..kuna liccm limoja nimelitumia picha limeugua ghafla limekuja home na tumbo la kuhara..lowassa anafanya siasa za kisomi hakurupuki!
 
Sana kaka...huu mwaka patachimbika....tutaona ilo goli la mkono.....labda kusiwe na kamera uwanjani.....lakn kwa dunia ya leo hapana....na kama kweli Lowasa atawania uraisi.....kuna jipya litatokea kwenye matokeo....tujiandae kwa lolote jamani
 
pole dada kimboka lkn unaoaswa kujua kuwa adui wa adui yako ni rafiki yako.
ukilijua hili utakaa kimyaaa uone picha linavoenda
 
CCM wanasheekea, ila wafuasi wa CDM wanasikitika. Mi kinacho nisikitsha ni uogo wa DR. Slaa, Mbowe.

Ucwe mnafki ndugu yang, tangu lini CCM ikawaombea CHADEMA mema? Ukiona adui yako anakulutea chakula wakat wa njaa uwe mwangalifu sana na hko chakula
 
Mpaka aibu yaani

hapo kufuri atapiga kura ambozo haijawahi tokea hapa bongo wachaga wameamua kutuona watanzania ni mazuzu sana Zitto alisema chadema ni cha wachaga tukabisha

mda wote huo slaa anapambwa kua rais dakika za mwisho anakatwa kwa pesa acha tuuu wapigwe hakuna namna.
 
kumwengua lowassa kwenye kugombea urais wa nchi? manake lowassa ni tishio kubwa kwao. hivyo uamuzi wa Chadema ni muafaka
Je atakuja na yule Msukuma aliyeingia uwanjani Arusha na helicopter??
 
Lumumba na posho za buku 7 zimeisha sasa kwa sababu hamna uhakika na dola 100%
 
Mbona mnalialia hivyo? jana tu mlikuwa mnatoa ushauri kwa Lowasa asihame CCM eti ooh heshima yake itashuka mara ooh! Lowasa kamwe hawezi kuhama CCM cha ajabu leo mmebadilisha kauli, subirini MNYOOOKE si mlidhani ni mchezo wa kuigiza hilo ni tukio live bila chenga na kauli ya watoto wa mjini wanasema "MTANYOOKA TU"
 
Ndugu zangu,
Imeniumiza Sana kugundua nchi hii haina Chama cha upinzani ila wachumia matumbo tu.

Lowasa akiwa CCM atakuwa mwizi, fisadi na mgonjwa.
Ila akiwa CHADEMA ni mtu Safi ni mwenye afya na mwaminifu.

Mimi ninamkubali Sana Lowasa ila chadema ni matapeli wanamchafua mtu kwa hila na unafiki Mungu awalaani kwa kuwarubuni watanzania.

Lowasa ukishika uongozi jua Hao siyo watu kaa nao kwa akili, wamependa pesa zako!.

Ukishika tu madaraka sambaratisha kwanza ngome ya huyu mmachame.

Ndugu zanguni kama siasa haikuingizii pesa achana nayo wenzenu wanatafuta pesa nyie mnajiita Makamanda.
Mwanzo hadi mwisho ni ----!
 
Kwa fununu watanzania wamekasirika sana juu ya ukigeu geu wa CHADEMA. Kipindi wanatangaza majina ya list of shame, watanzania walifurahi sana na CHADEMA walipata umaarufu. Moja ya fisadi papa ndani ya CCM na aliyetakiwa kujivua gamba tangu mapema alikuwa Lowassa. Ila cha ajabu aliendelea kukomaa ndani ya CCM akijua kwamba anaweza kuwanunu wajumbe mpaka rais na baraza la ushauri la wazee. Ila kumbe system (UT) waligundua kuna mtu anataka kuuza nchi. JK ukamuingia uzalendo na kufanya maajabu ya kutuletea mgombea asiye kuwa na doa. Sasa upande mwingine wa shilingi.

Iwapo Lowassa angepitishwa na CCM, tungeshuhudia magazeti kama ya Tanzania daima yakilemba;
  • CCM wapitisha fisadi urais
Je ndani ya CDM sasa watamuitaje??? Je hii si ndiyo dalili kufa CDM?
"Kilichowapa umaarufu Dr. Slaana CHADEMA ndicho kinawashusha."

Zitto aliitwa na anaendelea kuitwa Yuda Msaliti, wakati Mbowe ana damu za wana CDM waliokufa kwenye maandamano na mikutano ya CDM Kwa mil 10!! Inasikitisha.

Nimefurahi sana kuziona post kama hizi.

Hii inaonyesha kuwa maccm mnajua kuwa mwisho wenu umefika.

Hii inaashiria kuwa kila baya/ovu lililofanywa na ccm linakwenda kuwekwa wazi.

Hili ndilo jambo lililotabiriwa na JK Nyerere kuwa ccm itaangushwa na wanaccm wenyewe.

NB:
Bunduki ikitumiwa na jambazi ni hatari/haramu ila bunduki hiyo hiyo ikitumiwa na Askari inakuwa ni chombo cha kiusaklama.

Huku ndio kukua kwa siasa, na tutayaona mengi mpaka October 25.
 
CCM inaenda kufa, kifo cha ghafla sana...

Lowassa + UKAWA, hakuna jinsi CCM isife, kwanza kimeshazeeka sana...ni Grand Old Party... imetosha, pumzikeni sasaaaa...

Mamilioni, kuhamia UKAWA wiki hiii... mtaoanaaaaaa....!!!

CCM chama kikongwe,daima mbele magufuli ikulu yako mzee.Hata wakimbizane ukawa ccm haing'oki ng'oooooooooooo!
 
Ndugu zangu,
Imeniumiza Sana kugundua nchi hii haina Chama cha upinzani ila wachumia matumbo tu.

Lowasa akiwa CCM atakuwa mwizi, fisadi na mgonjwa.
Ila akiwa CHADEMA ni mtu Safi ni mwenye afya na mwaminifu.

Mimi ninamkubali Sana Lowasa ila chadema ni matapeli wanamchafua mtu kwa hila na unafiki Mungu awalaani kwa kuwarubuni watanzania.

Lowasa ukishika uongozi jua Hao siyo watu kaa nao kwa akili, wamependa pesa zako!.

Ukishika tu madaraka sambaratisha kwanza ngome ya huyu mmachame.

Ndugu zanguni kama siasa haikuingizii pesa achana nayo wenzenu wanatafuta pesa nyie mnajiita Makamanda.

Mbona mnalialia hivyo? jana tu mlikuwa mnatoa ushauri kwa Lowasa asihame CCM eti ooh heshima yake itashuka mara ooh! Lowasa kamwe hawezi kuhama CCM cha ajabu leo mmebadilisha kauli, subirini MNYOOOKE si mlidhani ni mchezo wa kuigiza hilo ni tukio live bila chenga na kauli ya watoto wa mjini wanasema "MTANYOOKA TU"
 
Ndugu zangu,
Imeniumiza Sana kugundua nchi hii haina Chama cha upinzani ila wachumia matumbo tu.

Lowasa akiwa CCM atakuwa mwizi, fisadi na mgonjwa.
Ila akiwa CHADEMA ni mtu Safi ni mwenye afya na mwaminifu.

Mimi ninamkubali Sana Lowasa ila chadema ni matapeli wanamchafua mtu kwa hila na unafiki Mungu awalaani kwa kuwarubuni watanzania.

Lowasa ukishika uongozi jua Hao siyo watu kaa nao kwa akili, wamependa pesa zako!.

Ukishika tu madaraka sambaratisha kwanza ngome ya huyu mmachame.

Ndugu zanguni kama siasa haikuingizii pesa achana nayo wenzenu wanatafuta pesa nyie mnajiita Makamanda.

Tulia dogo dawa ikuingia takoni. Jua siasani hakuna adui wa kudumu au rafiki wa kudumu.
Mandela alikua kwenye kitabu cha nagaidi wakubwa marekani ila baadae walimkaribisha white house huku akiwa ni gaidi.
 
Back
Top Bottom