Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kumpokea yeyote hata Lucifer ni kuonyesha chama hakina agenda, hakina manifesto ya kuwashawishi wapiga kura wakichague kiwaongoze. Shame on CHADEMA kama hii ni kweli.
Mmetingwa dada, mtaisoma namba safari.
 
Mafuriko ya bwana mamvi yataicha ccm vipande vipande, cdm hatuna tatizo na lowasa tatizo letu ni mfumo wa ccm ndo unaodumaza maendeleo yeyote mwenye nia ya dhati kulitokomeza hili liccm tutamuunga mkono hata kama ni shetani.

Hayo ni baadhi ya maneno ambayo CCM hawapendi kuyasikia!
 
List of shame ipo CCM tu.Ukija CHADEMA unajitoa Kwenye list, automaticaly..Hata waliobaki huko mnaruhusiwa kujitoa
 
Jamani watu wote sasa hivi wamekuwa wakiongelea lowassa kusimamishwa ukawa kupitia chadema. Lakini siyo chadema wala ukawa wanaojiuliza je, wakishindwa urais 2015 hatma yao itakuwaje?
 
katika siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu ila tuvuteni subira mpichi na mbivu kujulikana mda c mrefu
 
WaTanzania tunahitaji mabadiliko na Lowassa kajitolea muhanga kuyasimamia apewe nafasi kwani hana cha kupoteza wanaombeza leo kesho watamwita Shujaa.
 
Tunaendelea na amri ya kumi na moja akuna kuchagua ccm
 
hata wewe ingawa ni fisadi sana...unakaribishwa kutubu chadema

ijapokuwa dhambi zenu ni nyekundu kama damu...mkija chadema zitasafishwa na kuwa kama theluji
kwa hiyo chadema wanafanya kazi za kanisa..
 
Back
Top Bottom